WEZI (102.9 MHz "Easy 102.9") is a commercial FM radio station in Jacksonville, Florida. It airs an adult contemporary radio format and is owned by Atlanta-based Cox Media Group.
The station's studios and offices are located on Belfort Parkway in Jacksonville's Southside district. The transmitter is off Hogan Road in the Arlington neighborhood. WEZI is a Class C FM station, running at an effective radiated power (ERP) of 100,000 watts, from a tower at 1,014 feet (309 m) in height above average terrain (HAAT). Its signal stretches from the Georgia coast to south of St. Augustine, Florida to southwest as far as Gainesville, Florida.
Kuusema ukweli wa kimungu, Rais Samia anapigwa vibaya mnoooooo!
Moja ya kitu alichofanikiwa kukifanya kwa ufasaha ni kuwatishia wabadhilifu hata kama walimpiga lakini walio kuwa wapigaji walipungua kwa kiasi kikubwa sana.
Awamu ya nyuma ya utawala wa Samia aliyekuwa waziri mkuu alikuwa na...
Wachina wengi wanakimbilia sana kusoma nchi zenye teknolojia kubwa sio kwa ajili kusoma bali kuchukua maarifa kupeleka kwao ambacho hizo teknolojia zimetumia mda mrefu kiutafiti.
Nchi kama USA wanatumia bajeti kubwa za utafiti ukilinganisha na wachina.
Sasa hapa unaweza kusema mchina ni mkali...
Uharibifu wa Mali na Miundombinu ndio chanzo cha kusababisha mauwaji
G Z tafadhali sana Harakati sio Uharibifu kama ni Siasa wajikite humo waachane na maswala ya mali za Wananchi
Swala la mali litawapa adhabu na kesi ya Wizi kwani Wananchi wanaishi maisha yakutawaliwa na hasira kali...
Matukio ya karibuni yanaonyesha mifano dhahiri kwamba viongozi ni watu wa kejeli kama kuwataka wananchi “waende Burundi” badala ya kujisahihisha, na uteuzi wa watu wanaofahamu maovu ya serikali lakini wanapewa nafasi za juu kana kwamba lengo ni kufunika yaliyovunda.
Wananchi wameonesha wazi...
Kufanya maridhiano na wauwaji na wezi ni kuutunuku mauwaji na wizi wa uchaguzi uliofanyika .
point ni zile zile, uchaguzi bandia ufutwe, mateka wote waachiliwe, katiba mpya tukutane tarehe 9/12
Acheni hizi ghasia kwa sisi raia tunayoipenda nchi yetu kuliko viongozi. Tunalipa kodi kila siku na tungependa kuona hizi pesa zinamnufaisha kila mTanzania, sio wale wanajipendekeza na wanasiasa , bali kila mtu anufaike na hizi pesa zetu.
Taarifa mnaletewa kila siku ila mnaleta maigizo hapa...
Yaani simu yangu inashindwa kupokea sms mpya kwasababu ya kujaa kwa hizo messages zenu. Hivi nyie mnafikiri sisi wagombania mwendokasi tunaweza kuiba hizo billions, sisi wahangaika na maji ya mtoni tunaweza iba na kufanya ufisadi wa namna hiyo.
Achani mara moja hii kitu, naongea tena FANYENI...
Nchi ya Kolombia inajulikana kwa makundi mengi ya mauaji. Ukweli ni kwamba moja ya sababu ni kama haya yanayofanywa na CCM. Ni hii hali ya serikali kuendesha mauaji kwa wanaotetea haki za raia.
Hali iliyopo Tanzania Mahakama zinatumika vibaya, Polisi wanatumika vibaya, Tume ya uchaguzi...
Hii kitu mimi huwa inanitatiza sana, pale unapotumia USSD ya benk ili kufanya miamala kupitia mitandao ya simu.
Unakuta na kuambiwa ni lazma uwe na saliio la kawaida isiyopungua sh. 100..
