wenzake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyaraka za kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wabunge wenzake dhidi ya CHADEMA

    Nyaraka za kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wabunge wenzake dhidi ya CHADEMA kuhusu kuvuliwa uanachama na Ubunge wao....
  2. S

    Sakata la Mdee na wenzake litafanya wananchi wazidii kupOteza imani na hili Bunge

    Ukweli ni kwamba kutokana na sakata hili hata wale wanaanchi waliokuwa bado na imani kidogo na hili Bunge, sasa nao watapoteza imani hio kidogo waliokuwa nayo na matokeo yake Bunge zima litadharaulika. Watu lazima watajiuliza wabunge wa kubebwa na serikali(dola) watakuwa na uthubutu gani wa...
  3. K

    Wafuasi wa Halima Mdee na wenzake kwanini mmewatelekeza wenzenu? Mliwadanganya wanawafuasi kama mlivyomdanganya Dkt. Slaa

    Baadhi ya Wabunge 19 walio na mgogoro walikuwa wanakubalika Sana mtaani. Toka wapate Ubunge wameondoka majimboni na kwenye mitandao ya kijamii, wamefifia kwenye bunge na mtaani. Leo Bungeni spika alipotangaza waendelee na Ubunge nikasikia vifijo na nderemo kutoka ccm nikajiuliza siyo Hawa...
  4. Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
  5. SPIKA: Hauwezi kumfukuza Mbunge ambaye ameshapeleka kesi Mahakamani

    HALIMA NA WENZAKE 18 WANALINDWA NA KIFUNGU HIKI Spika wa Bunge Bunge_tz Dkt. Tulia Ackson ametaja Vifungu vya Sheria vinavyowalinda Wabunge 19 wa Viti Maalum wa ChademaTz kuendelea licha ya kuvuliwa Uanachama
  6. S

    Sakata la Mdee na Wenzake: Yule anayejisifu kusoma sheria na kupata A hamuwezi kumuona akichambua uamuzi wa Spika kuwalinda Mdee na Wenzake

    Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawapo la kozi ya sheria pale UDSM. Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika...
  7. J

    Ben Kigaila: Nimekabidhi barua ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika saa 2:42 asubuhi!

    Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA mh Benson Kigaila amesema amekabidhi barua ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika wa Bunge leo saa 2:42 asubuhi Barua amekabidhiwa Katibu muhtasi wa Spika kea dispatch Source: ITV
  8. Frank Morris na wenzake watatu alivyo toroka kwenye gereza lenye ulinzi mkali Alcatraz

    Hapa ni muonekano wa angani wa Kisiwa cha Alcatraz mnamo Januari 1932. Kisiwa hiki kilitumika kama gereza la shirikisho lenye usalama wa hali ya juu kuanzia 1934 hadi 1963. Huu ni muonekano wa ndani ya gereza la Kisiwa cha Alcatraz mwaka wa 1986, ukiangalia kusini kutoka kituo cha ulinzi cha...
  9. H

    Kwanini Mdee na wenzake hawatathubutu kwenda Mahakamani

    Baada ya Baraza Kuu la Chadema kutupilia mbali Rufaa zao na kuthibitisha kuwafukuza uanachama wa Chadema, Halima Mdee na wenzake hawatathubutu kwenda Mahakamani Kwa sababu zifuatazo; 1. Watakuwa na maswali mengi ya kumjibu Kuhusu walivyoupata huo Ubunge wao, Nani alisaini nyaraka zao, Nani...
  10. Chadema wasipewe fedha za ruzuku zilizotokana na ubunge wa Mdee na wenzake

    Kama mbwai na iwe mbwai, Nashauri spika azuie fedha hizo zisichukuliwe na Chadema kwa kuwa wameonyesha kwamba Mdee na wenzake hawakuwa wabunge. Huwezi kula usichopanda. Maana hiki chama kikiona fedha huwa kinasisimuka
  11. S

    Wakati huu ambapo Rais Samia anayasaka maridhiano na CHADEMA, Mdee na wenzake imekula kwao

    Samia hataki uhuni kwenye serikali yake. Anataka haki bin haki itendeke kwa watu, taasisi na vyama vya siasa. Sitegemei kuona sarakasi za kihuni za akina Mdee zikilelewa na kukumbatiwa na mahakama iliyojibebea umaarufu kwa kutenda haki ktk kesi ya aliyekuwa DC wa Hai Sabaya. Kwahiyo wale...
  12. J

