wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wenye nyumba mtuhurumie aisee

    Aisee kuna appartment hapa ziko 6 kwenye compaund, Kuna nyumba ya faza house pia. Alijenga hizi apaartment akiwa kashajenga nyumba yake tayari. Issue inakuja hizi appartment zina tank za maji na zote zinashea mita moja na mwenye nyumba(maajabu), Ana watoto 7 na watoto 5 wana familia zao maeneo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania People who win the war, ni wenye IQ kubwa tu, Isrel anapiga vyenye upinzani kwanza, Iran anapiga visivyo na kizuizi, nani ni nani?

    Acha akili kubwa iendelee kuongoza dunia na itakuwa hivyo milele Najifunza mengi sana kwenye hii vita Ukiangalia mashambulizi ya pande zote Mbili, Iran na Israel Huwenda uwezo wao ni mmoja tu na ama wanazidiana kidogo sana ila akili ndiyo inayoamua hii vita Mashambulizi ya Iran yanalenga...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzetu wenye magari ya milioni 200+ wanaoingiza pesa halali wanafanya shughuli zipi?

    Wabongo wenzetu nikiamaanisha watanzania wenye asili ya kiafriaka ❌Wanasiasa - Wengi wananenepa kwa kodi zetu ❌Wachungaji wa kilokole wengi wahuni wanatajirika kwa sadaka ❌wasio na shughuli zinazojulikana, wengi matapeli na dili nyeusi
  4. JamiiForums Tanzania Kwani waislamu ndiyo wenye hatimiliki ya mpira wa Tanzania?

    Waislamu ndiyo wenye hatimiliki wa mpira wa Tanzania? Mbona wakristo ni wachache kwenye vile vyombo vinavyoongoza mpira kwenye nchi hii kwa maana TFF aisee na hizi timu mbili za kariakoo Simba na Yanga viongozi wake wengi au karibu wote ni waislamu Kwenye uchaguzi huu wa TFF watia nia wa...
  5. JamiiForums Tanzania Duh, Waisraeli ni watu wenye akili sana – Tazama mahali wanapojificha wakati wa vita. Ni raha tupu!

    Katika dunia hii yenye vita visivyokoma, taifa la Israeli linaonekana liko juu sana kwa hekima, umakini, na maandalizi ya hali ya juu ya kujikinga na mashambulizi ya mabomu. Hili ni taifa dogo kijiografia, lakini lina hazina kubwa ya maarifa, ujasiri, na ubunifu wa hali ya juu. Unapoyaangalia...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Walimu wa English Language na Literature wenye GPA ya 3.8 fanyeni Masters za Linguistics/Literature Kuna uhaba.

    Wakuu nimekuwa nikifanya utafiti wa kwenye masomo husika naona hakuna wataalam juu sababu ni kwamba walio juu hawataki wenzao kufika huko hasa ndugu zetu wa Mlimani. Ushauri wangu soma vyuo hivi: 1.MA in Linguistics SAUT Mwanza (Evening/Weekend mode)- Ukiwa lake zone. Ada M 5,56660 Total...
  7. JamiiForums Tanzania SWALI: Kwanini watu wenye ibada pasipo na ukristo na Uislamu. Mbona dini zao ziko na pesa ?

    SWALI : kwa nini watu wenye ibada pasipo na ukristo na uislamu.mbona dini zao ziko na pesa ? Naomba wasomi mtupe jibu je Kuna Siri Gani hapa . Atotoa jibu zuri Kuna zawadi ya group kuingizwa free la kulipia ili kuchota marifa zaidi na Utambuzi zaidi na zaidi . Swali la kwanza ameshinda...
  8. JamiiForums Tanzania Wakuu hii imekaaje Mbona mimi sielewi? Hebu nisaidieni tafadhali kwa wenye ujuzi

    Nilileta hapa uzi ukizungumzia kuhusiana shida ya ujauzito iliyompata shemeji yenu. Ambapo tarehe saba alijifungua mtoto akiwa amefariki. Tukahudhuria hospitali kwa kipindi chote tulichotakiwa cha matibabu na huduma kwa mzazi. Kubwa kuliko yote sasa, jana shemeji yenu kaamka haoni kabisa yaani...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Poleni wanaharakati poleni wapigania haki poleni wote wenye kupenda kusema ukweli kazi hii imekuwa ngumu mno

    Kazi inapokuwa ngumu SI vibaya kujikusanya na kupeana hope Ikitokea mashambulizi yanalemea upande wako SI vibaya mkarudi nyuma kidogo kwa Nia ya kujipanga upya Wakuu nasema hivi kwa sababu ya Hali ilivyo kwa Sasa chini ya utawala wa rais Suluhu kushambulia kwa kutumia nguvu kubwa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa yasimama Rais Samia; Awasili Jijini Mwanza na kupokelewa na Maelfu ya Wananchi Wenye Nyuso za Tabasamu na furaha akielekea Mkoani Simiyu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge Amewasili Mkoani Mwanza...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye sura za baba zao ni watamu zaidi