Sasa unapojaribu kuitumia huwa wanakata hiyo fedha haijalishi umefanikiwa au haujafanikiwa. mara nyingi...
Sisi watu weusi, kiasili ni wezi ni vile mtu hajapata nafasi .
Kupitia Asili yetu ya tamaa za Mali ,fedha na ngono .
Basi wenzetu weupe wamekuwa waki -take Advantage hiyo kutulewesha , kutupa rushwa n.k
Wahindi , waarabu na wazungu , wanaujua udhaifu wa mtu mweusi kuwa anaongozwa na tamaa ya...
WOTE WEZI TU!
Kuna wale wanajiita wajamaa ambao adui yao mkuu ni watu kuwa na 'uhuru wa kiuchumi'! ... yaani ukiwapa nchi wao basi kila mtu awe kapuku ili waweze kuabudiwa vizuri! Chini yao huwa kuna wizi wa kutisha, ili wazidi kujiimarisha na kubebana, lakini wizi hufanyika kwa siri kubwa na...
Ukitaka kununua nyumba, kiwanja, shamba, gari na hata kupata ajira au elimu ya juu ni lazima uwe na vitambulisho ikiwemo kadi na namba ya NIDA. Maana yake ni kwamba ukishakua na kadi ya NIDA wewe ni mpiga kura wa CCM utake usitake.
Ninakumbuka Ufunuo wa Yohana kuwa siku za mwisho hutaweza...
Watu wanaosadikiwa kuwa ni wezi wameiba mali na fedha kwenye maduka matatu tofauti katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es Salaam.
Soma pia: Kimewaka wananchi Tegeta A wamvamia mwenyekiti kisa ubovu wa barabara, wasema wamechoka
Wezi hao walifumua bati la juu na kufanikiwa kutoboa...
Waraibu wengi hawapendi kumuona mraibu mwenzao anafanya jitihada za kujitoa katika matumizi ya vilevi kama kuvuta bangi, madawa ya kulevya na kutumia pombe.
Ikitokea unafanya jitihada kama kupunguza kuhudhuria maskani au vilabuni au baa wanakuona snitch, kama ulikuwa mlevi ukaanza kunywa juisi...
Naam habari za muda huu ndugu zangu. Msinichoshe nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye kisa changu.
Mwaka 2018 mtaani kwetu kuna mtu alikua na duka anauza vitu vingi sana na alikua kalikata mara mbili, Upande mmoja alikua anauza vitu vya electronic pale kulikua na mafridge, TV nk, na upande...
Hii imenitokea mwenyewe kwenye Hospitali ya 5aifa Muhimbili Tawi la Mloganzila mara mbili. Mara ya kwanza sikuujua mchezo.
Mimi najilipia mwenyewe, yaani situmii bima kutibiwa. Nilikuwa na uvimbe mwilini nikafika Mloganzila Daktari akasema ni vyema tukauondoa.
Akanishauri niende kwa Wahasibu...
Sehemu nyingi sikuhizi zina cctv, wezi hupenda kuvaa kofia kama tahadhari, cctv zinafungwa kwa juu, kofia kuna muda zinasaidia kuziba nyuso
Huyu jamaa kajifanya ni moja ya wahudumu wa ukumbi
Hawa wamepiga tukio kwenye basi., huyo alievaa kofia ya Tanzania kamaliza mchezo
Katika LIVE moja iliokua inaendelea kule mjini TIKTOK wakati wengine wakiwa na mabango vikundi kadhaa vilkua bussy na uizi katika mduka ya Smoothers, Polisi wameingilia kati lakini walikua wameshaiba vitu vingi
Kama ulikua unadhan GenZ wa kenya ni wana mapinduzi basi fikiria tena, huenda...
Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, habari ya leo?
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza. Ningependa kujuzwa, hivi raia anapoidai serikali (halmashauri) inachukua muda gani kulipwa stahiki zake?
Ninawadai Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni pesa kwa mradi wao wa Tarura uliopita kiwanjani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.