    CHADEMA kuwasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika

    Chadema kesho watawasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa Spika wa binge na Msajili wa vyama vya siasa Aidha Halima Mdee na wenzake wanayo haki ya kuiomba mahakama irejee maamuzi ya baraza kuu Mkurugenzi wa kituo cha haki za binadamu mama Henga amesema...
  13. Halima Mdee na wenzake kulamba asali hivi karibuni

    Heshima sana wanajamvi, Baada ya Wabunge 19 kutimuliwa chamani, ahadi yao ya kupewa ulaji mkubwa na heshima kubwa ipo wazi ni suala la muda tu. Ni wazi Halima Mdee ni kiongozi wa kundi la wanawake walioamua kujipeleka Mjengoni pasipo ridhaa ya chama wala baraka za viongozi wakuu. Ni wazi pia...
  14. Kesi nyingine ya ‘Mfalme Zumaridi’ na wenzake 84 yapigwa kalenda hadi Mei 24, 2022

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imeahirisha kesi namba 10 inayomkabili Diana Bundala maarufu kama 'Mfalme Zumaridi' na kesi namba 12 inayomkabili mhubiri huyo na wenzake 84 ili kupisha usikilizwaji wa shauri lingine la mauaji. Katika shauri namba 10, Mfalme Zumaridi anakabiliwa na...
  15. Halima Mdee na Wenzake 18 nawaonya wasijaribu kwenda Mahakamani, "Kibatala na wenzake" bado wapo

    Halima na wenzake wasipoteze muda kutaka kwenda Mahakamani,kwani wanatuhumiwa kughushi sahihi za Viongozi wa chadema Hata kama hawakughushi wao,aliewasaidia kughushi yupo. Kwa hiyo kama wakitaka kwenda Mahakamani Mimi Sina wasiwasi kabisa. Nina Imani na kikosi Cha Askari maaalum kabisa cha...
  16. Ushauri: Mdee na wenzake wafungue shauri waombe Mahakama Kuu izuie jaribio la kuwafuta Ubunge

    Hawa waliteuliwa kwa vikao halali, kwa barua ya CHADEMA, na wakaapishwa, waende Mahakamani kesho kwa hati ya dharura!
  17. T

    Chondechonde Mwenyekiti wa CCM-Taifa, Mdee na wenzake wasipewe vyeo CCM

    Katika makosa ambayo Hayati Magufuli aliyafanya kwa kujua au kutojua ni kutoa vyeo kwa wapinzani wanajiunga CCM kutokea upinzani. Ni ukweli usiosemwa lakini unawaumiza wanaCCM, watu walioshirika kupunguza kura leo wanafikiriwa zaidi. Kuna wale wabunge 19 wa CHADEMA ambao maamuzi pengine...
  18. Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

    HALIMA MDEE NA WENZAKE 18 WAFUKUZWA RASMI CHADEMA Baraza Kuu la #CHADEMA limezitupilia mbali Rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama hicho kwa kukubali kwenda kuapishwa na kuwa wabunge wa Viti Maalumu bila baraka za chama ====== UPDATE: Halima...
  19. For Political Survival, Halima Mdee na wenzake wahamie ACT Wazalendo

    Kazi ya mwanasiasa ni kufanya siasa. Maamuzi ya mwisho ya kuwavua uwanachama wa CHADEMA wabunge Halima Mdee na wenzake 18 baada ya rufaa yao kukataliwa, huenda yakawatoa rasmi kwenye siasa za vyama, hivyo kulazimika kutetea ubunge wao mahakamani kwa ajili ya kusogeza siku mbele kuelekea 2025...
  20. Wabunge 19 wa CHADEMA watinga Mlimani City

    Zikiwa zimesalia saa kadhaa mkutano wa baraza kuu la Chadema Kuanza,wabunge 19 wa bunge la Jamhuri ya Muungano wanaotokana na Chama hicho wamewasili maeneo jirani na kunapofanyika mkutano huu hapa Mlimani City. Awali kulikuwa na sintofahamu ikiwa watahudhuria mkutano huo,walioalikwa kwa barua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…