wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Huu utakuwa wimbo gani?

    Huu unahisi ni wimbo gani?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa bongo wapo fasta wameshatunga wimbo wa Simba kawa paka. Utani wa jadi mtamu

    Huu wimbo simba kawa paka umeniacha hoi sana. Kila msiba wasanii wanautungia wimbo fasta
  3. JamiiForums Tanzania Wimbo huu wa Lucky Dube ukawe SALA kwako

    Naomba wimbo huu kwa nyakati hizi, ukawe kama sala kwako! Hasa pale anaposema kuwa huwezi kujua hadi pale MTU aliyevaa koti jeusi atakapokuvamia, Gwajima yeye alisema, hatujui kesho ni Nani..... Tuanzie na verse hii Come on now little boy Say your prayers before you sleep Little boy went down...
  4. M

    JamiiForums Tanzania G55 na wimbo wa "naapa naahidi mbele ya Mungu, CHADEMA nitakulinda mpaka kufa"

    Huu ni wimbo maarufu, zamani ulikuwa ukiimbwa na wanaCCM kuahidi kuilinda CCM mpaka siku ya kifo chao. Baadae CHADEMA nao wakauchukua ukawa ni miongoni mwa nyimbo maarufu za chama, wakiapa na kuahidi mbele za Mungu kuwa watailinda CHADEMA mpaka siku za mwisho za uhai wao. Sasa najiuliza kulikoni...
  5. JamiiForums Tanzania BASATA mmekuwa zaidi ya mizigo! Eti wimbo Oscar Oscar 'Mniombee' upigwe saa Sita Usiku na ushasambaa

    Katibu Mtendaji Wa Baraza La Sanaa Taifa Kedmon Mapana amesema wimbo wa Mtangazaji Oscar Oscar Jr hautaruhusiwa kupigwa sehemu za wazi, utapigwa kuanzia saa sita usiku na utasikilizwa na watu wazima pekee. Mapana ameyazungumza hayo baada ya kumuita Oscar Oscar BASATA kujadili mustakabali wa...
  6. JamiiForums Tanzania Video: CHAUMMA waimba wimbo wa CHADEMA mkutanoni Ubungo Plaza 'CHADEMA nitakulinda mpaka kufa'

    Wakuu Hawa G55 ni kama bado wapo CHADEMA tu, kwenye mkutano wa CHAUMMA wanaimba wimbo wa CHADEMA 'Naapa naahidi CHADEMA nitakulinda mpaka kufa' wamebadilisha jina la chama tu.
  7. JamiiForums Tanzania HAYA WIMBO WA WANAUME WATETEA HAKI ZA BINADAMU, THE LAST MAN TZ ASHIKA KIJITI CHA ROMA MKATO

    YouTube https://youtu.be/lr1WEEFWsR0?si=j7pi7_Rb-5u9jwcI Full video
  8. JamiiForums Tanzania TANZIA Sifa Bujuni aliyeimba 'Mnatuona Nyatu tu' amefariki Dunia hospitali ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu

    Wakuu, Sifa Bujuni aliyeimba 'Mnatuona Nyatu tu' amefariki Dunia hospitali ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu, baba yake mzazi athibitisha hilo. Mhh...... Mungu amlaze pema. Pia soma Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya...
  9. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Wimbo wa Usiogope utambulike kama wimbo rasmi wa Chadema nyakati hizi za Kupigania Ukombozi

    John Mnyika Leo katika kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii kuna kipande cha wimbo unaoitwa Godbless Lema Usiogope kinasambaa sana. Napendekeza wimbo ule urekodiwe tena na kuwekwa maneno ya Chadema na Watanzania wapenda mabadiliko Msiogope. Maneno ya ule wimbo yawatie moyo Chama cha...
  10. JamiiForums Tanzania Wimbo wa ONLY GOD CAN JUDGE ME, Tupac alisema "Na wanasema ni Mzungu ninayepaswa kumuogopa, Lakini ni wa aina kama yangu ndio wanaofanya mauaji hapa"

    "And they say it's the White man I should fear, But it's my own kind doin' all the killin' here" Katika wimbo huu anaongelea experience yake alivyopigwa risasi wakati alipoenda kuwatembelea bad boys pale quad studios. Ni statement fupi ila iliojaa ujumbe mkuu kulingana na hivi vituko waafrika...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

    Pepo huyo ndie aliekuwa anaongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia midomo na sauti ya Tupac. Haya si maneno yangu bali nimeyakuta huko TikTok. Mtoa hoja hii anasema yeye ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya Lugha za kiroho. Vile vile ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya kusoma Sauti za ndani za...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanangu aende kuitikisa Talent Show tutayohudhuria wazazi, Aimbe wimbo gani wa kiingereza Hiphop usio na matusi tuanze mazoezi ?

