wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wengi wenye vitambi walipata utapiamlo utotoni

    Habarini wakuu sana. Ipo namna hivyo. Watu ambao hawakupata lishe ya kutosha utotoni huwa wanapoteza uwezo wa kuchakata msosi. Yaani mwili wake unavyotumia chakula ni tofauti na mtu ambaye alipata lishe ya kutosha. Sasa mtu huyu akipata pesa au uhakika wa msosi ukubwani, anajikuta anakula...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kabidhi Imani yako kwa Marafiki ila siyo Ndugu wenye Chuki, Dharau na Unafiki

    Sijawahi kuona Rafiki mnayeshibana akakuombea mabaya ila Ndugu kuombeana mabaya hata Kufa Kwako ni Jambo la kawaida. Sijawahi kuona Rafiki mnayeshibana akawa Mnafiki dhidi yako ila kwa Ndugu Kukusanifu huku akikuchekea ni Jambo la kawaida. Sijawahi kuona Rafiki mnayeshibana akaona kuna Fursa...
  3. JamiiForums Tanzania Usilolijua kwa Hamornize ni ujenzi mpya wenye mvuto. Fagio lake mtalishukuru baadae

    Wana JF Watu wengi wamekalia lawama nyingi sana na kuhukumu kila kukicha nafasi ya kondeboy Harmonize katika mikakati ya kuangushwa na mpenzi wake na mtu mzima Kajala. Pengine ufagio mpya alioutumia unaonekana kuwakera wengi tu lakini kwa jicho jipya ni kwamba kisafisha nyumba na kuweka vitu...
  4. JamiiForums Tanzania Ni kwanini watu wenye jinsia mbili hawapewi uhuru wa kuchagua jinsi yao?

    Watoto wengi wanaozaliwa na jinsia mbili mara nyingi hufanyiwa upasuaji na wazazi kupanga wawe jinsi gani. Sasa kwanini wasiachwe wakue ili wao wenyewe waamue jinsia wanayoitaka? Hapa nazungumzia intersex ama watu wanaozaliwa na jinsi mbili.
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli usiosemwa: Kwa Tanzania, UTAPELI ni Biashara iliyohalalishwa kabisa isipokuwa kwa wenye mamlaka tu

    Mifumo ya Tanzania kiukweli inasikitisha sana. Masuala ya UTAPELI yamehalalishwa kabisa na watu wanaofanya UTAPELI wanafanya waziwazi bila kificho na hakuna anayewagusa. Tanzania hata siku moja usikae ukafikiri labda ukiwa kama Raia wa kawaida serikaali itakulinda. Suala la kujilinda ni...
  6. JamiiForums Tanzania Bunge laitaka Serikali kuhakikisha wanafunzi wenye sifa na wamekosa mikopo kupokelewa Vyuoni haraka

    Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ametoa agizo hilo Leo Novemba 1, 2022 baada ya kuwahoji Wabunge ambao kwa pamoja wamepitisha Azimio la kuitaka Serikali ihakikishe Wanafunzi wenye vigezo wanaendelea na Masomo. Hatua hiyo inakuja baada ya kuwepo taarifa za Wanafunzi wenye vigezo vya kupata...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa wale wenye electronics and telecommunication project njooni

    Habari za kwenu, Wale wadau wenye project za Electronics pia na za telecommunication Hata It ambazo hazijaendelezwa kwa sababu mbalimbal n pm ukitaja project title yako na approximately cost ya project then tutawasiliana.. Tahadhari usishushe data nyingi hii za technically,,,pia nipo busy...
  8. JamiiForums Tanzania Elon Musk: Watumiaji wa Twitter kulipa ada ya $8 kila mwezi kumiliki blue tick

    "Chief Twit" mpya wa Twitter Elon Musk anaripotiwa kufikiria kufanya blue tick kuwa kuwa kipengele cha Twitter Blue, wakati huo huo akiongeza mara nne gharama ya huduma ya usajili. Hii inamaanisha kuwatoza watumiaji ada ya kila mwezi ya $20 ili kuweka beji yao ya tiki ya bluu. Inaelezwa kuwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Aweso: Ruksa wenye visima Binafsi vilivyo hakikiwa kuhudumia wananchi

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amewataka watoa huduma binafsi ya visima kutoa huduma hiyo kwa kuzingatia taratibu za uuzaji zilizowekwa kisheria ikiwemo maji bei elekezi na kuhakikisha maji hayo yana ubora. Amewataka wamiliki wa visima binafsi na vya umma kuendelea kutoa huduma hiyo kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Wana Simba SC tumeshachoshwa na 'Press' zenu za 'Kutuzuga'

