weusi

  1. Je Watu Weusi Tunahitaji Sunscreen???

    Je Watu Weusi Tunahitaji Sunscreen??? Discuss🤣🤣🤣
  2. K

    Unatoaje weusi kwapani na shingoni?

    Nilitumia deodorant flani kwa Muda kumbe inasababisha kwapa kuwa jeusi. Sasa nimejaribu kutumia limau kwa Muda mrefu Lakini wapi. Limau linakata tu harufu y’a jasho ila haliondoi ule weusi ulioletwa na ile deodorant y’a mwanzo. Nikaambiwa nijaribu deodorant y’a forever living lakini wapi...
  3. Kwa nini hizi barabara za Mwendo kasi zifanye biashara?

    Kuwekwe kiwango fulani cha tozo kwa Gari binafsi kwa wale wanaotaka kutumia miundo mbinu hiyo ili kukwepa kero sugu ya foleni ya jijini Dar. Mathalani waweza kuchaji Gari dogo shilingi elfu hamsini kutokea Kariakoo au Ferry mpaka Mbezi au Kibaha au Chalinze siku wakifikia huko. Naamini kabisa...
  4. Watu weusi uchawa ulianza kipindi cha Obama kuwa Rais kama mtakuwa na kumbukumbu

    Mtu mweusi aliposhika madaraka marekani kulikuwa na kiwango cha uchawa kila kona kwa watu weusi mpaka kwao. Nakumbuka ilifikia kule marekani uchawa ulifikia mpaka kwa wasanii kuanza kumuimba na wakina lucas mwashamba wa kipindi kile yani walikuwa wengi kila kona obama kama huku na kila jambo ni...
  5. Watu weusi tuna shida Sana (Mindsets)

    Habari Wakuu. Jioni nikirudi nyumbani huwa naangalia mpira CWC. Sasa kabla wanaume hawajaanza huwa naangalia mpira wa wanawake(Timu za taifa za wanawake) wachezaji wanawake wa timu za watu weupe wapo vizuri Sana kimuonekano Yani wamesuka vizuri wana haiba zote za kike. Njoo Kwa timu za watu...
  6. Ushauri , Sisi watu weusi mambo ya uongozi hatuyawezi tukubali nafasi kama Rais , mawaziri na makatibu wawe ni wazungu .

    Wakuu . Mimi nimetembea duniani kote USA UK France German N.k Tukubali tu kuwa sisi watu weusi mambo ya kutawala nchi hatuyawezi Ila tunachoweza ni kuwa chini ya utawala wa MTU Fulani . We are not organized Angalia nchi Kama Venezuela haina , Gas , haina mafuta Ila ni moja ya richest...
  7. Kansela mpya wa Ujerumani kumbe ni rafiki na Tundu Lissu? Namuona FW de Klerk mweusi akinyanyua mikono

    Makabuli weusi nawaona wakianza kutafutana na hasa yule FW de Klerk mweusi wa Tanzania. Ni wakati sasa wakuwanyosha hawa Makabulu na sana kiongozi wao FW de Klerk anapaswa kufundishwa utawala wa sheria.
  8. Je kutafuta mali bila kuziendeleza ni laana inayowakabili Waafrika weusi?

    Mpendwa Mwafrika mwenzangu, Leo nakuandikia tafakri yangu binafsi, lakini pia kwa tumaini. Uchungu kwa sababu kuna jambo linaloendelea kwenye jamii zetu ambalo linatufanya tusisonge mbele kama tunavyopaswa. Tumekuwa watu wa kutafuta, lakini si watu wa kuendeleza. Tumekuwa hodari wa jasho...
  9. Watu weusi kwenye Biblia

    Biblia inawataja watu weusi, ingawa si kwa lugha hiyo ya kisasa. Unapochunguza maandiko, utakutana na watu na jamii ambazo kijiografia na kihistoria zinaelekeza kwenye watu wenye asili ya Afrika. Hawa ni baadhi yao: * Wamisri: Misri, iliyoko Afrika Kaskazini Mashariki, inatajwa mara nyingi sana...
  10. Wayahudi halisi ni weusi , wale waliopo pale Israel ni wamchongo, mda ukifika wayahudi halisi (weusi ) watakuja kuchukua nchi yao

