Heshima kwenu wakuu, Itifaki na izingatiwe.
Iko hvi, kwa muda mrefu nimekua natamani uwezo wa kukimbia atleast 10KM kwa pace nzuri.
Sasa jana nimeanza vizuri tu, easy running kwa 4.14KM kwa pace ya 07:25min/KM.
Sasa leo nikawa na aim nifike 5KM lkn naona pumzi imekataa kabisa 😂 tuwaone tu...