who

  1. H

    "Soon u will find out who is the real revolutionary..." Prophet Bob Marley

    when Bob got the invitation to Zimbabwe Independence celebration he contacted his two brothers to join him and they both chickened out...
  2. Prof. Mohamed Janabi ana nafasi kubwa zaidi ya kuchaguliwa kua mkurugenzi mtendaji wa who kanada ya Afrika

    Licha ya kua ana sifa zote, vigezo na masharti tajika ya kitaaluma kulingana wajibu anaoelekea kuutwaa, uzoefu usio na shaka wa Prof.Janabi katika kazi za kada ya Afya kitaifa na kimataifa ni wa kuaminika. Lakini pia umahiri, bidii na ubobevu wake katika masuala ya tiba na tafiti mbalimbali za...
  3. How Do You “Steal” Your Best Friend Who Is Already in a Relationship?

    Wakuu, naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu. Ana best friend wa kiume ambaye wamekuwa close for a long time. Wanaelewana sana, wanashare almost everything, and deep down, anahisi huyo ndo mwanaume sahihi kwake. The problem is—huyo mwanaume tayari yupo kwenye serious relationship! Sasa...
  4. UMATI - Tanzania, msipojipanga ,kubana matumizi, mradi wa afya ya uzazi, unakufa asubuhi na mapema, kufuatia kujiondoa kwa Marekani WHO!

    Kupunguzwa kwa misaada rasmi ya maendeleo, hususan kutoka kwa nchi kama Marekani, kumeathiri pakubwa shughuli za Shirika la Afya Duniani (WHO) na miradi yake, ikiwemo ile inayohusiana na afya ya uzazi. Hali hii inasababisha changamoto kubwa katika utekelezaji wa mipango ya afya, hasa katika...
  5. Professor Janabi is set to compete with other candidates in a debate for the position of Director of the WHO Africa Region on April 2,2025

    Professor Janabi is set to compete with other candidates in a debate for the position of Director of the WHO Africa Region on April 2. I feel a sense of sympathy for him, as many Tanzanians are often hesitant to engage in debates like this. This fear can be attributed to several factors that...
  6. T

    Ningekuwa mimi, nisingeruhusu Prof. Janabi agombee WHO kanda ya Africa

    Nionavyo mimi kule WHO kanda ya africa ni mahali sio pazuri kupeleka mtu kwa Tanzania tumeshapoteza watu wawili mysterious na sote tumewazika bila kujiuliza why haya yanatokea... Wakati kwa Tz tuna fanya siasa kwenye hii nafasi basi tukumbuke hii nafasi ni nafasi ya hatari na kama mnataka mpata...
  7. F

    Watanzania hatupaswi kufanya chochote kumsaidia professor Janabi kushinda ukurugenzi wa WHO kanda ya Africa

    Nimesikia watu mbalimbali na hata viongozi wakubwa kabisa wakisema watanzania tufanye kila tuwezalo ili professor Janabi ashinde kinyan’anyiro cha uchaguzi wa mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa. Tufanye nini ili ashinde? Kwa bahati mbaya tumezoea zile chaguzi ambapo watu wasio na sifa wanapigiwa...
  8. C

    Kenya wanampambania Nduta asinyongwe Vietnam Vs TZ tupambanie Janabi ashinde WHO Africa

    1. Kama Taifa twende na Professor Mkuu Janabi (PhD) ili ashinde huko WHO Africa (baada ya Dr Ndugulile kufariki dunia) Diplomasia yetu ikue. 2. Tujifunze kwa majirani wao wamempambania Odinga Africa Union na sasa Nduta asile kitanzi huko Vietnam.
  9. Utabiri: Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika Kutoka Ivory Coast, West Africa

    Katika miaka ya hivi karibuni, shirika la afya duniani (WHO) limekuwa na jukumu muhimu katika kushughulikia changamoto za afya zinazokabili nchi mbalimbali, hasa barani Afrika. Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika anatarajiwa kuchaguliwa hivi karibuni, na kuna uwezekano mkubwa kwamba atakuwa...
  10. C

    Jenista Mhagama jitokeze kumnadi Prof Janabi ashinde WHO

    1. Waziri mwenye dhamana jitokeze kumnadi Mgombea wetu huko WHO. Akishinda Prof tumeshinda Tanzania nzima (bila kujali kabila wala Dini) 2. Nenda G20, AU, ECOWAS , COMESA, IGAD, EAC, Vatican na tumia network yako mliosoma nao Harvard University. 3. Mwijaku, Babalevo na Steve Nyenyere...
  11. R

    Who is likey to be the looser between Belgium and Rwanda

    Nani wa kupoteza kati ya hao katika kila nyanja...kiuchumi, kijeshi, kidplomasia etc etc.
  12. All african leaders who tried to do good things for their countries were assassinated.

    Yes this is very true. The good example is gadaffi and magufuli.
  13. Prof. Mohamed Janabi Miongoni mwa Wagombea wa Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika

    PROFESA Mohamed Janabi, jina lake limetangazwa rasmi kuwa miongoni mwa wagombea watano katika kuwania nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda ajaye wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Kanda ya Afrika. Prof. Janabi, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) anawania kiti...
  14. Who gives general odds in betting platforms?

    The general odds in betting platforms are set by a combination of algorithms, data analysis, and human expertise. Here's a breakdown of how this process typically works: 1. Oddsmakers (Bookmakers): Role: Oddsmakers, also known as bookmakers, are professionals employed by betting companies who...
  15. Remember who you are

    Remember who you're no matter how the world is evolving! Never forget your true nature not even a second. I LOST MY AMOUR I LOST MY HEIGHT I LOST MY PRESENCE I LOST MY FEAR FACTOR I LOST MY SIZE REMEMBER WHO YOU'RE BOK
  16. Ugonjwa usiojulikana waibuka Kongo na kuua watu zaidi ya 50

    Zaidi ya Watu 50 wamefariki Kaskazini Magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na ugonjwa usiojulikana, hii ikiwa ni kwa mujibu wa Madaktari waliopo katika eneo hilo na Shirika la Afya Duniani (WHO). Takriban visa 419 vimeripotiwa, vikiwemo vifo 53 tangu mlipuko wa ugonjwa huo...
  17. Who is worse, Mobutu or Kabila?

    Comparing Mobutu Sese Seko and Laurent-Désiré Kabila, both leaders of the Democratic Republic of the Congo (DRC), involves examining their respective regimes, impacts on the country, and legacies. Mobutu Sese Seko (1965-1997) Authoritarian Rule: Mobutu ruled with an iron fist, establishing a...
  18. How remembers this?

    Karibu tu share matukio yaliyowahi kuwa ya kihistoria nchini kwetu.
  19. Gorilla spends her final moments hugging the man who saved her as a baby

    Gorilla spends her final moments hugging the man who saved her as a baby. A truly emotional picture.
  20. WHO yamtangaza Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika baada ya kifo cha Dkt Faustine Ndugulile

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza uteuzi wa Dk Chikwe Ihekweazu kama Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, huku likiweka wazi kuwa, Mkurugenzi mpya wa Kanda atachaguliwa Mei mwaka huu. Uteuzi huo unakuja kufuatia kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…