wenyewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume Haya Tuliyataka Wenyewe

    Huko nyuma wazazi wetu na wazee wetu waliishi na bibi zetu na mama zetu,hali ya kuwa wanaume ndio watafutaji na ilikuwa hivyo siku zote,wala hawakuhofia sijui sisi tukifa watoto wetu wataishi vipi? Kwasababu anayetoa riziki ni Mungu,kwahiyo hata kama hao walipo kufa Mwenyezi Mungu aliendelea...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania Chukueni hatua wenyewe acheni kutegemea chama kuwakomboa

    Nawaambia Chukueni hatua Anzeni na watu mnaoishi nao mtaani Chukueni hatua za kimya kimya baada ya miezi 3 mbele wahuni wataelewa Kama Kuna biashara ya muhuni msinunie Acheni kupanda hayo mabasi ya mafisadi Kama ni mwalimu mtoto wa polisi muache afeli Kama ni doctor akija fyeka
  3. JamiiForums Tanzania Chadema waacheni Watanzania wataamka wenyewe kujipambania

    Huwa nawaonea huruma kuwapigania Watanzania wapumbavu hii ni sadaka kubwa wanajitoa chadema Nina uhakika mtoto wa Lissu haki chini Mke wa Lema hakosi matibabi ya kujifungua Heche hakosi maji ya kunywa Wananchi wana matatizo makubwa wanaowapigania wanawaona kama wajinga Shule hakuna madawati...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa FA ubadilike. Timu za ligi kuu zicheze wenyewe kwa wenyewe

    Timu za ligi kuu zicheze zenyewe kwa zenyewe mpaka pale itakapobaki timu moja ambayo itaenda kukutana fainali na ile moja ya ligi Daraja la chini ambayo pia imeingia fainali baada ya kucheza na wenzake wa level moja. Au basi kila level itoe timu mbili kwa ajili ya nusu fainali, then hao vibonde...
  5. JamiiForums Tanzania Asilimia Kubwa ya Wanawake Wanaosema Wanateseka Kwenye Mahusiano au Ndoa Zao, Mazingira Hayo Wameyajenga Wenyewe

    I – Inshu (Hoja Kuu) Katika jamii ya sasa inayozidi kukumbatia usawa wa kijinsia, sauti za wanawake wanaolalamika juu ya mateso ya kimahusiano na ndoa zimekuwa za kawaida. Mitandao ya kijamii, majukwaa ya wanawake, na hata mijadala ya hadharani imejaa simulizi za huzuni kuhusu wanawake...
  6. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Boni Yai asema Chadema inakufa na kujizika wenyewe

    Wakuu hili la kwamba BoniYai amesema Chadema inakufa na kujizika yenyewe ni ya kweli?
  7. JamiiForums Tanzania Malori yanayolete mizigo Mwanza hurudi matupu na badala yake yanabebana wenyewe

    Mkoa wa Mwanza upo kasikazini Magharibi mwa Tanzania na umekuwa kitovu kikuu Cha biashara kwa wakazi zaidi ya milioni 10 wa mikoa ya kanda ya ziwa. Kuna jambo limekuwa likinishangaza kidogo, malori yanakuja Mwanza yakiwa yamejaa mizigo kama bidhaa za viwandani, vifaa vya ujenzi, na bidhaa...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kwa maovu waliyotendewa WAAFRIKA kutoka kwa warabu na wazungu kupitia Yesu na Muhamad naweza sema hawa ndiyo SHETANI WENYEWE

    Habarini za usiku, Je, inawezekana vipi kuwe na shitani mwingine zaidi ya Yesu na Muhamad iwapo hawa ndiyo walitumika na wazungu na warabu kuwafanyia WAAFRIKA mabaya ambayo ndiyo DHAMBI zenyewe? Yaani mwarabu amtumie muhamad kuja Afrika kuwakamata Waafrika walioumbwa na Mungu na kwenda kuwauza...
  9. JamiiForums Tanzania Watu weusi na laana ya kubaguana wenyewe kwa wenyewe

  10. K

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi Tukubaliane na NO Reforms NO Elections ili Tusimalizane Wenyewe kwa Wenyewe.

    Nimeanza kuamini kuwa hii No reforms,no elections ya akina Lissu inaweza kutusaidia na sisi CCM.Inaweza kuzuia kutekana au kuuana wenyewe kwa wenyewe kama ilivyotokea Iringa kiongozi wa CCM kuuawa,ilivyotokea Mwanza juzi kiongozi wa CCM ambaye ana nia ya kugombea Tarime kutekwa,kutishiwa kuuawa...
  11. JamiiForums Tanzania Tusilalamike kuwa wachina wamekuja kuchukua fursa bali ni sisi wenyewe hatujui kutumia hizo fursa

    Tanzania kuna fursa nyingi ila watu wenyewe ni kama penye miti hakuna wajenzi. Wafanyabiashara wengi wa tanzania ufanyabiashara ili mradi wanafanya tu. Baada ya kuangalia wenzetu wanavyo weza kujali biashara zao kuanzia hatua ya kuviandaa mpaka kuingia sokoni. Niliangalia mfano utengenezaji...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania tujifunze kuukubali Ukweli hata uwe Mchungu Vipi. Hili la Wasomi kusoma VETA japo Chungu, ndio Ukweli Wenyewe!