    Unajiita nchi teule alafu eti, mnaua watu wasio na hatia ( hasa watoto wadogo )....alafu mnajitetea kwa kivuli cha kuwa nyie ni TEULE, hapana hapana!!, tumeshtuka. Mimi naamini kwenye maandiko ya Biblia takatifu, hawa wa Israel wa sasa ni wa mchongo, waisraeli halisi bado wapo utumwani(...
  11. H

    "BOB MARLEY" mmoja wa manabii/mitume weusi wa Afrika

    Bob Marley, while having mixed ancestry with a white father and a black mother, self-identified as a black African and embraced Pan-Africanist ideals throughout his life.
  12. Makundi yanayoongoza kwa ubaguzi na chuki dhidi ya watu weusi

    Makundi ya Kikabila Yanayojulikana kwa Ubaguzi Mkubwa Dhidi ya Weusi Duniani Ubaguzi dhidi ya watu weusi upo duniani kote kutokana na historia, siasa, na mitazamo ya kijamii. Ingawa si rahisi kupima kiwango cha ubaguzi kwa kila kundi la kikabila, baadhi ya jamii zinajulikana kwa kuwa na...
  13. Watu weusi na laana ya kubaguana wenyewe kwa wenyewe

  14. Historia inaonyesha Watutsi/wahima kama wakoloni weusi toka eneo la Ethiopia dhidi ya mbari ya Wabantu.

    Historia inaonyesha watutsi kama wafugaji wenye uhodari wa kupigana vita wa mbari ya kihima. Watu hawa karne kadhaa kabla ya ukoloni wa kizungu walishuka na mifugo yao toka kaskazini wakifuata mto Nile. Wana historia wengine waliwatambua kama Cushite. Sura na maumbo yao ni zile za waoromo wa...
  15. Hivi ukiondoa kukata viuno kupenda ngoma na starehe zingine, sisi weusi tuko hodari kwenye uvumbuzi gani hasa?

    Eti wakuu ukiondoa kukata viuno kupenda ngoma na starehe zingine (gambe, ngono, betting), sisi weusi tuko hodari kwenye uvumbuzi gani hasa?
  16. S

    Je, Ni vitu gani vinatufanya watu weusi tuwe na akili ndogo?

    Hakuna kitu cha maana ambacho tumeisaidia dunia. Kiufupi tupo tupo tu, Tunasubiria watu wa mashariki ya mbali waje watusaidie. Tumejiandaa vipi majanga ya asili kama tsunami, tetemeko etc yakitotea? Je, Kuna siku Waafrika tutakuja kuwa na akili za kuweza kutatua changamoto zetu? Au ndo...
  17. Weusi tulilala sana kupata mbadala wa dawa ya UKIMWI (ARV), Trump katuamsha

    Wakuu Kwanza mtanisamehe. Huu ni mtazamo wangu tu kuhusu sisi weusi yanapokuja mambo yanayohitaji tuwe siriazi, tumekuwa sio kabisa. - Mtu mweusi ana shida sana. - Naungana na wanaosema weusi tuna IQ ya chini mno. - Mweusi anaishi kwa LEO yake. - Anadeal na yanayomsibu LEO. - Hayo ya...
  18. Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

    Kuna watu ni wajinga wanaamini kabisa kwamba Kuna mungu utakuta mtu amefanyiwa ubaya na binadamu mwenzie eti namuachia mungu halafu Kwa mujibu wa dini huyo huyo mtu alienda kutubu anasamehewa aisee zindukeni dini na neno mungu limetungwa na matapeli Ili waweze kuitawala dunia ikiwemo kuanzisha...
  19. W

    Moto wa california ni mwanzo tu, Sifa zinawekwa kando watu wanapewa kazi kwa kuwapa kipaumbele waliobadili jinsia, wamarekani weusi, wanawake, n.k.

    DEI (Diversity, equity and Inclusion) ni ajenda inayotumika kwenye baadhi ya majimbo ya marekani hasa yale yenye uwakilishi wa chama cha Democrats walichomo kina Kamala Harris, Lengo la DEI ni kufanya sehemu za kazi na uongozi kuwepo na watu wa matabaka mbali mbali Tatizo linapokuja hii DEI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…