wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. 0

    JamiiForums Tanzania Ukiitiwa FURSA jua wewe ndio FURSA yenyewe ...

    Nimesikiza hii, nikapigia mstari kichwa cha uzi. Mbinu mbalimbali za jinsi watu wanavyotapeliwa kwenye Forex Trading toka kwa majirani zetu wa Kenya Ruksa kutoa mapovu na kumwaga nyongo zote! https://www.youtube.com/watch?v=kg-2Ny1fafc
  2. JamiiForums Tanzania Thamani ya Kura Yako: Je Wajua Wewe Ndiye Mwajiri wa Rais wa JMT kwa Kura Yako na Kumlipa Mshahara Wake Yeye na Serikali Yake Yote kwa Kodi Yako?.

    Wanabodi Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa October, from time to time nitakuwa nafanya makala fupi za uelimishaji umma elimu kwa kujitolea kusaidia kuelimisha umma umuhimu wa kujiandikisha kupiga kura na kujitokeza kupiga kura siku ya kupiga kura. Somo la kwanza ni kuijua thamani ya kura yako. Kitu...
  3. JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi ya ELEMENTS za watu waliofanikiwa KIUCHUMI lakini HAWAJIONESHI. Soma hadi mwisho kisha jitathimini wewe binafsi uko wapi?

    1. Waliofanikiwa Kiuchumi ni watu waliofanikiwa katika UTUNZAJI WA MUDA! Hawapendi kupoteza muda 2. Waliofanikiwa Kiuchumi ni MABAHILI na wanachukiwa na watu wao wa karibu, kwa sababu ya ubahili wao. 3. Waliofanikiwa Kiuchumi, hawapendi sana POPULARITY ili kuwa huru ktk mambo yao binafsi...
  4. JamiiForums Tanzania UMEWAHI MPAMBANIA MTU HADI AKAPATA KAZI KISHA AKAANZA KUPAMBANA WEWE UONDOLEWE KAZINI!??

    Wakuu Habari! Mungu awe nanyi katika mapambano Yenu. Kisa hiki ni chá ukweli na kimenitokea mimi mwenyewe kabisa toka Kwa ndugu yangu mmoja. Nilikuwa nafanya KAZI taasisi moja Hapa nchini Kuanzia mwaka 2021 Hadi mwaka huu mwanzoni. Ni taasisi kubwa yenye malisho mazuri sana. Mwaka 2023 Kuna...
  5. JamiiForums Tanzania Je wewe ni mtangazaji au ni mtangaziwa,?

    Ndugu waislam na wakristo mtume wako Muhammad na Mungu wako YESU kabla ya kufa kwake aliwapa kazi vijana wake waende mataifani na katika mabala kote wakautangaze uislamu na ukristo, Sasa wewe muislamu na mkristo uliye Tanzania leo hii 2025 wewe ni yupi? Wewe ndio aliyepewa kazi ya kuutangaza...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukibisha wewe ni mfanya fujo!: Kupitia 4R za Mama, Matunda yanaonekana!

    Tuishi humo! Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali, Amedeus Shayo amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kuwa kielelezo kizuri cha haki nchini kutokana na juhudi kubwa anazozifanya ili kuhakikisha Watanzania wanafikiwa na huduma za kisheria pamoja na kupata haki zao kwa wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Ingekuwa wewe Ungefanyaje?

    Mfano umetuma kimakosa shilingi 500,000 kwenye akaunti isiyo sahihi, ukampigia simu uliyemtumia Ili akurejeshee mpokeaji simu akasema atakata 100,000 na akurudishie 400,000 Kwa huzuni kubwa ukakubaliana naye atume hiyo hiyo maana huna namna nyengine. Una shida zako unahitaji kufanya muamala huo...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Huku mitaani mnapotoshana kwamba mishe ya kuuza bangi kitaa zinalipa, wapi wewe uliwahi kuona pusha aliyetajirika ? mapusha wengi wanakufa masikini

    Na hii sizungumzii kwa hear say kwamba nilisikia, NO ! nimeishi mitaa yenye mapusha wa kijiti. Miaka nenda rudi hadi nimehama hio mitaa na kurudi kusalimia nimewakuta wapo vile vile tu hakuna maendeleo kilichobadilika umri umeenda au wengine wapo jela. System ya mapusha wa bangi hapa bongo...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kama kwenye mashindano ya kiume haupo na ya wanawake( mama zako) haupo wewe utakuwa jinsia gani?

