wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye uzoefu na Bajaj za Piaggio

    Nataka kufahamu hasa kuhusu hizi Bajaj za Piaggio, kuhusu bei zake, gharama yake na matengenezo.
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Ritta Kabati Kutoa Bima za Afya kwa Watoto wenye Mahitaji Maalum Mkoa wa Iringa

    MBUNGE MHE. DKT. RITTA KABATI KUTOA BIMA ZA AFYA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM MKOA WA IRINGA MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA IRINGA (CCM), Mwenyekiti wa Wabunge wa CCM Iringa, Mjumbe Bodi ya Wasanii COSOTA na Balozi wa Walemavu Bungeni Mhe. Dkt. Ritta Kabati ameahidi kutoa msaada wa jumla ya...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Wenye elimu ya dini nisaidieni: Ni ipi hekima iliyojificha katika mateso makali wayapatayo wanyama?

    Habarini! Wenye ujuzi tupeane maarifa kidogo tafadhali. Msingi wa swali langu unaegemea zaidi maisha ya wanyama hawa wala nyasi. Naona maisha yao yamejaa tabu na mateso na wasiwasi mtupu. Wakikoswa kupigwa meno ya shingo na kunyonywa damu na simba au chui basi huishia kuliwa kwa kumegwa...
  4. JamiiForums Tanzania Wazazi wenye Watoto wa Secondary wa Shule za Dar Kagueni Mashavu ya Watoto wenu kwani kuna Mmoja nimemuadabisha Kimara Stendi Juu Darajani leo

    Hakuna Kitu ambacho GENTAMYCINE nachukia kama Watoto wa Shule (Watoto zetu) kuwa na tabia za Matusi Matusi tena Hadharani ambako Watu wazima tupo au tunapita. Leo mida ya Saa Mbili Usiku GENTAMYCINE nilikuwa nakatiza zangu Kimara Juu Darajani na nikakuta Wanafunzi wa Upili (Secondary) wakiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kuwatambua watu wenye ulemavu wa viungo waliofanikiwa ili kuwatia moyo wengine wasikate tamaa

    Hii inaweza kuwa motivational post pia ya kuonesha kwamba ulemavu sio kushindwa kabisa. Kwa upande wa albino nimewaacha maana kwao wana nafuu, bado wanaweza kusikia, kuongea, kuona, kufikiri, kutembea, n.k. hapa kuna kina Manara, Keisha, Abdallah Posi, Albino flani (R.I.P), n.k. Ila sasa kuna...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa wenye uzoefu na hizi gari ndogo. Hili swali watu wameshindwa kujibu

    Nimeona kwenye group moja la Telegram mdau anauliza hili swali. Tumeshindwa kujibu. Wadau nani amewahi enda Dodoma kwa IST toka Dar? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi? Au *Nani amewahi fanya safari ya Dar to Babati kwa IST? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?"
  7. JamiiForums Tanzania Nimezoea Reggae na Hip Hop leo nimeiongeza Gospel kwenye orodha yangu

    Jioni baada ya kutoka mihangaikoni nimekaa geto, nikitafakari siku yangu imeendaje. Wakati huo wa kutafakari huwa napenda kusikiliza muziki na miziki yangu mara nyingi ni Hip Hop na Reggae ila leo nikaamua nisikilize Gospel. Dah, siku yangu imeisha vizuri mnoo. Hawa wamehusika kuniburudisha...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania Walimu wenye Masters hawatambuliwi kimasilahi?

    Habari. Kwasasa dunia inafanya mapitio ya mitaala ya kufundshia/kujifunza huko mashuleni, huku swala la elimu za walimu ambao ndio wadau wa mitaala hiyo likiwa gizani. Kwa mfano, kwa Tanzania muundo wa kiutumishi wa walimu wa shule za msingi na sekondari unaanzia elimu ya cheti hadi shahada ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wenye mamlaka serikalini: Itumieni JF kubaini mapungufu katika maeneo yenu mnayosimamia/mnayoyaongoza

    JF ni hazina (rich source of information) ya taarifa mbali mbalimbli zinazotolewa na members. Fahamu kuwa kila idara/sekta/eneo la kiserikali la kazi haiwezi kukosa mtu member wa JF. Hivyo kama kuna maovu yanayotendeka, ukifuatilia JF utayakuta wameyataja/wameyaandika. Unaanzia hapo unatafuta...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Chemsha Bongo

    Nishawahi kusikia au kasoma kuwa; Ujaama ni imani, CHADEMA ni imani, dini ni imani, taifa halina dini bali lina imani, 1. Nini tofauti kati ya KUAMINI na KUJUA 2. Kujua na kuamini je ni kitu kimoja au tofauti. 2. Je, Ujamaa, chadema, dini tunapaswa kujua au kuamini 3. Je, mama yako...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Iundwe tume kufatilia urasimu uliopo Muhimbili unaopelekea wagonjwa hasa wenye magonjwa dume kukosa haki ya kuendelea na matibabu

