Baada ya athari kubwa kuonekana katika familia, mke wa Joachim akamtaka aache michezo hiyo, jambo ambalo limeshindikana, na kwa sasa anacheza kwa kificho.
“Hii michezo inashusha sana maendeleo, kwa sababu mwenzio anahitaji mfanye jambo fulani. Mnaweza mkakubaliana sawa, kwa sababu kuna pesa...