Kupitia comment yake kwenye post yake ya leo tarehe 25/03/2026 katibu mkuu wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo amedai kuwa kuna wanufaika wa mikopo iliyotolewa na wizara ambao wamegoma kurudisha mikopo waliyopewa.
Binafsi nimeshangazwa sana na alichosema ndugu Gerson Msigwa kwa sababu...
Waziri wa Habari, Paulo Makonda ameonesha nia nzuri ya kutaka Tanzania ifahamike kimataifa. Hata hivyo utaratibu aliouzungumza ili Tanzania iandikwe aljazeera, CNN na maeneo mengine ina walakini, na hapa nitoe mawazo yangu kwenye kutimiza hilo.
Suala la sisi kuandikwa kimataifa halifanyiki sana...
Hii ni project ya kimya kimya sana inayouma na kupuliza lakini ukifuatilia posts au habari zao unanusa nia ovu nyuma yake.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Upande wa juu wa mawingu, wingu kubwa limetanda msiyemtaka kaja.
Makonda anajulikana kwa uzalendo wake na kupanga mikakati ya kisasa ya kulitetea Taifa. Makonda ni mwamba kabisa hakuna aisye mjua. Watu wale wenye nia mbaya na Taifa la Tanzania ninauhakika wameanza kutetemeka.
Karibu makonda...
Inasikitisha kuona chombo cha habari kinatoa taarifa za ndani za kifamilia kiasi kuleta taharuki na ugomvi kwenye familia.
Huu ni uandishi wa hovyo na unapaswa kupigwa marufuku.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akiikabidhi Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) kitita cha shilingi milioni 20 (Goli la Mama) baada ya kuifunga Burkina Faso 2 - 0 katika ufunguzi wa Mashindano ya CHAN Agosti 2, 2024 katika Uwanja wa Benjamin...
Huyu bwana wakati wa Mchengerwa aliteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, wengi wakaona kwa sababu amecheza mpira basi ataimudu nafasi hiyo, lakini cha kushangaza muda sio mrefu tangu apewe cheo hicho kikubwa wizarani inaonekana ameondolewa, sasa kama...
Haya mambo yanafikirisha sana asee.
Why vijana wanqtendewa hivi? Sasa ni muda wa serikali kujitafakari.
Katika fukuto la ukosefu wa ajira Kuna mtu anakuja kusema vijana wasifikirie ajira za serikali pekee bali wajiajiri.
Mtu huyo ni msemaji wa serikali pia ni katibu mkuu wizara ya habari!
Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha cha Mapinduzi Zanzibar Dkt. Muhammed Said Dimwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab kukaa pamoja na Uongozi huo wa Veta ili kuweza kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar na kuweza kujiajiri...
Mbona kama utalii unaendana sana na masuala ya utamaduni na sanaa kama vile nguo na vinyago vya wamasai??
Sasa vinyago vya wamasai na habari, wapi na wapi wakuu?? Au sanaa za wamakonde na michezo ya Simba na Yanga ni wapi na wapi??
Hivi hawa wanaopanga hivi vitu ndani ya Wizara huwa wanawazaga...
Kwanza kabisa nikiri wazi nakubali sana uchapakazi wa Jerry Silaa (Mb) hasa alivyokuwa Wizara ya ardhi. Lakini kama tujuavyo mteuliwa hana maamuzi ni wapi afanye kazi, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu aliamua kumuondoa Wizara ya Ardhi ambapo sote naamini tunakumbuka hekaheka zake akamhamishia Wizara...
Sehemu yenye mfumo rasmi ndio kipimo tosha cha umahiri. Leo nimeona habari kwamba Jerry Silaa alikuwa ana ziara jimbo la Mkalama kuzindua mradi wa maji, kituo cha afya, na chuo cha ufundi jimbo la Nkalama.
Najua kwamba Wizard hizo zina miradi mingi kiasi kwamba ni ngumu kwa mawaziri wake...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tehama mh Jerry Silaa amekabidhiwa Ofisi ya Wizara yake mpya
Jerry Silaa amekabidhiwa Ofisi na Maafisa Waandamizi wa Wizara
=========
MAKABIDHIANO YA OFISI KWA JERRY SILAA
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb)...
Kabla ya kusoma maoni yangu tazama hizi takwimu na maelezo ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari:
BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2023/24
Katika Mwaka wa Fedha 2023/24 Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iliidhinishiwa kutumia kiasi cha Shilingi bilioni...
Waziri Nape ameyasema hayo leo Bungeni wakati akiwasilisha makadirio ya bajeti ya wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari tarehe 16/5/2024.
"Napenda kuvishukuru vyombo vya habari vyote pamoja na jumuiya zao ikemo MOAT, TAMWA, MCT, UTPC, MISA-TAN, TADIO, TMF, TEF, JOWUTA...
Haki ya kufa, mara nyingi hujulikana kama kujiua kwa msaada wa daktari (PAS), ni suala tata na nyeti. Hata hivyo, kupuuza mateso ya watu wanaopitia maumivu makali kwa muda mrefu kutokana na sababu mbalimbali kunakuwa kukosa kuheshimu haki yao ya msingi ya heshima(dignity).
Katika uwanja wa haki...
MICHEZO ni mazoezi yahusuyo mwili, ambayo huhusisha ushindani ndani yake.
Ushindani huo hua na taratibu na kanuni kutokana na jamii au mchezo husika.
Kumbuka:michezo ni ajira
Michezo ni afya pia huweza kuondoa msongo wa mawazo.
Kuna wachezaj mbali mbali walio jiajili na wana...
Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa humu Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, ninaomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
Mhe. Rais kilichofanywa na wizara ya Habari hakina hata chembe ya Haki. Ukisoma barua ya wizara inasimamisha wafanyakazi kazi kisha barua hiyo hiyo inaeleza kwamba wanaharakisha mchakato WA tenda; unajiuliza Nani kawaambia wizara kama hitilafu ilivyotokea inahitaji tenda? Maana yake wanayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.