wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete ameikudu wizara nyeti. Walimu na watumishi wengine tumpongeze. Najua anachukiwa kwa mambo yake mengine ila...

    Ukweli lazima usemwe. Hii ni wizara ambayo inagusa maisha ya kila mtanzania. Kuna vijimtu vipuuzi na vipumbavu kuwa wasimamizi vinadhania vimemaliza maisha. Vinanyanyasa watumishi na kuwatukana kama housegirls wao. Tangu Rizimoko aingie madarakano kama waziri wa menejimenti ya utumishi na...
  2. britanicca

    JamiiForums Tanzania Nyingine hii Elijah Mwandumbya andaa Suti we ni katibu Mkuu wizara ya fedha ujaye ndani ya week kadhaa

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha ajaye. Inasemekana Wizara haiwezi kwenda bila huyu. Inasemekana bila huyu Waziri wa fedha Mzanzibari hawezitoboa.
  3. Dumas the terrible

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya:Taarifa ya Watoto watatu kufariki baada ya kupata sindano ya chanjo Iringa!

    Habari wakuu kuna taarifa nimepata kutoka kituo cha afya Isimani ikisema kuna watoto watatu wamefariki Dunia baada ya kupata sindano ya chanjo, Tunaomba kama kuna taarifa za kina Wizara ya Afya na mamlaka toka huko waje waitolee ufafanuzi maana kuna taharuki kubwa imezuka na hatua zaidi...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Bunge Limeombwa Kuidhinisha Bajeti ya Wizara ya Fedha ya Trilioni 21.5

    Bunge limeombwa kujadili na kuidhinisha makadirio ya mapato na matumizi ya Mafungu nane ya Wizara ya Fedha pamoja na Fungu 45 la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa mwaka wa fedha 2026/27 yenye jumla ya shilingi trilioni 21.52. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 809.12 zimetengwa kwa mishahara...
  5. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rushwa Million 5 Hadi 7 Uhamisho kwenda Kituo Kingine Wizara Ya Afya-port Health, Maombi Kupitia Ess Hayazingatiwi, Wanaomba Rushwa Kujinufaisha

    Rushwa Rushwa Rushwa!! Maafisa Rasilimali Watu, Makatibu wa Afya na viongozi waandamizi Ofisi ya Katibu Mkuu na Porthealth wanachukua Rushwa (Million 5 hadi 7) kuhamisha watu vituo, ilihali ukiomba kupitia mfumo maombi hayapitishwi kwa wakati na wanayapuuzia, ila wanakujengea mazingira ya kutoa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya Ndani yaomba Trilioni 2.4 kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027

  7. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya ndani yaomba kuidhinishiwa sh. Trilioni 2.44 Kwa mwaka wa fedha 2026/2027

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imeomba Bunge kuidhinisha jumla ya shilingi trilioni 2.44 kwa ajili ya matumizi ya wizara hiyo pamoja na taasisi zake kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027. Matumizi ya Kawaida: Shilingi trilioni 1.95 sawa na asilimia 80% zimetengwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida...
  8. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Nape atishia kutoiunga mkono bajeti Wizara ya Ujenzi kisa barabara ya Kusini

    Akichanga mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma May 20, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, alisema amefika Bungeni akiwa na ujumbe mzito kutoka kwa wananchi wa mikoa ya Lindi na Mtwara pamoja na maeneo mengine ya Kusini...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Takukuru iingilie kati kufanya uchunguzi juu ya matumizi ya fedha yanayofanywa na Makonda na wizara ya maliasili na utalii kuleta wanamichezo nchini.

    Hizi ni pesa za walipa kodi na ni pesa ambazo zilipaswa kutumika kwa maendeleo ya Watanzania. Sasa wanaletwa akina Rio Ferdinand, wacheza mieleka wapiga masumbwi na wakata viuno kwa kigezo cha kukuza utalii. Huu ni upigaji na wizi wa pesa za umma ambao hayati Magufuli kama angekuwepo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Wizara ya Ujenzi 2026/27: TZS 376 BILIONI HAZINA MAELEZO

