wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Usiwape pesa watu wenye mikosi, utapoteza zaidi

    Habari! Hili jambo nimelifanyia utafiti wa kutosha. Ni hivi: Kuna watu wamenajisiwa na majini, wachawi, mizimu au mapepo ili wasisitawi kwenye jambo lolote lile. Kielimu, kiuchumi, kisiasa na hata kijamii ukinajisiwa na wachawi huwezi kustawi. Utaishi kwa mateso mwanzo mpaka mwisho wa uhai...
  2. JamiiForums Tanzania Mafundi wa Namna hii Wanapatikana Wapi?

    Mwamba anashuka jiko kwa mikono yake bila tool yoyote 😂😂😂
  3. JamiiForums Tanzania Nisiwe mnafiki wanawake wenye chuchu Mungu awazidishie zaidi

    Wasalaam Sina mengi nimetafakari sana kwenye rejea mimi ni Mr chuchuz ujumbe wapenda trakooz mimi siko huko, hakika wanawake wenye chuchu Mungu awabariki sana aongeze idadi yenu kuna haja tuendelee na tafakuri ya kuoa au kuenzi vyombo. Sina mengi mnanibariki sana I feel it uwepo wa mwanamke...
  4. JamiiForums Tanzania Utafiti: Wenye Damu kundi A wana hatari ya kupata Kiharusi kuliko wenye kundi O

    Chapisho la Timu ya Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Maryland katika jarida la Neurology, limeonesha wenye Damu ya Kundi A wana uwezekano mkubwa wa kupata Kiharusi kabla ya umri wa miaka 60. Wenye Kundi O la Damu wameonekana kuwa na uwezekano mdogo au kuchelewa kupata Kiharusi cha mapema...
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi wa mkoa wenye roho mbaya sana

    Watu kama Makala na Gondwe ambao hawajajiajiri maishani mwao miaka yote wanaishi kwa jasho la walipa kodi hawawezi kujua ugumu wa kusimamisha biashara kutoka mchangani. Dada wa watu katega eneo zuri ambalo mmempa wenyewe, ameweka hela yake, ameitumia nguvu ku-brand biashara leo imekuwa imara...
  6. JamiiForums Tanzania Jamii iache kuhukumu vibaya wanaume wanao ingia kwenye mahusiano ya kimapenzi ( ndoa ) na wanawake wenye umri mkubwa kuwazidi

    Kumezuka wimbi kubwa la wanaume wengi wanaozama kwenye dimbwi la mahusiano ya kimapenzi na baadae sana wanagundua wapenzi wao wamewazidi umri kitu ambacho jamii ya kiTanzania inakichukulia kama kitu cha aibu na cha ajabu mno. Kwenye kila taasisi kuanzia ya familia, makazini na nyumba za ibada...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri wa lishe kwa watu wenye Shinikizo kubwa la damu (Hypertension)

    Watu wenye changamoto ya shinikizo kubwa la damu hupaswa kufuata masharti sahihi ya mlo ili kupunguza athari za ugonjwa huu, pamoja na kusaidia katika udhibiti wake. Kwa kuzingatia umuhimu wa lishe kama sehemu ya mkakati muhimu wa kuboresha afya kwa watu wenye changamoto hii, Shirika la afya...
  8. JamiiForums Tanzania Magaidi wenye itikadi za kidini walipua mabomu na kuua nane Somalia

    Magaidi wa alshabaab ambao hufanya maukatili kwa imani za kidini walipua mabomu na kuua nane..... Police said today that eight people were killed in a roadside bombing claimed by al-Shabaab in central Somalia where a major offensive is underway to retake territory from the jihadists. The...
  9. JamiiForums Tanzania Mwandishi mwenye asili ya Tanzania atajwa kati ya Waafrika 100 Wanaoheshimika zaidi 2023

    Mwandishi ambaye ana asili ya Visiwani Zanzibar, Abdulrazak Gurnah ametajwa na Taasisi ya Reputation Poll International, katika orodha ya mwaka 2023 ya Waafrika 100 wanaoheshimika zaidi. Orodha hiyo ina watu binafsi kutoka sekta mbalimbali ikiwa ni pamoja na Utawala, haki za Binadamu, Elimu...
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vipini puani

    Rejea somo tajwa hapo juu, utafiti wangu niliyofanya Kwa kutumia sampuli 20 (10 zina vipini na 10 hazina) umebaini kuwa Wanawake wenye vipini wanatiika (kuwa mwelewa) kirahisi zaidi kuliko wasio na vipini, sijajua sababu ni nini. Matokeo ya utafiti: Kati ya sampuli 10 zisizo na vipini, sampuli...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Shaka kulikoni? Kaboronga ama kagusa maslahi ya wenye nchi?

