wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye wimbo wa "Mwaka wa Tabu" anitusaidie

    Habari za muda huu waungwana? Naomba mwenye wimbo huo hapo juu anisaidie. Nadhani uliimbwa na Mchinga Sound kama sijakosea. Nitashukuru sana.
  2. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa na huu wimbo (Audio ) naomba auweke hapa, naukubali sana

    Golden tz - Lonely. Kama inavyoonekana hapo juu, Msanii anaitwa Golden tz na wimbo unaitwa Lonely. Frankly kwangu ni wimbo mkali sana Ila nimejaribu kuutafuta kwenye platforms mbalimbali sijafanikiwa kuupata. Kwa mara ya kwanza niliusikia Clouds FM siku kama mbili zilizopita kwenye kipindi...
  3. JamiiForums Tanzania Wamwiduka Band ni mgodi wa vipaji, wimbo wao wa NEMC umependwa Afrika nzima

    Kama wangekuwa au wana akaunti YouTube, wangekuwa na mamilioni ya viewers na wangekuwa wanajiandaa kuvuna mamia ya mamilioni. Nadhani watu wameona kipaji cha muziki cha hali ya juu, ni wazi Watanzania na Waafrika wamechoshwa na nyimbo za ovyoovyo za wasanii wetu, wanataka vionjo vya Kiafrika...
  4. JamiiForums Tanzania Huu Wimbo umenifumbua Macho kuhusu Uchafuzi wa Kelele. Kweli NEMC hawazimi Muziki

    Kuna watu ambao hawajapata elimu ya Kwanini NEMC inapambana na Bar na Hotel zinazopiga Kelele kisha wakifungiwa wanakimbilia kwenye kichaka cha Muziki na kudai NEMC inakataza na kuzuia Muziki ili wapenda Muziki wawaunge Mkono. Ukweli NEMC inataka watu wapige Muziki kwa sauti inayokubalika na...
  5. JamiiForums Tanzania Taja Wimbo utakaosindikiza Furaha yangu Kubwa ya Ushindi wa USM Alger FC leo kwa Mkapa

    Nazisubiria mzitaje tu ili Nikeshe nazo.
  6. JamiiForums Tanzania Usanii na Akili nyingi aliyotumia Prof Jay katika Wimbo wa Bongo Dar es Salaam

    Huu wimbo uliachiliwa Mwaka 2001, katika albam yake ya Machozi, Jasho na Damu. Nitachambua na kuunganisha na Matukio ya sasa ambayo enzi hizo yalikuwepo ila baadhi ya watu wanayafanya kama ni mambo mapya... na uzuri huyu PROFESA Alichimba ndani sana.. 1- Ushoga 2- Umalaya na Kuuza Miili 3-...
  7. JamiiForums Tanzania Sikiliza Wimbo wa Zahanati ya kijiji by Mike Song

    Dondosha Comment yako kuhusiana na hili goma
  8. JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli: Wimbo wa Bakanja wa Fally Ipupa ni timeless, vibe lake halitakuja kuchuja

    Sina mengi.. Hii ngoma nadhan jamaa alizindika sana kabla ya kutunga na kuitoa, ngoma haipotezi radha, sio kama miziki baadhi ukishasikiliza miaka miwili mitatu ile excitement inatoka, lakini nikisikia hata hapa Bakanja inapigwa lazima ni-feel amani kabisa na kutingisha kichwa polepole. Long...
  9. JamiiForums Tanzania Hadi kufikia sasa, hakuna kituo cha runinga ama redio kilichocheza wimbo wa "Nipeni maua yangu"

    Sawa, hauna video, lakini hata kwenye redio haukuchezwa pia (a) Ni kwamba wamiliki wa redio zetu pamoja na watangazaji wao hawana uhakika na uhuru wa vyombo vya habari walionao? (b) Au ndo kusema kuwa barua kutoka BASATA zilisambazwa sehemu husika kimya kimya pasi na taarifa kwa umma? Wacha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Simba fanyeni usajili wa wachezaji watakaowavusha zaidi ya hapo, vinginevyo wimbo utabaki kuwa ule ule miaka yote