    Nina mtoto wa kiume yupo darasa la 6, Nimepewa barua kuna Talent show itafanyika shule zitapofungwa mwezi wa sita, Shule imetuasa wazazi tuwasaidie watoto kushiriki. Kitu anachokiweza zaidi ni kuimba Nimejaribu kumpa mkwaju wa kihenga kama I know i can - Nas, kabaki kunishangaa na akaniuliza...
  13. JamiiForums Tanzania Mimi Msela siwezi kwenda jela. Wimbo wa nani huu?

    Tulipokuwa tunakua huu wimbo ulikuwa maarufu saana. Ilikuwa ukianza kujifunza kuchana basi utaanza na hii mistari. Mimi msela siwezi kwenda jela Na nikienda jela narudi na Mihela.. Naruka tikitaka kulia na kushoto Na mademu wanitaka .... Wimbo wa nani huu?? Nautafuta
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Machafuko yazuka Nakuru, Wasichana watawanywa kwa mabomu, Serikali yakazia maadili

    Vurugu zimezuka katika Tamasha la Kitaifa la maigizo huko Nakuru nchini Kenya, baada ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Butere kukataa kucheza tamthilia yao ya kutatanisha "Echoes of War’’, mchezo ambao unaangazia mapambano ya Vijana kuhusu uhuru wa kiraia, utawala na haki ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kisa cha Emmanuel Mbele kumpiga mwamuzi mpaka kutungiwa wimbo

    Huyo kwenye picha ni Emmanuel Mbele aliyekuwa mchezaji wa klabu ya Sunderland na baadaye kuitwa klabu ya Simba kwenye miaka 1960s hadi 1970s. Huyu bwana mkubwa aliwahi kumpiga mwamuzi mwaka 1968 wakati Sunderland akipokea kipigo kutoka kwa Yanga magoli 5-0. Jitu moja lina matege yake na mbavu...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna wimbo kutoka AI kuhusu madaraka

    Ai kwa sasa kilichobaki watutengenezee wakina lucas mwanshamba tu. Sikiliza hii nyimbo
  17. JamiiForums Tanzania Kama uliusikiliza huu wimbo enzi hizo, basi fanya uowe/uolewe/uzae haraka

    BURUDANI Leo nakuletea uzi wa burudani, lakini pia nakukumbusha kuwa kama uliusikiliza huu wimbo tangu siku ambayo wimbo ulitambulishwa sokoni basi fanya uowe/uolewe/uzae. Usilete visingizio kuwa unatafuta hela, huenda fungu la hela limekupita kushoto, hivyo usipitwe na fungu la uzao, utakufa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo naweza download wapi?

    Ni Wimbo wa Roman Catholic unaanza na mtu anaongea maneno harafu wanaanza kuimba wimbo unaitwa Kwa ajili ya mateso makali ya Yesu utuhurumie sisi na Dunia nzima Ntaweza kuupakua wapi!? msaada tafadhali
  19. JamiiForums Tanzania Mwaka 1988 siku ya kwanza kuonavideo ya wimbo Thriller wa Michael Jackson pale Drive inn sikulala usiku

    Sitaisahau hii siku ni miaka mingi 1988 , pale Drive inn Cinema zilipo ofisi za Zantel,Msasani. Tumetoka mtoko wa jioni na mzee wetu kuangalia filamu ambayo siikumbuki ila ninachoku.buka kabla ya filamu ulipigwa wimbo wa Thriller wa Michael Jackson Kwa umri wangu mdogo chini ya miaka 10 yale...
  20. JamiiForums Tanzania Nimeshtuka sana baada ya kugundua wimbo wa Hunifahamu wa Dully Sykes umetimiza miaka 20, kweli nimezeeka sasa

    Nilikuwa youtube hapa nasikiliza ngoma mbalimbali zilizopendwa. Ukaingia wimbo wa Hunifahamu ulioimbwa na Dully Sykes, mwishoni Dully anataja mwaka 2005 ambao ametoa wimbo huo . Nikashtuka leo ni mwaka 2005 takribani miaka 20 imetimia, hakika sasa mimi ni mzee. Yuko wapi aliyesema uzee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…