America debates: CNN Poll results on who won the debate: Joe 60%, Trump 28% in a chaotic and combative debate

Cbs Instant poll:Biden 48
Trump 41
My take Trump alikuwa anajizungumzia yeye zaidi. Trump kazingua sana alipoizungumzia familia ya Joe
Debate ilikuwa Moto Dakika hizo 90 hata Mimi navote kwa Biden
 
Lakini polls hizi ni za watazamaji wa mdahalo/debate it has nothing to do with CNN inside administration! All in all, this is not a good indication for trump

CNN wanajulikana sana kwa chuki za kijinga kuhusu Trump - tangu Trump amzidi kete Hillary Clinton, CNN bado inaendeleza propaganda zao dhidi ya Trump. Opinion polls za CNN ni za kutunga tu, Biden hana uwezo wa kujieleza kuliko Trump na wala hana analytical mind ya kumfikia Trump.
 
Si sawa kusema Trump has won kwa kuangalia kigezo kimoja tu. Ipo wazi kwamba Biden alikuwa na tools zote za kumbana Trump
 
CNN wanajulikana sana kwa chuki za kijinga kuhusu Trump - tangu Trump amzidi kete Hillary Clinton, CNN bado inaendeleza propaganda zao dhidi ya Trump. Opinion polls za CNN ni za kutunga tu, Biden hana uwezo wa kujieleza kuliko Trump na wala hana analytical mind ya kumfikia Trump.
CNN hawajaanza kumchukia Trump aliposhinda. Walianza akiwa mgombea, hawa wajinga walinilisha matango pori wakati wa kampeni zilizopita. Mwaka huu wakasisitiza Kim Jong kafa. Yani credibility yao naitilia shaka baadhi ya habari.
 
Lakini polls hizi ni za watazamaji wa mdahalo/debate it has nothing to do with CNN inside administration! All in all, this is not a good indication for trump
Hao watazamaji wa CNN nao ni wapinzani wa Trump. Wapenzi wa Trump wapo fox news na inazidi kupata watazamaji wengi kwa sababu inamuunga mkono TRUMP wakati cnn ikizidi kupoteza watazamaji kila siku. Ukitaka ki prove tembelea social media page za fox news uone.
 
Back
Top Bottom