wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania AVN inanisumbua, nifanyaje?

    Habarini ndugu, mimi nimemaliza diploma ya [clinical medicine] CO mwaka jana nahitaji kwenda kusoma degree but AVN number inasumbua kuipata kwenye mtandao nifanyeje ,ama tatizo linaweza kuwa ni nini
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wahitimu wa Ualimu wajitolee kufidia uhaba wa Walimu, na wenye kigezo hiko wapewe kipaumbele cha ajira

    Uhaba wa walimu. Ripoti ya takwimu muhimu za Tanzania ya mwaka 2019 iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu inaonesha shule mbalimbali za Msingi za serikali inaonesha kuwa mwaka 2018 shule za serikali zilikuwa na walimu 191771 ila kwa mwaka uliofuata wa 2019 walipungua hadi walimu 188336 kabla...
  3. JamiiForums Tanzania Kama wanawake mnataka wanaume wenye pesa Sasa inakuaje mnapata Mimba badala ya pesa?

    In short wanawake mnatia Huruma Sana. Unajinasibu unataka Mwanaume mwenye pesa hila Mwisho wa siku unaishia kupewa Mimba tu na kuachwa . Njia ya Mtu Kupata pesa ni kufanya Kazi hayo Mambo mengine mnajidanganya. Kwasababu tangia Mtu adange lakini Unakuta Mambo Ni 0-0 Wanawake fanyeni Kazi huku...
  4. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Tai 100 wafa kwa kudaiwa kula mzoga wenye sumu Afrika Kusini

    Walinzi waliokuwa kwenye doria katika Hifadhi ya Wanyamapori ya Kruger, wameripoti kugundua mzoga wa nyati, ambaye alionekana kuwekewa sumu, baada ya hapo walikuta Tai 100 na Fisi mmoja waliokufa kwa kuhisiwa kula mzoga huo Tai wengine 20 waligunduliwa katika eneo la tukio wakiwa katika hali...
  5. JamiiForums Tanzania Lini viwanja vitakarabitiwa angalau sehemu ya pitch

    Jaman ligi yetu kama mnavyoiona kila siku inazidi kukua. Pili kwa macho ya mbali ndio inaweza kuja kuwa ligi ya tatu kwa ukubwa hasa kwa kuwavutia wachezaji wa kigeni tokana na kaliba au asili ya watanzania kuwa waungwana na wakarimu kwa wageni bila ubaguzi,hichi ambacho wachezaji wengi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Reading in between the lines & listening in between the words. Ikitokea kuna kitu amekinoti lakini hakukisema, ukikijua kuna ubaya tumseme?

    Wanabodi, Hili ni Bandiko la swali, kuhusu moja ya zile mada ngumu za psychoanalysis, ambayo hoja zake ni vitu vya kufikirika tu na havijatamkwa rasmi, lakini vitu hivyo, vikisemwa na kujadiliwa kwa uwazi, vitalisaidia taifa. Watu tumeubwa tofauti tofauti, wengine ni good observers na wengine...
  7. JamiiForums Tanzania Wenye vigezo hivi mnitafute pm

    Natafuta alosoma degree ya procurement (watu wawili) diploma ya secretary,na degree ya uhasibu mkoa wa Ruvuma ni pm chap!!!!!!."Tusome vizuri nilichokiandika.....mnao ni pm tuzingatie mkoa tajwa RUVUMA".
  8. JamiiForums Tanzania Haya wale wenye Akili fupi na mnaomtetea Haji Manara na Tukio la Dharau alilolifanya Juzi someni haya Maelezo ya Maulid Kitenge wa EFM

    Swali kutoka kwa Mtangazaji Abdulrazaq Majid.... Kitenge je, ni kweli Haji Manara juzi pale alijitokeza tu na mkampa Kipaza Sauti afanye kile alichokifanya au labda ni Tukio ambalo mlilipanga na mlikuwa nae Kimaandalizi? Jibu la Mtangazaji Maulid Kitenge.... Ukweli ni kwamba Siku Moja kabla...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu dalili za mtu mwenye Upungufu wa Akili Kichwani

    Habari mabibi na mabwana wa jukwaa kubwa la JamiiForums Sitaki kwenda mbali sana nikawachosha naomba tu kufahamu dalili za mtu anayeanza kuwa na matatizo ya akili kichwani. Uzi tayari!
  10. JamiiForums Tanzania Masikini, wavivu na watu wenye roho mbaya walikuwa wakifurahia hatua za Magufuli kuturudisha kwenye UJAMAA

    Habari! Watu maskini, wajinga (waliokosa elimu), na wavivu ndio makundi ya watu waliokuwa wakifurahia harakati za Magufuli kutupeleka kwenye UJAMAA. Hata. UJAMAA hauwezi kufurahiwa na watu wenye bidii na vipawa katika utafutaji. Hata Wachina wanaukacha UJAMAA na kuanza kuishi kibepari, kila...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 US secretary of State Anthony Blinken aitakia Kenya uchaguzi wenye amani

    Huyu jamaa kumbe anajua Kenya ni nchi muhimu ukanda huu. Aitakia Kenya uchaguzi mwema.
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake kuaibisha wanaume wenye maumbile madogo (vibamia), ikiwa ni kaka yako kazaliwa na hivi utajisikiaje?

