wezi

WEZI (102.9 MHz "Easy 102.9") is a commercial FM radio station in Jacksonville, Florida. It airs an adult contemporary radio format and is owned by Atlanta-based Cox Media Group.
The station's studios and offices are located on Belfort Parkway in Jacksonville's Southside district. The transmitter is off Hogan Road in the Arlington neighborhood. WEZI is a Class C FM station, running at an effective radiated power (ERP) of 100,000 watts, from a tower at 1,014 feet (309 m) in height above average terrain (HAAT). Its signal stretches from the Georgia coast to south of St. Augustine, Florida to southwest as far as Gainesville, Florida.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kumekuwepo na promotion inayoitwa UNICEF FOUNDATION hawa siyo wezi mtandao kweli?

    Kabla sijajiingiza kichwa kichwa naomba kupata mrejesho ambao mlitangulia kwenye huu mgao hii kitu ni ya kweli? Sizani kama kuna watu wanauelewa na hii kitu nimeona wengi wakipost na kujimwambafai kwamba wamesaidiwa na hili shirika. Mimi utafiti wangu wa mchongo ikabidi nifanye kujiridhisha...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Vodacom wameniibia hela yangu msaada tafadhali

    Mimi ni wakala wa voda na mitandao mingine pia kwa kutuma na kutoa hela Leo nipo ofisini kuangalia kamisheni yangu nikakuta zaidi ya 50 elfu imekatwa Moja kwa moja nikawasiliana na huduma kwa wateja kitengo cha mawakala nikawaambia mbona mmepunguza kamisheni yangu. Wakaniambia wasiliana na...
  3. JamiiForums Tanzania Uzalendo na utumishi waliokuwa nao akina Sokoine, Warioba haupo tena, waliopo ni wote ni wezi tu wenye wivu

    Watanzania wa leo kwa asilimia 99%, ni wezi tu, uzalendo na utumishi kwa ajili ya umma wa watanzania haupo tena, kwa leo hii usione mtu anapigia kelele mwenzake au kiongozi fulani ni mwizi ukazani huyo ni mzalendo, sivyo kabisa, huyo anapiga kelele kwa kukosa uteuzi ili yeye yale ya wizi...
  4. JamiiForums Tanzania Musukuma: Kikokotoo cha 33% kitazalisha Watumishi wezi, hawatajli tena kazi

    DODOMA: Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma amesema Setikali inatakiwa kufanyia kazi malalamiko ya Watumishi kuhusu suala la Kikokotoo cha 33% vinginevyo wataanza kuiba kwasababu wanajua wakistaafu hawatalipwa mafao yao yote. Amesema "Kuna vitu vinazungumzwa tunaona kama haviwaumizi...
  5. JamiiForums Tanzania Nyumba yangu imegeuzwa kuwa pango la wezi

    Yesu alisema,"Vipi Hekalu limegeuzwa kuwa pango la wezi na wanyang'anyi?" Kwa wale ambao sio Wakristu tuseme kwamba Yesu akawaona wati wanafanya dili nyingi za pesa. Akasema,"Baba yangu aliamuru hii iwe nyumba ya sala, lakini mmeibadili kuwa pango la wezi" Ndio tunajiuliza serikali imekuwa...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Hawa wezi wauawe tu aisee, nimeibiwa milioni 10 kwenye gari langu(nissan juke)

    Ama kweli hawa wezi wanapaswa kuuawa aisee sio.poa yaani hawa washenzi wanarudishana nyuma kabisa yaani milioni 10 imeenda hivi hivi pale stendi ya mabasi Mbezi kwa Magufuli yaani hapa kichwa kinauma sio poa kabisa wazee, huyu mjknga huyu daa! Pesa ni za wife za mauzo ya leo dukani kwake pale...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Wezi waiba kilo 50 za mahindi ya kande Kanisa la Sabato Kibiti

    Wadau hamjamboni nyote Habari mbaya kutoka. Wezi wamevunja na kuiba mahindi ya Kande kilo 50, Maharage kilo tano, mafuta Lita moja na nusu usiku wa kuamkia jana. kwenye Kanisa la Waadventista Wasabato Kibiti Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Rufiji Protas Mutayoba amethibitisha tukio hilo na...
  8. JamiiForums Tanzania Mbinu mbalimbali zitumiwazo na wezi wa Magari na namna ya kuzizuia

    1. Wizi wa kutumia mfumo wa Keyless. Wizi wa keyless au wizi wa relay ni wizi ambao huusisha watu wawili ambao hufanya uhalifu huu kwenye magari ambayo yameegeshwa nyumbani. Wizi huu huusisha vifaa viwili ambavyo ni "relay transmitter" na "amplifier", hivyo wanatumia vifaa hivi kuidanganya gari...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini vijiji vingi vya usukumani havina wezi kama kwingineko?

