Waziri Jerry Silaa akabidhiwa Ofisi Wizara ya Habari na Katibu Mkuu wa Wizara, Bw. Mohammed Khamis Abdulla

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
91,134
158,445
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tehama mh Jerry Silaa amekabidhiwa Ofisi ya Wizara yake mpya

Jerry Silaa amekabidhiwa Ofisi na Maafisa Waandamizi wa Wizara

=========
MAKABIDHIANO YA OFISI KWA JERRY SILAA
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb) alipowasili katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam mara baada ya kuapishwa Ikulu tarehe 26 Julai, 2024.

Silaa 2.jpg

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb) akiwa katika picha mbalimbali pamoja na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb), Katibu Mkuu wa Wizara, Bw. Mohammed Khamis Abdulla, Naibu Katibu Mkuu.

Silaa 3.jpg

Katibu Mkuu waWizara, Bw. Mohammed Khamis Abdulla akikabidhi Ofisi na vitendea kazi kwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry William Silaa (Mb) mara baada ya kuwasili katika Ofisi ndogo za Wizara zilizopo Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2024.

Jerry 4.jpg

Akiwa na watendaji wa Wizara
 
Nimepishana naye uku bondeni cina wakika kama kaja kushudia mechi ya Yanga au labda kaja kumjulia hali Mwanasiasa mwenzie RC.
 
Back
Top Bottom