wilaya

A wilayah (Arabic: ولاية‎, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت‎, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakurugenzi wa Taasisi, Makatibu wa Wizara, Wakurugenzi wa Wilaya na Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Mikoa wawe wanafanyiwa usaili

    Kwakweli nimependezwa sana na mawazo mazuri aliyotoa waziri wa fedha leo. Sijawahi kuwa mshabiki wa Waziri wa Fedha lakini haya aliyozungumza, leo natangaza kuanzia leo nakua mshabiki wake. Na tena nakazia. Watu hawa wawe wanafanyiwa usaili wakurugenzi wa taasisi zote, makatibu wa wizara...
  2. Moses Machali, naona ukuu wa Wilaya Bukoba unaelekea ukingoni, vijiwe vya kahawa soko kuu vinakung'oa

    Ile ajenda ya Kodi za zamani aliyoisema Mh. Rais na Mbunge wa Bukoba Mjini ni taa ya kukaa sawa dhidi ya Moses Machali, mkuu wa wilaya ya Bukoba, kwamba "walangila wameshamkalia vikao, na hawamtaki". Bukoba ni wilaya ambayo Siasa imetamalaki, na Kuna wafanyabiashara wameshamuunguzia Uzi, na...
  3. M

    Wakuu wa wilaya kujazia mafuta bodaboda ili wakampokee mkuu wa nchi ni kumhadaa kuwa anakubalika wakati si kweli

    Hii ni janja au akili mbovu? Yaani mnawapa boda boda lita tatu za mafuta kila anapopita rais Samia na kuwaambia boda wabebe raia ili kuonekana kuna nyomi linalomkubali mama? Ukweli ni kuwa hii ni hadaa ya kufa mtu. Boda boda wanajipatia mafuya ya bure tu. Hii imetokea kila mahala. Msilete...
  4. K

    Serikali iwasaidie wakulima wa mihogo wa Wilaya ya Handeni

    Jioni hii kupitia taarifa ya habari nimeshuhudia taarifa ya kuhuzunisha sana jinsi wakulima wa mihogo kutoka Wilaya ya Handeni walivyopata hasara ya kuharibikiwa kwa tano 200 za mihogo. Wakulima hawa waliingia mkataba na Kampuni moja ya Dar es Salaam kununua mihogo yao yote watakayolima...
  5. Rais Samia akiwa safarini kuelekea Mkoani Kagera, asimama njiani kuzungumza na Wananchi leo Juni 8, 2022

    ======= Rais Samia akiwa Bwanga Wilaya ya Chato Geita Akizungumza na Wananchi wa Bwanga Wilayani Chato, Mkoani Geita Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwasababu ya Vita inayoendelea Nchini Ukraine, bei ya mafuta imepanda duniani kote Ameeleza, "Dunia nzima tunaziambia zule Nchi mbili ziache...
  6. Mkazi wa kijiji cha Bwira Juu kata ya Selembara wilaya ya Morogoro anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi wa kituo cha polisi Dala

    Kijana ambaye jina lake halijatambulika mkazi wa kijiji cha Bwira Juu kata ya Selembara wilaya ya Morogoro anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi wa kituo cha polisi Dala. Inaelezwa kuwa askari huyo alikuwa amekwenda kumkamata kijana huyo nyumbani kwake baada ya mkewe kumshtaki polisi...
  7. Hongera sana TAKUKURURU Wilaya ya Rungwe kama ni kweli

    Hamjachukua muda mrefu kuchukua hatua baada ya kusikia malalamiko ya baadhi ya wananchi MBEYA RUNGWE kata ya IKUTI PALE BUTONGA. Walau wenda viongozi wa kata na kijiji IKUTI RUNGWE wataamka na kutambua huu sio wakati wa kutishana bali uwajibikaji. Japo mkimaliza uchunguzi wenu kuna waamuzi...
  8. Nimepita wilaya fulani nimeona mapungufu haya kwenye vibao anuani za makazi...

    Kazi ambayo serikali imechukuwa muda kuiratibu lakini imetendeka ktk kiwango cha chini au kinachostaajabisha. Anuani ya makazi unakuta wilaya nzima vibao vimeandikwa kwa majina ya watu hivi ilishindikana kabisa kufatilia kujuwa jina la mtaa la asili? Au kuna watu walitaka kujitafutia umaarufu...
  9. Nafasi za kazi Wilaya ya Serengeti

    https://serengetidc.go.tz/announcement/tangazo-la-nafasi-za-kazi-serengeti-3
  10. Huyu afisa elimu wa wilaya Songwe awajibishwe kwa matumizi mabaya ya ofisi

