Aloo nilichokutana nacho leo balaa, nawaombeni wadada mnaoweka hizi kucha za bandia kuweni makini kwenye sehemu zenye mkusanyiko wa watu. Leo nimekoswa kutobolewa macho kwenye daladala.
Sawa tunajua mnataka muonekane warembo, ila basi jaribuni kulinda usalama wetu sisi wengine. Sio kwamba...