wenyewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Chama cha walimu Tanzania ni cha walimu wenyewe

    Kuna mengi yanasemwa kuhusu chama cha walimu na isivyo bahati kati ya hayo mengine ni hasi. Siku ya mei mosi 2023 katika uwanja wa Jamhuri Morogoro wale wenye hasi wangeweza kujibiwa na wimbo wa Dar es salaam Jazz Band uliorekodiwa tarehe 8 Oktoba 1965 RTD ukisema We mtoto acha kupiga mayowe...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nilipoingia ofisini tu Mufti alinijia na furushi la migogoro ya mali za BAKWATA, ila tatizo wamelitengeneza wenyewe

    Nilimsikia Rais akihutubia Baraza la Eid alisikika akisema alipoingia madarakani tu Mufti alimjia na lundo la mafaili ya migogoro ya mali za Waislamu. Akasema kwa bahati mbaya alipochunguza mafaili yale yana utata kwa kuwa wahusika wakubwa wa hizo sintofahamu ni wahusika wenyewe. Naomba kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Wagner na wanajeshi wa Urusi wapigana wenyewe kwa risasi

    Walianza kama utani kulaumiana nani kaboronga kwenye shughuli ambayo imekwama kwa sasa, ghafla wakaanza kufyatuliana risasi na baadhi kuuawa maeneo ya Stanytsia Luhanska. Nasemaje!!! Safi sana piganeni mfe mizoga yenu iwe mbolea. ============== A shoot-out allegedly occurred between Russian...
  4. JamiiForums Tanzania Uraia pacha huenda ndiyo sababu ya Sababu vita ya wenyewe kwa wenyewe Sudan

    Kila mmoja lazima ashangae kuzuka vita vya mara kwa mara nchini Sudan. Hii ni nchi ya kiislamu na ina wasomi wengi wa hali ya juu wa dini hiyo. Kumbe ina raia jumla 16000 wa Marekani wengi wao wakiwa ni raia pacha, yaani nusu ni wamarekani na nusu ni wasudan. Wakati vita vimepamba moto raia hao...
  5. JamiiForums Tanzania Wanapeana wenyewe kwa wenyewe

    Habari wadau, Hizi zama zimebadilika sana, huwezi kuona mtu wa hali ya chini akawa afisa maendeleo kata, ama huwezi kukuta mtu akimegewa mkate ulionona ilihali na yeye amezama akabukua na kutoa matirio mazuri ila sasa kwenye mgawanyo hukosa hata soko lake. Je, kuna ulinganifu hapo jamani ndo...
  6. JamiiForums Tanzania Wababe wa dunia wanaiparamia Afrika, Waafrika wenyewe wanashangilia!!

    Ukiangalia kwa undani utaona kuwa mataifa yaliyoendelea kiuchumi na yale yenye uchumi wa Kati, yote kwa pamoja yanapigana vikumbo kuigombania Afrika. Siyo kama mshirika wa kimaendeleo bali kama soko na chanzo cha malighafi katika kuendeleza chumi zao. Wakati wababe hao wa Dunia wakipigana...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimaro: Matajiri ndio Walimzika Yesu, akina Petro na wenzake waliokula bure miaka 3 walimkimbia!

    Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema Tajiri Yusuf wa Almathaya ndio aliyemzika Yesu katika kaburi lake la kifahari Kimaro amesema Kanisa linawahitaji Matajiri kwa sababu ndio wanaoliondolea Kanisa aibu Wakati wa uhitaji Hivyo tusiwape majina mabaya Matajiri kwa kuwaita Mafisadi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Chanzo zcha ajali za mabasi ya abiria ni abiria wenyewe

    Ajali za barabarani zinaepukika ukiachilia mbali matatizo ya kibinadamu. Kuna sababu nyingi sana zimekuwa zikitajwa, lakini mimi niseme mbali na sababu zote hizo zinazotajwa chanzo kikubwa ni abiria wenyewe. Sijui ni ukosefu wa elimu ya kwa Watanzania au kudharau au kuona muda wote Mungu yupo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Haya Wananchi mshindwe wenyewe kusukuma mlevi!