    Huyu afisa elimu ana mapungufu mengi nashangaaa kwanini Serikali inamucha mpaka leo amekuwa kero kubwa kwa watumishi anaowangoza mpaka basi.Mara kwanza alikuwa afisa elimu yule aliehamishiwa tabora naye alikuwa msumbufu balaaa. Lakini huyu alieachwa ana mapungufu balaaa na sijui hivi vyeo uwa...
  11. Z

    Mfamasia wa Wilaya apewe majukumu ya kusimamia pharmacy kwenye eneo lake. Tuache kubandika vyeti vya wafamasia kwenye maduka, siyo cctv camera

    Nataka kujua cheti cha mfamasia kinaruhusiwa kubandikwa kwenye pharmacy ngapi ndani ya wilaya anakoishi? Maana kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja basi haina maana kabisa. Kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja kwa maana ya kuzisimamia, kazi hii angepewa...
  12. CCM wilaya ya Hai yaibua zoezi la kuwatambua simu na Majina ya wagombea Nafasi za chama kuanzia Mashina hadi kata kabla ya uchaguzi mkuu wa chama

    Chama cha mapinduzi ngazi ya wilaya , wilaya ya Hai huko Kilimanjaro kimeanza zoezi la hila la kuwatambua viongozi watakao chaguliwa kuanzia ngapi ya Shina hadi ngazi ya kata Mia ikiwa kuvuruga uchaguzi mkuu wa chama hicho. Zoezi hilo linaonyesha linaratibiwa na mbunge wa Jimbo kwa...
  13. Je, hili linawezakana vipi? Katibu Tawala Wilaya ya Mbarali azitaka CHADEMA, CUF na ACT kuwasilisha taarifa za vyanzo vya fedha na namba za akaunti

    Katibu Tawala Wilaya ya Mbarali, Michael J. Semindu ameviandikia barua Vyama Vya ACT Wazalendo, CUF na CHADEMA barua kuvitaka kuwasilisha taarifa zao katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo. Barua hiyo ambayo nakala imeenda kwa Mkuu wa Wilaya inavitaka vyama hivyo kuwasilisha; Muundo wa Uongozi wa...
  14. Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basila Mwanukuzi apata ajali ya gari

    Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basila Mwanukuzi amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga, Bombo baada ya kupata ajali ya gari katika Barabara ya Tanga- Segera eneo la Hale Wilayani Korogwe. Kaimu RPC wa Tanga, David Mwasimbo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo "Ajali imetokea usiku wa...
  15. TRA na Maafisa Biashara wa Wilaya ya Songwe acheni kuwaibia wananchi

    TRA wakishirikiana na maafisa wa wilaya ya Songwe wamekuwa wakiwahuhujumu wafanya biashara wadogo wa wilaya ya Songwe wamekuwa wakiwafungia biashara zao hasa mama na kuwalazimisha walipie sh 50,000 ya kufuli na kuwapiga faini ya 50000, ya usumbufu, 50000 kupata TIN namba na Sh 50000 kwa ajili...
  16. Wenyeviti Serikali za Mitaa amkeni: Wakuu wa Wilaya angalieni hii inawahusu

    Viongozi wa mitaa ndiyo base ya mambo yote serikali inayopanga. Bila Hawa viongozi kufanya kazi yao kazi haiwezi kufanyika. Mabalozi wa shina ndio msingi mkuu wa kuunganisha wananchi. Dhana yote ya utawala bora itategemea oganaisheni(organization) ya Mh DC, na wananchi bila Hilo hakuna kitu...
  17. M

    Madereva wanahitajika Wilaya ya Longido - Mshahara Tsh 390,000/=

    NEW JOBS AT LONGIDO DISTRICT COUNCIL, APRIL 2022 The Executive Director of Longido District Council is inviting applications from Tanzanians to fill new vacant positions. Read full details through the PDF Document attached below:
  18. Msaidizi wa Hesabu (Accounts Assistant), Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (1 Post)

    MSAIDIZI WA HESABU (ACCOUNTS ASSISTANT) - 1 POST POST CATEGORY(S) ACCOUNTING AND AUDITING EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Musoma APPLICATION TIMELINE: 2022-04-12 2022-04-25 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES Kuandika na kutunza “register” zinazohusu shughuli za uhasibu...
  19. Kuna harufu ya upigwaji Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo malipo ya Anwani za Makazi

    I
  20. T

    Mikoa gani na wilaya gani zinakuza ngano kwa wingi Tanzania?

    Habari wakuu, natarajia kila moja wenu ako salama. Nimekuja kwenu nikitaka msaada kaa zile kichwa kinajieleza, ningetaka kujua ni mikoa au wilaya gani zinakuza ngano kwa wingi au ina ardhi ambayo ngano inaweza kuzwa kwa wingi? Nitashukuru sana kwa msaada wa majibu huyu wapenda, natanguliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…