who

  1. Viongozi wa Afrika wachukulie jambo la USA kujiondoa WHO kama fursa na sio kulalamika

    Kwanza nimpongeze Hon. D. Trump kwaujasili wa kuiondoa USA katik ufadhili wa WHO. Binafsi naona kama anania ya kufikirisha akili za viongozi wa nchi masikini kutumia vizuri makusanyo yao ya ndani badala ya kununua samani na magari ya kifahari. Pia, nifulsa kwa raia wenye akili bunifu katika...
  2. Kwanini Tanzania tusijitokeze na kutangaza kuchangia mchango wote ambao Trump ametishia kujiondoa WHO? Hii itatupa heshima Dunia nzima

    Nimewaza sana na ninafikiri ni muda Sasa wa Dunia kututambua USA amesema kwa mwaka Jana pekee alichangia kiasi Cha Dola za Marekani milioni 500 pesa ambazo ni kama tilioni moja nukta 2 za kitanzania (1.2tirioni za kitanzania). Pesa hizi tunao uwezo wa kuzipata na kuziwakilisha kama mchango wetu...
  3. 8 types of people who never deserve a second chance

    In this article, I’ll be pulling the curtain back on the 8 types of people who never deserve a second chance. Hold on tight, because some of these might hit close to home. 1) Chronic liars We’ve all stumbled upon a fib or two in our lives. It’s a part of human nature, right? But there’s a huge...
  4. Marekani Kujitoa WHO ni vita vya kiuchumi na China

    Marekani kujiondoa WHO ni kama kete ya kuiachia mzigo wa gharama China inayotaka kujipanua kiuchumi duniani. Wakati marekani ina watu milioni 400 , China ina watu 1.5 bilioni lakini inachangia kidogo zaidi katika WHO kuliko Marekani. Marekani inaona kama inabeba mzigo mkubwa pekee wakati China...
  5. Kujiondoa Kwa Marekani kwenye WHO ni sawa na kukataa kuwa Kaka mkubwa Wa Dunia. Trump hafai kuwa kiongozi wa USA

    Hasara ni kubwa sana, kwa mara nyingine Dunia unaenda kupata pigo kubwa kwa kukubali kuongozwa na mpumbavu. Marekani inapambana kuwa na ushawishi haswa huku Afrika ambapo china imeleta ushawishi mkubwa Wa kiteknolojia Leo anatokea mpumbavu mmoja kujiondoa kwenye shirika la Afya duniani. Huu ni...
  6. Kauli ya WHO kuhusu taarifa ya Marekani kujitoa katika shirika hilo

    Kauli ya WHO Kuhusu Taarifa ya Marekani Kujitoa katika shirika hilo Shirika la Afya Duniani (WHO) limesikitishwa dhidi ya tangazo la Marekani kwamba inapanga kujitoa katika Shirika hilo. WHO ina jukumu muhimu la kulinda afya na usalama wa watu duniani, wakiwemo Wamarekani, kwa kushughulikia...
  7. Rais Trump amesaini amri ya kuiondoa Marekani kwenye uanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO)

    Rais Donald J. Trump ametia saini agizo la kuiondoa Marekani kutoka Shirika la Afya Duniani(WHO) 20 Januari 2025, muda mfupi baada ya kuapishwa kwake Uamuzi huu umezua mjadala na wasiwasi mkubwa miongoni mwa wataalam wa Afya duniani. Rais Donald Trump alitaja sababu kadhaa za Marekani...
  8. Boniface Jacobi, an intelligent person who turned into a sycophant

    Boniface Jacob au maarufu Bon Yai ni mmoja wa wanasiasa vijana wenye akili na ambao kimsingi wanajua siasa kutoka moyoni. Kama unafahamu temperaments za watu, huyu bwana ni real ktk siasa zake na ana siasa za akili na ana akili kubwa ukipenda. Shida ambayo nimepata hivi karibuni ni kumuona mtu...
  9. I'm Looking for someone in dar es salama who is a Native English Speaker

    Hello JF, I'm looking for someone in dar es Salam who is a Native english Speaker, The purpose of looking for that person is learning Anyone interested please check me
  10. Mkurugenzi Mkuu wa WHO 'alinusurika kifo' katika shambulio la uwanja wa ndege wa Yemen