    Wanabodi kwa wiki hii nzima,nimekuwa nikishinda ukumbi wa JNICC,kwenye maadhimisho ya miaka 30 ya VETA, tumamaliza jana,nikajua shauri ya uchovu nitalala fofofo,kumbe wapi!usingizi umekata hivyo nimeshuka jf。 Huu mjadala wa wasomi wa chuo kikuu kusoma VETA,ni mjadala muhimu,na umekuja wakati...
  13. JamiiForums Tanzania Sio muda mrefu tu Yemen imetoka katika vita ya wenyewe kwa wenyewe na madhara bado yapo, ile bado hajapona vidonda huyoo tayari anaanza kurusha ngumi

    Muda mwingine nawaza na nakuja na jibu kuwa hawa wa-houthi ni mchongo, hawa jamaa ni silaha ya mtu, ni fimbo ya mamlaka fulani kuendelea kufanya fujo katika ukanda ule. Ebu imagine kipindi kile nyerere ametoka kumdungua amin hadi nchi ikaingia katika ukata, huyo tena aanze kuwashambulia wakenya...
  14. JamiiForums Tanzania Hoja ya Wasomi Kusoma VETA, Japo ni Hoja Chungu, Ndio Ukweli Wenyewe Kama Kidonge Kichungu, Ndicho Kinachotibu Homa!. VETA Ndio Tiba ya Joblessness!

    Wanabodi, Hii hoja ya wasomi wahitimu wa vyuo vikuu kwenda kusoma VETA. Shuhudia hizi Testimonials.... https://youtu.be/Rzr6coD9ihs?si=ZKYzt1V9FZFITszQ kauli ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa, kuwa wahitimu wa Chuo Kikuu, wakasome VETA, imepokelewa kwa hisia tofauti, zenye sintofahamu...
  15. JamiiForums Tanzania Waarabu wenye OG wanapiga msosi huku chui naye akiwa anapiga piga nao msosi maisha yanaenda

    Waarabu wenye OG wanapiga msosi huku chui naye akiwa anapiga piga nao msosi maisha yanaenda. Ungekuta huku kwetu akiguswa na Mbwa anakimbia kwenda kunawa utadhani wa maana. Hawa jamaa si tu huyu kawagusa. Wanakula naye msosi. Badala ya kuiga teknolojia na wawekeze huko utawakuta wanajiona wao...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya bomu la vijana wasiyo na ajira naona mgomo mwingine kutoka kwa kundi la vijana lililorudishwa nyumbani kutoka JKT

    Baada ya malalamiko ya waalimu wasio na ajira kuishinikiza serikali kutatua changamoto zao sasa inaonekana kuna kundi jingine la vijana wasio na ajira linaibuka. Ukiachana na hayo makundi mawili kuna hili kundi la vijana kutoka JKT wanarudishwa makwao for fun na wanapewa wengine nafasi kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Mbwa huwa na Furaha wawapo wenyewe

  18. R

    JamiiForums Tanzania Wachawi Wana Roho mbaya, jamaa alirogwa mguu mmoja unapiga mateke wenyewe unlimited, day and night!

    Hellow! Kama una ndugu Yako anaenda Kwa Waganga usicheke naye, aweza kukutegea mtego na kukumaliza, Imeandikwa ,adui wa mtu ni yule wa nyumbani mwake, yule aliye karibu, mke, mume,shangaji nk nk, Ndugu ZANGU ni akina nani? Aliuliza swali hili Yesu, na akajibu, ndugu ZANGU ni Hawa wasikiao na...
  19. JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani, unganeni na CHADEMA , Waachieni CCM uchaguzi wao wenyewe , unganeni kupigania Hatima yenu ya Sasa na Baadae !!

    Ninawahakikishia, Siku mtakayotoa Kauli Moja tu ya kwamba, HAMTASHIRIKI UCHAGUZI WOTE BILA MABADILIKO , mchakato waabadiliko hayo utaanza mara Moja . Waachieni CCM uchaguzi wao, wajifanyie Kampeni wao, wajichague wenyewe !!. Achanane na Hadaa za muda mfupi za CCM , kwamba zitakupa Ruzuku ...
  20. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, muda mwingine sisi wenyewe tunawapa nafasi maadui zetu watudhuru

    Habari za jumapili wadau? Tunaishi kwenye jamii ambazo hazipendi kuona wengine wakifanikiwa. Wengi wetu tumekuwa tukipenda kuweka wazi mipango yetu, hasa kwenye social network, WhatsApp, insta etc. Sijui lengo huwa ni nini? Kuwaringishia wengine au kuwahamasisha wengine. Nina mkasa wa rafiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…