    Nianze kwa kuhoji; Hivi mmegundua kwanini ktk maeneo ya taasisi za Umma kuna katazo "HURUHUSIWI KUPIGA PICHA". Na mnaweza kujiuliza kuna uhusiano gani, wateule wanapokula kiapo cha uamijifu husema "Sitotoa nje siri za Serikali." Serikali ni sisi wananchi kwa kuwa tumeiweka madarakani. Bila...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wenye umri wa miaka 35 hamjaoa na hamna hamu ya ndoa njooni tujadili

    Sasa nina miaka 35 sipati hamu kabisa ya kuoa na kuishi na mwanamke, labda aje tu nichaape aondoke. Ziko shida nyingi na hatari nyingi ninazoweza kupata kwa kutoishi na mwanamke, kiufupi sina sababu ya msingi ya kuwa bachela hadi sasa. Hakuna kitu nakerwa kama kulizwa naoa lini , current...
  13. JamiiForums Tanzania Magaidi wenye mlengo wa dini (Boko haram) waua wavuvi Chad

    Hawa watu na dini yao sijawahi kuwaelewa, wanaua maskini waafrika wenzao..... No fewer than 29 fishermen have lost their lives to suspected Boko Haram terrorists while fishing in the Lake Chad region in Borno State. The incident reportedly happened at Mukdolo village located in Gamboru-Ngala...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume na Wanawake Tuepuke kuoa au kuoelewa na Wanawake au Wanaume wenye Ma Ex Wengi

    Nimejaribu kufanya utafiti wangu miaka mingi sana kuhusu mahusiano,Uchumba hadi ndoa.Na nikajua humu nikaona kampeni za vijana kuhusu kukataa ndoa. Ila Kwa Hitimisho langu ni kwamba chanzo Cha Usaliti,heshima ndani ya Ndoa au hata kwenye Uchumba kutokuwepo inatokana na mtu kupitia mahusiano...
  15. JamiiForums Tanzania "Islamic State," have killed at least 36 people in an overnight attack in eastern Congo

    Suspected Allied Democratic Forces militants, an insurgent group with ties to the "Islamic State," have killed at least 36 people in an overnight attack in eastern Congo. Rebels killed at least 36 people in an overnight attack on a village in eastern Democratic Republic of Congo, officials said...
  16. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni msumari wenye kutu, haumezeki

    Mimi si mwanasiasa ila ni Mtanzania ninayenufaika na siasa. Kwa umri wangu mdogo, nimeona vyama vingi vikifa ikiwemo CUF, chama ambacho nilikipenda sana, ila baadaye nikaanza kuvutiwa na smartness ya Chadema, ingawa si mwanachama. Kwa mtazamo wangu, Chadema imejengwa kwenye msingi imara sana...
  17. JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

    Kwema wakuu! TUlipokuwa tunasoma, tulisoma kina Karl Marx, Wakina Charles Darwin, Kina Pilato, Aristotle na wengineo. Leo hapa JF kuna Watu na Falsafa zao, mitazamo, na nadharia zao. Humu ndani kuna member ambao ni waasisi na ma-father wa Ligi Fulani Fulani. Yaani wao mawazo Yao Kwa sehemu...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Tuwatumie wafungwa kutekeleza mpango wa lishe mashuleni wenye matokeo makubwa

    Rais wa JMT, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan Waziri wa kilimo, Mhe. Hussein Bashe na wengine wanaohusika Ninawapongeza sana viongozi wangu kwa kuwekea mkazo kilimo kiasi cha kilimo kuonekana ni ajira kwa vijana. Mipango na mikakati ya wizara ya kilimo inayobuniwa chini ya waziri Bashe inatoa...
  19. JamiiForums Tanzania Watalii wenye Figo 1 waanza kupanda mlima Kilimanjaro

    Watu 31 ambao wanaishi na figo moja, wameanza safari ya kuupanda mlima Kilimanjaro, lengo likiwa ni kuihamasisha jamii kujitolea kuchangia kiungo hicho kwa ndugu jamaa na marafiki wenye uhitaji. Maadhimisho ya siku ya figo duniani, huadhimishwa Machi 9 ya kila mwaka, kwa lengo la kuhamasisha...
  20. JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wanisadie nahisi kabisa sio mtu wa kawaida

    Wakuu Naombeni Msaada. Mimi ni mtumishi wa umma ila nipo likizo ni wiki ya pili sasa. Jana mida ya saa tano usiku hivi nikiwa nimechoka tu kukaa ndani siku nzima nikaamua nitoke. Kabla ya kutoka nikapiga simu kadhaa kwa vipengele vyangu nikaona navyo havieleweki vinanipangia muda wa kuvitafuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…