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema yeye na wenzake "wameponea kifo chupuchupu" katika shambulio la anga la Israel kwenye uwanja wa ndege nchini Yemen. Tedros Adhanom Ghebreyesus alisimulia kuhisi "amefichuliwa kabisa" wakati wa shambulio hilo, ambalo liliua takriban watu...
  11. Israel yaichakaza miundombinu ya magaidi wa Houthi na kumjeruhi mkuu wa WHO

    Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Tedros Adhanom akiwa na wafanyakazi wengine wamenusurika kuuawa katika shambulio la anga, linalodaiwa kufanywa na ndege za kivita za Israel kwenye uwanja wa ndege wa Yemen, ambalo limesababisha vifo vya watu watatu na wengine kujeruhiwa. Mhariri |...
  12. Dr Kigwangalla alifaa zaidi WHO

    Kuanzia mwanzoni Mheshimiwa Mbunge Dr Kigwangallah alifaa zaidi kuingia ulingoni huko WHO. 1. Mbunge, 2. Aliwahi kuwa Naibu Waziri (Afya), 2. Aliwahi kuwa Waziri Maliasili na Utalii. 3. Mgombea Urais JMT, 2015
  13. Itakuwa vigumu Prof. Janabi kupenya ushindani wa Mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa ila tutumie vigezo sahihi kumpima.

    Mjadala ulioibuka baada ya Janabi kupendekezwa kuingia katika ushindani wa kugombea nafasi ya Mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa ni muhimu ila umepotoka kiasi kikubwa kwa kushindwa kujikita katika mahitaji ya mtu anayetakiwa katika hiyo nafasi. Pamoja na hayo nakubiliana na wanaosema CV ya Janabi...
  14. Timu ya kampeni Prof. Janabi WHO ijumuishe wataalamu wenye uzoefu

    Prof Janabi anatosha WHO. Nashauri timu ya kampeni iwe na watu wenye exposure ya Kimataifa haswa. Huku Peramiho tunawaunga mkono. PIA SOMA - Ikitokea tukapewa nafasi nyingine, Prof. Janabi anafaa kuwa Mbadala katika nafasi ya Faustine Ndugulile DG-WHO
  15. Rais Samia: Tutatafuta Mtanzania mwenye vigezo kumrithi Dkt. Ndugulile WHO

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Dk Faustine Ndugulile itaelekezwa kwa Mtanzania mwingine mwenye sifa. Rais Samia amesema hayo leo Jumatatu, Desemba 2, 2024 katika hafla maalumu ya kuaga mwili...
  16. After the fall of Assad ,the evil U.S. and Israel governments bombing Syria to remove all evidence and kill any one who can testify against them

    The United States Air Force has begun bombing Syria. After the fall of the Syrian government, and the resignation of President Bashar al-Assad, who fled to Moscow, Russia earlier today, the United States has commenced bombing targets inside the defenseless country. This is the true nature of...
  17. Natamani hii nafasi ya WHO kama tunaweza kugombea tena Dkt. Peter Kisenge aIgombee

    Sina hakika kama tunaweza kugombea tena hii nafasi ya WHO aliyopata mpendwa wetu marehemu Dr. Ndugulile na kama tunatuhusiwa kugombea tena kuna huyu Dr Peter kisenge wa pale Jakaya Kikwete. Natamani hii nafasi aombe naamini atapata huyu mtu ni mtu sana kwa sasa hapa Tanzania katika Madaktari...
  18. Baada ya kifo cha Dr. Ndugulile, kwa sasa Tanzania tusahau kabisa kuupata tena ukuu wa WHO ukanda wa Afrika, haiwezekani!

    Ushabiki, ujinga na uchawa umejaa miongoni mwa watanzania wengi huku tukidhani dunia inakwenda kwa style hiyo. Kelele za watu kuanza kupendekeza majina ya watanzania wanaofaa kwenda kugombea tena huko WHO baada ya kifo cha Dr. Faustine Ndugulile zimeshika kasi, na serikali nayo ikaja na kauli...
  19. Naiomba sana Tanzania Impeleke Dkt. Gwajima D pale WHO -Africa

    Kwanza nikiri, Mimi sio muumini wa wale wanaochagua viongozi based on sex . Mimi ni Pro- Qualifications. Hakuna asiyejua Uwezo wa Waziri huyu, Muwazi, Mchapa kazi, Mwenye maono, anayechukia Rushwa , Anayejiamini , Msafi asiyekuwa na Mawaa. Huyu Mama kama angeendelea kuwa Wizara ya Afya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…