world up, hope mko fit as usually ama nini!
kuna wale raia sijui wana akili gani, sijuhi wanahisi sie wanaume tumeumbwaje aani yaani kitu chochote kitacho happen utaskia "jikaze kiume" oyah haa sie wenyewe binadamu tunafeel vile vile mtuachie itikadi za kiboya
Leo nusu nimkande mshikaji...