    Nimeona baadhi ya mashabiki wa simba na wachambuzi wakiipongeza simba kuwa pamoja na kutolewa na whydad lakini wamejitahidi. Ikumbukwe kwenye hatua ya robo fainali akunaga cha kujtahidi kinachoangaliwa ni kuvuka kwenda hatua inayofata ya nusu fainali aijalishi umevukaje, na mafanikio yako...
  11. JamiiForums Tanzania SI KWELI BASATA yafungia wimbo wa Roma Mkatoliki, "Nipeni Maua Yangu"

    Kuna taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia wimbo mpya wa Nipeni Maua yangu wa Roma Mkatoliki. Je, taarifa hizi zina ukweli ndani yake?
  12. JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi yaagiza wasiotii wimbo wa Taifa wakamatwe

    Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limesema litaanza kuwachukulia hatua wananchi wanaokaidi kutii sheria za nchi kwa kutokuwa na utayari wa kusimama na kuimba wimbo wa taifa kwenye shughuli za kiserikali. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema leo Ijumaa Aprili 21, 2023 ikiwa ni...
  13. JamiiForums Tanzania Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki

    Kuna wimbo mpya umetoka. Si mwingine ni kijana wetu, Roma Mkatoliki. Wimbo unaitwa "Nipeni Maua Yangu" humo ndani kuna madini ya kutosha. Roma Mkatoliki kama kawaida yake katoa ya moyoni yanayoendelea katika utawala huu wa awamu ya 6. Kama kawaida kanyoosha maelezo hajapindapinda. Hakika baada...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo wa zamani wa maji yakimwagika hayazoleki, nitaupata wapi?

    Moja ya mistari yake unaimbwa hivi, "maji yakimwagika hayazoleki, itabidi ukakae ufikiri, yaliyotokea ukiri"...kuna binadamu wa ajabu... Na huo wimbo Sio wimbo wa taarabu Mwenye kujua kuna la huo wimbo, ulikua popular Kwenye early 2000's
  15. B

    JamiiForums Tanzania Video ya wimbo huu Wa zamani unaoitwa "chezea mshahara, usichezee kazi" nitaipata wapi

    Nliona video ya huu wimbo mwaka 2007, Moja ya mistari yake unaimbwa, (usione twaendeshaa, tunafanya kazii) ×2..video yake ntaipata wapi
  16. JamiiForums Tanzania Stephen Chelu - Therapy: Sikiliza Wimbo Wangu Huu Kisha Utoe Maoni Yako

    Baada ya moonlight serenade 👇👇👇 Ambapo nilipokea maoni mbalimbali ambayo naendelea kuyafnyia kazi. nikukaribisheni tena kusikiliza wimbo mwingine uitwao therapy ambao nimeufanya mwenyewe mwanzo mwisho. hii ni express version kwa sababu bado sijaridhishwa na jinsi ninavyoisikia lakini bado...
  17. JamiiForums Tanzania Nimecheka sana tafsiri ya huu wimbo

  18. JamiiForums Tanzania Hii cover ya wimbo wa roho wa Christian Bella (ft Fid Q) aloifanya TGUN TOZZY kwenye BSS imenikumbusha miaka ile Lil Wayne kwenye MTV UNPLUGGED

    Hello bosses and roses, Huyu dogo TGUN TOZZY ni complete package ya perfomer. Jamaa anaweza kutengeneza vibe fln kwenye rap ambalo wachache tu huweza kufanya. Nimeona cover ya Roho (christian bella ft fid Q) ilofanywa na TGUN na mwenzake aisee imenikumbusha mbali sana enzi hizo za MTV...
  19. JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
  20. JamiiForums Tanzania Wajue wanamuziki 45 walioshiriki kuimba wimbo wa WE ARE THE WORLD

    • Quincy Jones • Lionel Richie • Stevie Wonder • Paul Simon • Kenny Rogers • James Ingram • Tina Turner • Billy Joel • Michael Jackson • Diana Ross • Dionne Warwick • Willie Nelson • Al Jarreau • Bruce Springsteen • Kenny Loggins • Steve Perry • Daryl Hall • Huey Lewis • Cyndi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…