wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Heche, kuwa makini na ulinzi wake, uchezi na jukwaa yeye anacheza na jukwaa wewe unasimama Kama mlingoti take care

    Mlinzi wa John Heche,take care,narudia yake care usidhanie unalinda jokeri Yeye jukwaani ananyumba akiwa anaongea wewe umesimama pahala pamoja tu, Take care kiapo chake ni either ufe au afe. Hivi Tundu Lissu wakati wa kupigwa risasi kwa Nini hakuwa na ulinzi ilihali alikuwa mnadhim mkuu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Sisemi kitu Picha yenyewe inajielezea, angalia Picha kisha jaribu kujiuliza ungekua wewe ungefanyaje?

  3. JamiiForums Tanzania Sikupi pesa ila nakupa mchongo, amua wewe

    Siku chache zilizopita niliwapa stori ya rafiki yangu wa kijani ambaye amenisaidia kuona upande mwingine wa dunia ya freelancing. Wengi mliuliza: "Huyo rafiki ni nani?" Leo nimeamua kumleta rasmi. Jina lake ni FIVERR. Usichanganyikiwe na kizungu, ngoja nikuelezee kwa lugha rahisi. Fikiria una...
  4. JamiiForums Tanzania Wewe kama kiongozi huoni aibu kutamka takwimu za deni la Taifa

    Nchi inaendeshwa na bajeti ya mikopo ,tutegemee siku moja mabeberu kuja kututawala tena . Watanzania ni lini wataambiwa takwinmu za deni na watasikia deni likishuka chini na siyo kila takwimu inapotolewa ni kuongezeka kwa namba tu hivi wewe kama kiongozi huoni AIBU. Zaidi ya Trilion 100........
  5. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani ya namba 3,6,9 na kwa nini ukiweza kujua hizi namba wewe umekuwa universe?

    Mshana Jr hii elimu naomba nikupe uweze kuwajibu. Ila nimeona mpaka kwenye teknolojia sio jina ila kwenye mambo mengi ambayo tunafanya kama binadamu. mfano namba 9 inaweka kuwa 6 hapa ndio binadamu wakapishana. Mfano 3 kwa mwengine ikawa B. Kwa nini 6 iwe jicho la ufahamu . Mwanasayansi...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Wewe Ni Overthinker? Jua Nguvu Yako Halisi

    Kama wewe ni overthinker basi una akili sana… Kama wewe ni overthinker, huenda hujui kuwa una aina fulani ya akili ambayo watu wengi hawana… Watu wengi wanapofikiria, wanaona kitu kimoja tu. Lakini wewe? Akili yako inaenda mbali zaidi. Unaweza kukaa kimya sehemu moja, lakini ndani ya kichwa...
  7. JamiiForums Tanzania Unaamini katika dini Uislam/Ukristo budha/indu/wayahudi kuwa ukifa wewe sio dini flani hautaingia mbinguni

    Yess Kuna ile dini zinaamini kuwa wewe kama ukifa kama sio dini fulani hautaingia mbinguni, hautamuona M/Mungu na utaangamia milele motoni How dini zina ubaguzi kiasi hichi yaani waislamu pekee ndio wataingia peponi au wakristo/waisrael pekee ndio wataingia mbinguni, mtu wa dini tofauti...
  8. JamiiForums Tanzania Uponyaji upo ndani mwako,ukifika level ya pili ya ufahamu magonjwa, umasikini, wachawi,tamaa ya ngono,ulevi na negative energy zote ukaa mbali na wewe

    Uponyaji upo ndani mwako,ukifika level ya pili ya ufahamu magonjwa, umasikini, wachawi,tamaa ya ngono,ulevi na negative energy zote ukaa mbali na wewe kwa sababu wewe ni adui.
  9. JamiiForums Tanzania Leo naomba niongee na wewe brother unaetaka kuoa. Ongea na wakubwa

    Kwanza naomba kwa nitakae mchukiza kwa hiki ninachoenda kukiandika hapa tusameheane ila nitasema ukweli na ukweli tupu sitosema uongo. Niende moja kwa moja, kwanza brother huyo binti au mwanamke kabla hujamuoa hakikisha unamjua vizuri nje ndani. Sio unamjua juu juu tu kisha unapapatika kutaka...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni CEO Mwenye Kampuni ambayo bado haijaanza kazi tangu isajiliwe? yakupasa kufahamu hili

    Leo hii unajiuliza maswali lukuki yanayokuumiza kichwa bila majibu, maswali kama; 1. Inakuwaje TRA wananiletea assessment za madeni ya riba na adhabu (Interest and penalties) wakati kampuni yangu haijaanza kazi? 2. Kwanini TRA wananisumbua kila mwaka wakinitaka kufile annual return wakati...
  11. JamiiForums Tanzania Utajuaje kama wewe ni mwanaume dhaifu?