    Leo Waziri wa Ujenzi ameliomba Bunge kupitisha TZS 2.564 trilioni kwa mwaka 2026/27. Lakini kabla Bunge halijapitisha, kuna tatizo moja la msingi linalohitaji ufafanuzi: 📍 Mei 2025, Wizara ililiomba Bunge kupitisha TZS 2.280 trilioni kwa mwaka 2025/26. 📍 Mei 2026 (leo), Wizara inasema bajeti...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi Yaomba Bajeti Ya Shilingi Trilioni 2.564 Mwaka Wa Fedha 2026/2027

    Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027 leo Jumatano tarehe 20 Mei, 2026 , ambapo Wizara hiyo imeomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi 2,564,441,414,000 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na utekelezaji wa...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Watumishi Wizara ya Fedha watahadharishwa upotoshaji wa elimu ya lishe

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, amewataka Watumishi wa Wizara ya Fedha na wananchi kwa ujumla kuwa makini na taarifa zisizo sahihi kuhusu lishe kupitia mitandao ya kijamii, ikiwemo taarifa zinazopinga matumizi ya vyakula vya wanga kwa watoto...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Saratani Ocean Road yamuonesha Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya jinsi Mtambo wa Cyclotron unavyofanya kazi

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe ametembelea kwenye banda la Taasisi ya Saratani Ocean Road lililopo kwenye Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma na kueleza kuwa anahitaji maelezo mengi kutambua ubora wa kazi za Taasisi hiyo akieleza kuwa inajulikana kuwa ni Taasisi imara sana ndani...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya Yaomba Kuidhinishiwa Bajeti Tril. 1.8 Mwaka 2026/27, Fungu 52

    Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ameliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha kiasi cha Shilingi trilioni 1.8 kwa ajili ya Matumizi ya Wizara hiyo katika mwaka wa fedha 2026/27 Fungu 52. Mchengerwa ameyasema hayo leo Mei 11, 2026 Bungeni jijini Dodoma wakati akiwasilisha...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Wizara ya Afya imefikia 72% ya Makusanyo, Fedha za Nje zaendelea kuimarisha Huduma Za Afya

    Wizara ya Afya pamoja na taasisi zake imeendelea kuimarisha utoaji wa huduma za afya nchini kupitia ukusanyaji wa mapato na matumizi ya fedha katika utekelezaji wa miradi na huduma mbalimbali za afya kwa wananchi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa leo Mei 11, 2026, wakati...
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Kongamano kubwa la PPP na Wizara ya Maji | Fuatilia ujue kwanini soon shida ya maji nchini itabaki historia

    Fuatilia mdahalo huu kwa faida yako na faida ya watoto wako. https://www.youtube.com/live/ns5m5m5-20o?si=hLRnoSO87jjQU2b0
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mambo sita muhimu bajeti ya Wizara ya Maji 2026/2027

    ▪︎Mpango wa Gridi ya Taifa ya Maji utaendelezwa ili kupeleka maji kutoka vyanzo vya uhakika kama maziwa na mito makubwa hadi maeneo yenye uhaba mkubwa wa maji. Mradi huu ni muhimu katika kuhakikisha usambazaji wa maji salama nchi nzima. ▪︎Katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na ukame...
  18. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nyumba ina hati ya wizara inauzwa 270m Dar kitunda ukonga

    NYUMBA INA HATI YA WIZARA INAUZWA #MILLION_270 MAONGEZI IPO DSM KITUNDA UKONGA VYUMBA VITATU VYOTE MASTER SEBULE DINNING JIKO CHOO CHA PUBLICITY N.K STORE UKUBWA WA ENEO SQM 1,500 KARIBUNI SANA PG AU WHATSAPP 0718408733
  19. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Didier Drogba atinga bungeni kushuhudia uwasilishwaji wa makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

    Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Ivory Coast na klabu ya Chelsea, Didier Drogba amewasili Bungeni Jijini Dodoma akiwa ni miongoni mwa wageni watakaoshuhudia uwasilishwaji wa makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2026/2027
  20. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Afya & TANROADS, ingilieni kati hali ya vumbi jiji la Mbeya kabla haijageuka janga la afya ya umma

    1/ Kutoka Uyole hadi Mbalizi, wananchi wanakumbana na vumbi lisilomithirika kila siku. Hali hii si tu kero, bali ni tishio kubwa kwa afya za wakazi wa jiji la Mbeya hasa wafanyabiashara. Magari yanatimua vumbi zito sana pale katikakati ya jiji kwa sasa. 2/ Vumbi hili linaongeza hatari ya...
Back
Top Bottom