    Nawauliza mnaobeza mashindano ya kimataifa kwa kuyaita ya akina mama,timu yako iko kwenye mashindano ya jinsia gani? Maana ya kiume haupo uliishia wapi mi sijui. Wababe hufika kwenye nane bora kila wakishiriki. Wewe ambaye haupo kote ni jinsia gani? Au ndio mashoga ndio maana mnajisifu kwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania TUSEME UKWELI >Kauli ya Tundu>> Kama Mtanzania au wewe ni Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Tuachane na siasa , watoto wadogo wanahitaji kauli ya WaTanzania kwa kile alichokitamka Mheshimiwa Tundu Lisu. Watoto wetu wanasoma mashule na wengine husikia na kusoma habari ,wanaposikia kuna mtu ameshitakiwa au kutuhumiwa kwa kosa la Uhaini ,wanahitajia jibu lako kwanza waelewe hilo kosa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa mwerevu kuondoka kabla hujaumia ? Ni kitu gani kilikusukuma uache lifestyle, tabia au watu wa karibu wabaya / Toxic kabla ya majuto ?

    Hakuna shimo gumu kutoka kama tabia zilizokolea, Lifestyle uliyoizoea na Mahusiano yaliyoshamiri, Tatizo linakuja vitu hivyo vikiwa vibaya vinaweza kuathiri maisha yako negatively, unakuja kustuka baadae unajutia, Ila kuna matukio kadhaa huwa yanatugusa, Akili inasema "SASA BASI" na kuamua...
  12. JamiiForums Tanzania Wale jamaa wa "Tafuta hela wewe, V8 sio gari ya Serikali"

    Ndugu wa damu tunaofanania katika tabu na u-VETA, ila tukiingia jf ghafla tunageuka kuwa mabosi 🤣 Anyway, Maisha yaendelee.
  13. JamiiForums Tanzania Unaweza ukawa Wife material na bado Dunia ikawa kinyume na wewe. Ndoa ikawa ngumu kwako. Fanya haya.

    UNAWEZA UKAWA WIFE MATERIAL NA BADO DUNIA IKAWA KINYUME NA WEWE. NDOA IKAWA NGUMU KWAKO. FANYA HAYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ni kweli wapo wife material ambao hawajaolewa na ambao wanahangaika Kupata ndoa. Na wapo wife material ambao wameolewa lakini ndoa ni ngumu kwao. Wamepata...
  14. JamiiForums Tanzania Kama unaamini katika hiki.."Roho za uchawi...Roho za umasikini...Roho za mauti ...Mikosi na laana" jua wewe ni Gullible of the gullibles

    Wasalaam Kuna hawa watu hasa mama zetu,mtu anakosea au anafeli katika mazingira fulani ya kibinadamu kabisa mathalani kwa uzembe wake au uzembe unaosababishwa na wengine...badala ya kukimbilia uwajibikaji kumezuka neno Roho ya... Kwa mfano mtu ni mlevi,badala ya kumwambia kuwa ni mlevi na...
  15. JamiiForums Tanzania Wewe ni siri

    Tunza siri zako mwamba! ___________________ 1. Siri ni maisha wewe! Huna siri, huna maisha! 2. Ukiweza kujificha adui asikuone lakini wewe ukawa unamuona jua ushindi ni wako hata kama unasilaha dhaifu. 3. Kujificha ni moja ya kanuni za ushindi! Kitu kinachofichwa huitwa siri. Wengi...
  16. JamiiForums Tanzania Ipe maneno hii video hapa

  17. JamiiForums Tanzania Picha: Je wewe upo katika ipi ya hizi nne?

  18. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye Watoto Watatu halafu Wote ni Wezi na hawana mbele wala Nyuma na Mwanaume asiye na Mtoto kabisa Kwako Wewe nani hapa mwenye Afadhali?

    Na katika huu Uzi najikita tu zaidi Kusoma Maoni / Majibu yenu kwa huu Ubishani nimeukuta mahala na ninauleta Kwenu.
  19. JamiiForums Tanzania Kama una kitambulisho cha NIDA na huna Passport ya Tanzania jua wewe ni mkaazi (Resident) wa Tanzania ila sio raia (Nationalist) wa Tanzania

    Wakati naahangaikia Passport ndio nimejua kuwa ukiwa na NIDA tu haitoshi kuwa raia wa Tanzania mpaka uwe na Passport ya Tanzania. Tafuteni passport aisee tunakosa mambo mengi sana yenye fursa.
  20. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni binti au kijana

    Umekuta mwanamke ana mume wake na wanandoa halali acha kuivuruga . Maana kwa sasa utaona sawa ila kwa baadae wewe na familia yako , mtakipata pata , mtapata kijitoto kingine kimteke mume wako na wewe utamani kujiua. Kama sasa unavyomfanyia mwenzako kwenye ndoa yake. Kuna mwanadada alikuwa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…