    Shaka alikuwa kishaanza kuimudu kazi ya uenezi. Lakini ghafla bin vuu tunaona anaondoshwa kunako kiti cha uenezi. Tunajiuliza kaboronga ama kagusa maslahi ya wenye nchi?
  12. JamiiForums Tanzania Chongolo, Anza mkakati wa scouting, andaa mkakati maalum wa Siri wa kutafuta vijana wenye vipaji vya Siasa,wapate mafunzo maalum ya chama

    Chama kina vijana wengi tu ila hawajapata mtu wa kuwaona, kuanzia vijijini, mijini, vyuoni, Ofisi za umma. Nashauri Chongolo awe na mkakati maalum wa kuwa na mijadala na vijana, yeye au maafisa wake, Kila Mkoa akienda atenge siku moja ya kuongea na vijana wa chama. Huko ndio ataibua vipaji...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivyo ndivyo pengo la wakenya wachache wenye ardhi na wakenya wengi wasio na ardhi lilivyozaliwa

    Samahani huwa sipendi kutafasri maana huwa napoteza maana. --- Secret land deal that made Kenyatta first president Fresh evidence pieced together by the Sunday Nation confirms widespread speculation that Kenya’s first president Jomo Kenyatta entered a secret pact with the British government not...
  14. JamiiForums Tanzania Nimebaini kuajiri watu wenye wivu, husda na roho za kichawi TRA ni kuhatarisha ustawi wa nchi kiuchumi

    Unajua kuna watu wana enjoy kuona wenzao wakianguka na kuwa chini, in short wana roho za kichawi. Hongera Simba kwa kuokoa sekta ya banking nchini kwa kurudisha imani kwa depositors, maana kila mtu alishaanza kukimbiza pesa uswiss.Taifa lilikuwa linaenda kuanguka vibaya.
  15. JamiiForums Tanzania Magaidi wenye milengo ya kidini, yaani Taliban na IS wauana

    Afghanistan's ruling Taliban killed eight Islamic State militants and arrested nine others in a series of raids targeting key figures in a spate of attacks in Kabul, a senior Taliban government spokesman said Thursday. The Islamic State group claimed responsibility for a deadly bombing near a...
  16. JamiiForums Tanzania Elimu kwa dada zetu: Msibweteke na pesa za Waarabu wanaonunua ngono, wapo wenye 'fetish' ya kutesa, kuharibu maumbile na kudhalilisha

    Fetish ni kitendo ambacho kinamuongezea mtu raha kwenye sex, kwa hawa wengi kwa nchi walizotokea fetish zao huwa ni mtungo wa kumchangia binti moja huku wakimuingilia zamu zamu kinyume na maumbile (0717), na hiki ndicho wanacho fanya hata kwa dada zetu. Target zao huwa ni mabinti ambao nado...
  17. JamiiForums Tanzania Ila nyie Dunia ina mambo, kuna watu kazi yao kukaa Mahakamani kusubiri wenye kesi wapate chochote!

    Yaani makubwa haya kama hujui kuna mengi ya ajabu sana kwenye hii dunia. Kuna wakati unashangaa Lakini ndio ukweli wenyewe. Binadamu ana namna mbalimbali za kujippatia Riziki. Utakuta vishoka. Hii ya vishoka mahakamani inatia woga. Wakati wewe unahangaika kutafuta Riziki kkwa njia zako wapo...
  18. JamiiForums Tanzania Ofa: Kesho nitaombea wote wenye uhitaji wa kuombewa. Kama wewe ni mmoja wapo jiunge nami

    Anaandika; Robert Heriel Kuhani Katika Hekalu Jeusi. Kesho ni mwisho wa Mwaka. Kuanzia majira ya 12:00 - 4:00 Usiku nitautumia muda huo kuombea watu wote wenye kuhitaji msaada wa KUOMBEWA. Nafahamu sio Watu wote wanaoamini kwenye mambo ya maombi. Nawaelewa Watu wa Aina hiyo. Maombi haya ni Kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Wasaidizi wa kazi za nyumbani wenye uzoefu na maadili mema

    Kuna mabinti watatu wanatafuta kazi Umri ni miaka 21,20,18, Elimu kidato cha nne, Wanauzoefu wa kutosha na kazi zote za nyumbani. Mimi nafahamia na binti mmoja huyo wa miaka 21, hao wengine ni wadogo zake. Mshahara utategemea na ukubwa wa familia yako, kati ya 70,000/ mpaka 100,000/. Wapo...
  20. JamiiForums Tanzania Utajiri wa Bwana Elon kuzidi kuporomoka, zipi sababu? Sisi kama watu wenye maono tunayapi ya kujifunza?

    Takwimu za Forbes zinaonyesha khali ya bwana Musk kuzidi kuwa tata ? Je, tuna yapi ya kujifunza regarding that this man is a legend who revolutionized rocket science?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…