    Tumeshawachoka sasa, yaani kila Simba SC ikifanya vibaya (ikifungwa) ili kutuzuga wapenzi (mashabiki) haraka sana kesho yake (kama hii leo) mnakuja na Press Conference (Mkutano na Waandishi wa Habari). Kama kweli Simba SC huwa mnakuwa na taarifa (jambo) muhimu kwetu mashabiki ni kwanini huwa...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso aiagiza DAWASA kushirikiana na wenye visima

    Kutokana na kupungua kwa maji katika Mto Ruvu ambao unatumika kusambaza maji katika baadhi ya maeneo ya mkoa wa Pwani na mkoa wa Dar es Salaam, Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameiagiza DAWASA kushirikiana na wenye visima vya maji kutoa huduma hiyo ili kupunguza madhira yanayowapata wakazi wa mikoa...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali: Wahanga vyeti feki kulipwa mafao yao

    Watumishi wa Serikali katika Kada mbalimbali ambao waliondolewa kazini kutokana na tuhuma za kuwa na vyeti feki vya taaluma. Serikali imeagiza mchakato wa kuwalipa mafao yao uanze mara moja. Siku ya leo Mawaziri Wawili watafanya mkutano na waandishi wa habari kuhusu michango ya pensheni...
  13. JamiiForums Tanzania Sio sawa kwa wazazi wenye pesa kuwaficha watoto wao upande mgumu wa maisha

    Maisha magumu hayanaga hodi, ni vema mtu uwe walau una maandalizi yake maana lolote laweza tokea. Kuna malezi haya ya dezo huwa naona ni hatari kwa watoto, ikitokea mara paap mzazi kafukuzwa kazi, biashara imeyumba, katoweka, n.k na hana ndugu wa kuendelea kumlea mtoto wake maisha ya dezo, basi...
  14. JamiiForums Tanzania Tupende tusipende, bado Tanzania inahitaji viongozi wenye nusu ya hulka ya Hayati Magufuli

    Habari wana JF, natumaini wote baadhi yenu ni wazima wa afya, na wale wasiyokuwa wazima afya, nawaombea mtakuwa wazima afya pia. Kabla sijasema sana napenda kuweka wazi kuwa mimi siyo mnazi wa Chama chochote cha siasa ila ni kijana tu niliyefanikiwa kuwepo na kutambua mambo kwa uhalisia wake...
  15. JamiiForums Tanzania Mradi Wenye Mafanikio Hutimiza Matarajio ya Mnufaika

    Katika utekelezaji wa miradi, wakati mwingine mteja (client/beneficiary) hutarajia huduma zenye ubora wa kiwango fulani/mtindo fulani tofauti na uwezo wetu katika kuzalisha. Hali hii kwa kiasi kikubwa imekuwa ikipelekea miradi mingi kutokufanya vizuri, na hii ni kwa sababu, KUMRIDHISHA MTEJA...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Cheo kipya cha Muundo walimu wenye MASTERS

    Wanagenzi ni kweli kwamba kuna cheo kipya cha muundo kwa waalimu wenye masters degree.
  17. JamiiForums Tanzania UTAFITI: Kuna ongezeko kubwa la wenye chini ya miaka 50 kuugua Saratani

    Je, ni uchaguzi wa mtindo wa maisha au teknolojia bora ya uchunguzi? Kulingana na utafiti mpya, vijana wengi zaidi duniani kote walio chini ya umri wa miaka 50 wanagunduliwa kila mwaka na Saratani inayoanza mapema. Dk. Suneel Kamath, kutoka Kliniki ya Cleveland alisema, "Hivi ndivyo ninavyoona...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mwaka juzi 2020 zaidi 90% ya wanafunzi wa Law School of Kenya walifeli, mitihani, uchunguzi ukaonyesha LSK ndio wenye makosa

    Hii sakata la wanafunzi wa Law School of Tanzania kushindwa kufaulu mitihani kwa kiwango kikubwa hivi imenikumbusha sakata kama hilo kwa LSK kwa mwaka 2020 ambapo zaidi ya 90% ya wanafunzi wali fail. Baada ya matokeo kutoka na malalamiko kua makubwa, Serikali ikaamuru uchunguzi ufanyike na...
  19. JamiiForums Tanzania Inakuwaje TRA kwenye nne bora ya wenye uadilifu wapo na nne bora ya wala rushwa wamo? Huu utafiti nina mashaka nao

    Angalia picha kisha toa maoni yako.
  20. JamiiForums Tanzania Inakuaje wazazi wenye tattoos mwili mzima wanazaa Mtoto asiyekuwa na tattoo hata moja?

    Hili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo. Wataalam wa sayansi nipeni msaada wa hili suala
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…