    Na hii ni matokeo ya utandawazi unaofanya wanawake wa dunia ya sasa kuanza mapenzi wakiwa mabinti wadogo kabisa, hivyo kupelekea kumjua zaidi ya mwanaume moja. Sasa unakuta huwa wakikutana na mwanaume mwenye uume mdogo huwa ni rahisi wao kujua, Kwa hapa kwetu kwa hizi asili zetu za kibantu...
  13. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Watoto wenye mahitaji maalum na elimu

    Ikisiri Nitumie fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia afya njema na kunipa nafasi ya kuandika makala hii kuhusu elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum kwa makundi yao. Katika makala hii nimeeleza changamoto zinazowakumba watoto wenye mahitaji maalum katika sekta ya elimu pamoja na...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa wenye akili tu: Uwakilishi wa bunge uwe automated, wananchi washiriki ki-digitali, hatuhitaji wawakilishi

    Wasalaam, Kama una akili chakata hili. Hatuitaji wawakilishi, watu wanaokua fatly paid, wanaenda kulala bungeni. Mawazo ya wananchi yanaweza kupatikana online, kwenye platform official itakayo ruhusu michakato na deliberations ya issues za kitaifa na kimataifa. Gone are the days where...
  15. JamiiForums Tanzania Wenye akili tayari wameanza kutembelea nyota ya Mandonga. Sikiliza wimbo wa Mandonga " acapella"

    Wewe muimbaji mimi sikujui and am sure as hell a millions of Tanzanians do not know you but we are listening to you because you are talking about Mandonga.
  16. JamiiForums Tanzania Mwenye orodha ya Wakuu wa Idara za Halmashauri na Majiji nchini Tanzania

    Kama kuna idara au taasisi au mtu binafsi mwenye Orodha tajwa hapo juu aiweke hapa tafadhali. Kukosekana kwake kutaonyesha ni jinsi gani serikali haina database ya watumishi hapo na ni moja ya Kada alizosema Waziri Mkuu inalipwa mishahara mikubwa ila Idadi na Majina yao hayajulikana na mtu au...
  17. JamiiForums Tanzania Ficheni ila wenye Watu wetu ndani ya Yanga SC wametuambia kuwa hizi ndizo sababu za Senzo Mbatha Kuwakataa

    1. Kufanya Kazi kama Deiwaka tu na siyo kumpa Mkataba wa Kueleweka huku mkimchafua kwa Wanachama kuwa ni Mlevi wa Pombe na kwamba huwa analewa Chakari. 2. Kukataa kwa Yanga SC Kumuuza Mshambuliaji wake Fiston Mayele katika Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa Tsh Billion 3 za Kitanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Ongezeko la Wanawake (Mabinti) Wenye Vitambi (Obesity) Mtaani

    Habari za Muda Ndungu Zangu, Leo nijadili kuhusu Swala la Vitambi Kwa Wanawake. Naongelea Wanawake kwasababu nawajali na nawapenda. Kumekua na Ongezeko Kubwa la Wanawake Wenye Ndambi Kubwa mtaaani Kila ninapokutana na Wanawake 10. Saba kati yao Wana Ndambi mpaka unaweza kudhani ni Mimba...
  19. JamiiForums Tanzania Chanzo cha vifurushi vya simu kupanda ni kutokana na mitandao husika kumilikiwa na watu wajanja wajanja wenye vina saba na serikali.

    Nafikiri kila mtu anatumia hii mitandao na amejionea gharama zinavyopanda kiholela kila siku,chanzo kikubwa kinaweza mitandao hii kumilikiwa na watu wenye ukaribu mno na serikali kiasi kwamba serikali haina maamuzi ya moja kwa moja juu yao,pia serikali nayo inamiliki sehemu ya mitandao...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Wanaolalama kupata ongezeko la 20,000 ni wale wenye mishahara mikubwa

    Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa amesema wengi wanaolalamika kupata ongezeko dogo la mishahara ni wale ambao wana mishahara mikubwa. Ametolea mfano wa mawaziri kuwa wako baadhi ambao ongezeko lao ni 0.02% Amewaomba watumishi kuwaamini viongozi wa vyama vya wafanyakazi. Amesema wengi waliopata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…