    Naomba nijielekeze kwenye mada husika. Tukatae tukubali, Kuna wanawake wanasura ngumu sana. Humu JF na vijiweni tumezoea kusema wana sura za baba au wajomba zao. Kundi hili la wanawake hawana fujo sana kwenye profile zao. Utakuta wameweka neutral profile ambazo hazina nasibu na sura zao kama...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Gwajima na waumini wake wafanye maombi makubwa ya kamatakamata kuwazuia polisi wanaofunga kanisa lao. Kwani wenye kosa ni waumini au ni askofu?

    Ni wakati sasa askofu Gwajima na kanisa lake wafanye maombi ya nguvu kuwazuia polisi wanaozuia waumini wa kanisa hili kufanya ibada yao ya Jumapili. Kwani kosa lilifanywa na waumini au na askofu mwenyewe? Huu ni uvunjifu mkubwa wa haki ya kuabudu unaofanywa na serikali ya CCM kupitia Polisi na...
  13. JamiiForums Tanzania Njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha (Math 11:28)

    Yesu alitoa mfano akasema "Mtu mmoja alikuwa na wana wawili; yule mdogo akamwambia babaye, Baba, nipe sehemu ya mali inayoniangukia. Akagawiwa vitu vyake. Hata baada ya siku si nyingi, yule mdogo akakusanya vyote, akasafiri kwenda nchi ya mbali; akatapanya mali zake huko kwa maisha ya...
  14. JamiiForums Tanzania Wenye majina ya Kelvin huwa hawakui?

    Tufahamishane jamani, sijawahi kusikia mtu mzima au wa makamo anaitwa Kelvin, kwani wenye haya majina hawakui?
  15. JamiiForums Tanzania Wasabato na walokole Kwa aina zenu. Ni kwanini ni wachungaji pekee ndio wenye mamlaka ya kubatiza tofauti na agizo la yesu?

    Injili zote ukianza na mathayo na zingine zote yesu alitoa mamlaka Kwa wanafunzi wake akisema... Mathayo 28:19-20 (KJV) Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chini ya uongozi wa Lissu na Heche, CHADEMA haiwezi kusimama wala kufua dafu tena kwenye medani za siasa za Tanzania

    Na kwamba uongozi ni kuonesha njia na sio kuwachochea chuki na fujo wanachama dhidi ya wenye maoni tofauti na yao, uongozi sio kukiuka sheria kwa kuropoka, kuwatapeliwa wanachama pesa zao au kuwarubuni na kuwalaghai wanachama wanaowaongoza uhuru na haki zao za kikatiba kama vile kushiriki...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa hii barabara bado tunaweza sema tuna serikali ya watu wenye akili?

    Hii ni barabara ya Njombe Songea, upana wake hata barabara za mataani zina nafuu. Kila siku tunalalamika ajali, ila kwa wembamba huu wa barabara lazima tuendelee kufa tu. Sasa sijajua kwa barabara ilikuwa kwa ajiri ya majaribio (demo) au ni kitu gani!
  18. JamiiForums Tanzania Wenye chama waokoe chama chao au waache aende nacho shimoni

    Habari wakuu, Kiukweli kwa hali iliofikia mtaani chama kinakufa kwa kasi kweli lakini ukiangalia kwa undani raia wanamchukia yeye kuliko chama ila siku zinavonzidi kwenda na chama kinaanza kuchukiwa . Kuliko kuendelea kumlamba miguu mpaka wakaenda nae shimoni ni bora wafanye jambo mapema...
  19. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge Joyce Atieno aliyeenda kutizama mwili wa marehemu Ojwang ametimuliwa na vijana wenye hasira kali

    Waandamanaji na vijana wenye hasira kali wamemfukuza kwenye mochwari mbunge wa Wanawake wa Kaunti ya Homa Bay, Joyce Atieno, anayejulikana kama 'Bensouda'. Bensouda alikuwa ameendaa kutazama mwili wa mwalimu Albert Ojwang' aliyeuawa, na kabla hajaweza kuzungumza na waandishi wa habari, vijana...
  20. JamiiForums Tanzania Geita mkoa uliojaza maskini wengi na kukosa maendeleo lakini ndio wenye dhahabu nyingi na kampuni kubwa ya uchimbaji

    Kama umefika geita na viunga vyake utajionea umaskini uliopo kuanzia miundo mbinu na wananchi wenyewe. Katika mkoa wenye migodi mingi mikubwa ni geita. Shida ya serikali yetu ya CCm tokea kupata uhuru hakuna lolote walilowezesha labda wananchi wajiwezeshe wenyewe. Yani mkoa una rasilimali za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…