    Mwanamke anaweza kusamehe na kusahau ukimfanyia unyanyasaji, ukimpiga, ukimcheat n.k, lakini kamwe hawezi kusamehe ukionyesha udhaifu. Soon or later atakuadhibu tu. Sasa utajuaje kama wewe ni mwanaume dhaifu kwa mwanamke. -Unampa kipaumbele zaidi yako -Unalia mbele yake -Upo emotional sana...
  12. JamiiForums Tanzania Kama unaitetea hii serikali wewe ni mnufaika wa udhalimu

    Kwa namna ambavyo hii serikali imekuwa ya kidhalimu hakuna mtu mwenye roho ya ubinadamu anaweza kuitetea,na hakuna mwenye roho ya utu anaweza kukubali kunyamaza kimya. Wasomi wamekuwa washenzi wakuliangamiza taifa kwa vipande vya pesa mbaya zaidi umri wao wengine umesha kwenda,nguvu ya...
  13. JamiiForums Tanzania Nataka nibadili jina langu JF baada ya watu kulisema sana

    Mzuka wana jamvi ? Kuna wapuuzi humu JF walikuwa wanafananisha jina langu na la ID ya Chizi Maarifa wakati ni majina mawili tofauti yasiyo fanana sasa baada ya kelele zao nimeona nibadilishe jina na nataka nichague jina Moja kati ya yafuatayo 1. Ghayo de Nyangwisi 2. Ghayo de Nyambumbu 3...
  14. JamiiForums Tanzania Kumbe mimi na wewe hatupo?

    Kwamba nikijaribu kujitafta mimi halisi sipo? Najua utabisha, but honestly hakuna self! Yaani you don't exist, wewe ni kama thought, wazo flani tu ambao liko implanted kama jina, jinsia, baba, mama, mtoto, mjukuu nk Tukianza na physical body, hii ni kama vessel au chombo kinacho beba uhai...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutambua Mungu anaongea na wewe

    Jinsi ya kutambua Mungu anaongea na wewe. 1. Mungu anaongea na wewe kupitia amani, Kama upo unapata amani kwenye roho yako pindi unapowaza au kupanga malengo fulani fahamu kuwa Mungu amekubaliana na hilo jambo. Jambo lolote kutoka kwa Mungu uwa alikufanyi kuchanganyikiwa, kukupa shinikizo au...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Wakuu kuna tofauti kati ya 'Sphaghetti' na tambi. Mpaka sasa wewe unazifahamu ngapi?

  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume uliepo kwenye ndoa, umeoa au mme-oana na huyo mwenzako?

    Ugonile, kabla sijaendelea wale wa 50/50 hapa sio pahala pake. Binafsi sijaoa ivyo sitojikita sana kwenye mambo ya ndoa ingawa nmeishi na wanawake tofauti tofauti kwa nyakati tofauti na mpaka sasa ndo utaratibu wangu. kwa jinsi tulivyoumbwa ni wazi mwanaume ni kichwa cha Familia huku mwanamke...
  18. JamiiForums Tanzania Bora tufikishane mbali potelea pote. Lakini huwezi nitandika Mbele za watu kisa wewe kiongozi bila Sheria kufuatwa

    BORA TUFIKISHANE MBALI POTELEA POTE. LAKINI HUWEZI NITANDIKA MBELE ZA WATU. KISA WEWE KIONGOZI BILA SHERIA KUFUATWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Watibeli sio kwamba Sisi ni wajeuri. Hapana. Sisi ni watu wa principles, watu wa kanuni. 2. Ukishakuwa mtu wa principles watu wengi...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Najitolea kuwa Mentor

    kama unataka kuwa na personal development, au unatafuta mtu wa kukuelekeza kwenye mambo mbalimbali kupitia falsafa. basi mimi ninajitolea kua mentor nitawaongoza watu wawili kwa mwaka mzima mentor wangu Mr Rohn alisema don't wish for less challenges, wish for more skills. don't wish for less...
  20. JamiiForums Tanzania Wewe unayetaka na utakaye kuwa Rais 2030

    Habari !. Kwa wewe ambaye unataka kuwa Rais, nipo hapa Waziri wa Viwanda, Uwekezaji na Ajira Muda ukifika utanishtua. Sitagombea Ubunge nakupanga kabisa. Mimi nitapitia zile nafasi 10 sawa mkali. Asalaaam.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…