    Timu yenyewe mnayocheza nayo inaburuza mkia, ni cha wote hicho! Mshindwe wenyewe kusukuma mlevi huyo mzembe! Ila msije hapa kujisifu! LKwani nani anaweza kushindwa kusukuma mlevi?
  10. O

    JamiiForums Tanzania Madudu ripoti ya CAG, tunaua nchi wenyewe

    Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka watendaji wa Serikali, kusimamia vema rasilimali za nchi kwa kutumia mifumo na kuweka nidhamu, akisema kinyume na kufanya hivyo ni sawa na kuiua nchi yetu wenyewe. Mkuu huyo wa nchi ameeleza hayo wakati akifafanua kuhusu uzembe wa upitishaji wa...
  11. JamiiForums Tanzania Money is the King of Love. My money is my ego

    Wasalaam JF, Money is the king of love. Money is the only magnet that women have since failed to resist. Nawakumbusha wanaume tafuta pesa wanawake watakutafuta wewe. Chase money and women will Chase you. Thank me later. Wadiz
  12. JamiiForums Tanzania Tukisema Simba sc ni timu kubwa Africa huwa mnabisha haya jioneeni wenyewe hapa

    Cheti timu zilizoingia robo fainal caf champions kisha lingalisha na hizo zilizoingia shirikisho. Simba baba lao, hakuna kunguni yeyote aliyepo shirikisho anaweza kugusa hapo.
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA njia pekee ya kushika dola 2030, unganisheni nguvu na team Magufuli

    Miaka takribani 2 imepita toka afariki Hayati Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli na juzi tarehe 17/03/2023 tumeazimisha miaka miwili ya kifo chake kwa masikitiko makubwa. Baada ya kufariki kiongozi wa awamu ya 5 nchi imepitia vipindi tofauti ambavyo vimethibitisha na kudhihirisha aina ya...
  14. JamiiForums Tanzania Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa Afrika

    Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa afrika.Tumetoka mbali,tumepitia milima na mabonde, tumepitia mifarakano na mipasuko na tumekomaa na siasa za kiafrika na tunajua nini maana ya kushika dola na kuiongoza kimkakati. Sasa unapokuwa unazungumzia siasa za Tanzania usiilinganishe CCM na...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi hii hali ni kutaka tu wenyewe au kujisahau?

    Hivi hii hali ni kutaka tu au kujisahau? Yaan kitendo Cha mwanaume kuoa tu basi na kuvaa nguo Kwa kubadilisha kunaishia hapo full shati Moja au matatu, kazini, nyumbani na la kanisani. Kumkuta mwanaume ameoa lakini kavaa kiatu Cha ngozi kimeachama kidogo ni kawaida sana. Mtazame mkewe sasa...
  16. JamiiForums Tanzania Mikoa ya Mwanza, Tanga na Njombe inaongoza kwa Wanawake wanaomiliki Nyumba zao wenyewe

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Wanawake wa Tanzania Bara wanamilikia Nyumba zao wenyewe kwa 18.1% ukilinganisha na Wanawake wa Zanzibar 12.8. Wanawake wa Vijijini wanamiliki Nyumba zao kwa 18.8 ukilinganisha na Wanawake wa Mijini wanaomiliki nyumba kwa 16.5. Orodha ya Mikoa yote...
  17. JamiiForums Tanzania Watoto Wenu Muwalee Wenyewe

    Siku hizi mnawaachia walimu kazi ya malezi yaani nyie mmejichomoa kabisa eti mpo busy 'kutafuta maisha' Walimu kazi yao ni kuwafundisha herufi na silabi kwa msingi wa kujua kuandika 1+1, 2+2 kwa msingi wa hesabu Walimu kumfunda mwanao heshima na tabia njema kwa ujumla sio kazi yao ni ya kwenu...
  18. JamiiForums Tanzania CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

    Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa. Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila...
  19. JamiiForums Tanzania Mnayasababisha wenyewe halafu mnalalamika

    Ujumbe kwenye picha unahusika sana.... Wanaume mmekuwa mkilaani sana kuombwa mahitaji baada ya muda mfupi baada ya kumuelewa mwanamke wa kitanzania. Sasa wewe tumekutana leo leo halafu unaniambia umenielewa ...nikiuliza umenielewaje unajibu unataka mzigo.... Huku na huku tunachat mara paaaap...
  20. JamiiForums Tanzania Uhusiano awa Avatar/Profile Pictures na sisi wenyewe

    Yaani kuna watu mabwege humu mpaka unashangaa... Unasema walitungwa ujauzito kipindi cha wazazi wao wakiwa wamelewa nini? Yaani jamaa mmoja bwege anaomba nimpatie kiasi flani cha pesa amtoe demu mmoja humu wa JF out sababu amempenda sana. Namuuliza umewahi mwona? Anajibu ameona tu picha yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…