    Nimekaa vijiji kadhaa, na kupita katika harakati zangu nimeona tofauti kubwa. Usukumani ndani kabisa vijijini hakuna wiziwizi wa ajabu. Huwezi kusikia wizi wa mifugo. Watu wanaweka magunia ya mipunga bila ulinzi wa kutisha na unayakuta. Cha ajabu hata vijiji vya wasukuma waliohamia...
  10. JamiiForums Tanzania Wataalamu wengi wa manunuzi na ugavi ni wezi na wapigaji. Nipingeni kwa hoja

    Katika kada na kazi zinazoigharimu serikali kifedha ni hawa wataalamu wa manunuzi. Akili zao zipo kuwaza asilimia 10 kutoka kwa mzabuni. Hawa wanufaika ndio wanaoingiza serikali kwenye gharama kubwa sana ili hali wao wakiangalia matumbo.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kusajili mtahiniwa binafsi kidato cha nne ni kubwa mno

    NECTA na Morogoro Sec ni mtandao wa wezi kwa watahiniwa binafsi. Kujisajili kidato 4 kwa Sh. 160,000 ni kubwa. Nani anapanga kikomo cha kulipia kwenye vituo vya kufanyia mitihani watahiniwa binafsi?. Nimefika shule ya sekondari Morogoro kumsajili kijana wangu afanyie mtihani wake wa kuhitimu...
  12. JamiiForums Tanzania Halafu mtu anasema ni wezi, ona madude hayo

    Hawa jamaa wameshindika. Alafu mtu mwenye akili timamu unasema wanaiba madini Africa. Nani hapa ulimwenguni mwenye uwezo wa kutengeneza hayo madude Mchina, Russia wanatamani lakini wapi. Wanaishia Ku copy na kupaste tu USA ni habari nyingine Tuache utani, jamaa wabunifu sana
  13. JamiiForums Tanzania Lady Jaydee apoteza trophies 22 (Aibiwa na wezi)

    Msanii Jide Jaydee ameweka wazi kuhusu kupoteza tuzo zake 22, ambapo 10 zilivunjwa na mtu, na 12 ziliibiwa na wezi. Jide kupitia mtandao wake wa X amesema, "Matukio yalioniumiza mwaka jana ni Tuzo zangu 10 zilivunjwa na mtu na nyingine 12 kuibiwa na wezi. Nawaza sijui walienda kumuuzia nani ...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Airtel kwenye bando ni wezi wasio na aibu. Nnape hawezi kutusaidi, tufanyeje?

    Airtel katika bando la internet si wezi tu ni majambazi yasiyo na haya. Nchi hii wananchi wanaibiwa, wananyanyaswa hakuna mtetezi. Wakubwa hawafanyiwi hivi hawawezi kustuka. TCRA wako pale, waziri yuko pale hawana msaada kwa wananchi. Unaweka bando hata hujatumia unaanza kupokea msgs kuwa bando...
  15. JamiiForums Tanzania Nimevamiwa na kuibiwa mali zangu na wezi, nawezaje kuwakomesha?

    Wakuu, hivi karibuni nilishambuliwa usiku na wezi kadhaa nisiowajua na kuniibia vitu vyote nilivyokuwa navyo. Hawa jamaa nawezaje kuwakomesha? maana wamenirudisha nyuma kiuchumi. NB: Kuwakomesha kwa njia yoyote ile.
  16. JamiiForums Tanzania Aisee mkiona watu wanaua wezi msishangae

    Kuna clip nimekutana nayo insta nikasahau kuipakua, ishu imetokea magomeni, jamaa amepanga frame ya biashara anapiga zake biashara mdogo mdogo kashakaa miezi mitatu Siku jamaa kaingia dukani kwake usiku sijui walikua wangapi wapo na ma driller sijui jamaa katoboa ukuta katokea frame ya...
  17. JamiiForums Tanzania Bank tellers ni wezi wa kimya kimya, kuweni makini

    Nimekua ni mtu wa kuchukua Pesa mara kwa mara Bank na mara nyingi ni mtu ambae sikuaga na utaratibu wa Kuhesabu Pesa ninazo pewa toka BANK. Lakini niwahakikishie wale ma teller either ni wao au mtu anaewapa yale maburungutu anakua anapiga hela. Mara nyingi nikitoa Salio la maburungutu huwa...
  18. JamiiForums Tanzania Wezi huwa wanafikiria nini kabla hawajaamua kuwaibia masikini wanaopambana kujikwamua na hali duni?

    Unaweza kujiuliza hili swali kama mimi na huenda usipate majibu yake. Fikiria mtu upo unapambana ujikwamue kutoka kwenye umasikini, unafuga kuku, mbuzi; unajenga kabanda kako ka kujistiri na mvua, cha ajabu kuna mtu mwingine anawaza kuja kukuibia hata hicho kidogo ulichonacho! Mwizi ni mwizi...
  19. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Waziri asimulia alivyotishiwa kwa kuwekewa Bastola kichwani kisha wezi wakamuibia

    Waziri wa Uchukuzi wa Afrika Kusini, Sindisiwe Chikunga amesimulia tukio la kuibiwa wa kusema wezi walimtishia kwa kumuwekea bastola kichwani kisha wakamuibia wakati alipokuwa akibadilisha tairi la gari lililopasuka Jijini Johannesburg. Amesema wezi waliwafamia wakati walinzi wake wakibadilisha...
  20. JamiiForums Tanzania Wabunge 168 wakubali adhabu ya kifo kwa wezi - majimboni kwenu mmewatuma kazi wabunge hao?

    Wanabodi, Salaam! Leo nimeona clip moja ya mbunge kijana akitoa hoja bungeni Dodoma kuhusu umuhimu wa uwepo wa adhabu ya kunyongwa mpk kufa kwa watu watakaopatikana na hatia ya wizi. Mchango wa Mbunge huyu siukatai wala kuukubali - nilichojiuliza kwa haraka ni iwapo miongoni mwetu watanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…