wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. Richard

    Watangazaji wenye uwezo wa kifedha wasome Masters au PG Diploma darasani au Online lakini lazima wawe na Shahada yoyote ya kwanza

    Sakata la Bodi ya Ithibati limezua janga na wengi wa watangazaji wamekwama kuendelea na shughuli za utangazaji kwani tasnia hiyo yahitaji uwe na cheti cha ngazi ya Diploma. Lakini nina ushauri kwa watangazaji wengi ambao wana shahada yoyote ya kwanza kwamba wana uwezo wa kusoma shahada ya...
  2. N'yadikwa

    Je, uteuzi wa Balozi wa Ghana mwenye asili ya Kiasia unaonesha kuwa Waafrika ni wabaguzi zaidi kuliko hata walowezi?

    UTANGULIZI: Wiki hii, uteuzi wa Balozi mpya wa Ghana nchini Korea Kusini umezua mjadala mkubwa mitandaoni, si kwa sababu ya sifa zake au sera zake, bali kwa sababu ya sura yake. Balozi huyu ni Mghana mwenye asili ya Kiasia – jambo ambalo kwa baadhi ya watu limechukuliwa kama "kashfa" kwa...
  3. Ummmmkimkana

    Aya kazi kwenu wenye maduka... mifuko laini

    Nauza vifungashio au mifuko laini Ile ya kuingia kilo moja Hadi kilo mbili ni mizuri mipana na haivuji wala kuachia chini pindi unapobeba bidhaa...njoo nikuuzie kwa mia9 kila pisi wewe uuze 1300 adi 1500 kwa kila pisi... napatikana mbagala chamazi karibu boss
  4. Technophilic Pool

    Heche adai kua Mwanza ingekua kama Shenzhen Kama nchi ingekua na viongozi wenye maono!

    JE UNAONA NI KWELI?? Maendelel makubwa na kitovu cha utalii
  5. Muimba SINGELI

    Sababu moja wapo kwanini nawapenda wadada vibonge na wenye mashavu manene

    Kitandani 👇 Cc waifu material
  6. GENTAMYCINE

    Kuna Timu safari hii imekosea (imechemka) sana katika Usajili wake na itakuja kupata Mafanikio kwa nguvu za Wabunge wenye Kuogopwa na TFF

    Sijaitaja sasa Wewe shoboka kuwa unaijua kwa kujifanya upo Akilini mwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE Malaika wa Kizanaki (Mara Tanzania), Kiyao (Mtwara Tanzania) na Kitutsi (Gisenyi Rwanda) sawa?
  7. Pdidy

    Wenye kujua hii biashara ya LSSC

    Habarini wapendwa Niko mkoani kidogo nimekutana na mate wangu KTK story za hapa na pale akaninijuz biashara ya LSSC Binafsi huko nyuma nilishawahi wekeza sehemu nkapigwa nkaona nimuulize mwenye idea NAYO. Humuuu... Nahisi n network business Mwenye idea tujulishane... Ruksa HATA kujielexa...
  8. Youbettersleep

    Kijiweni leo: kwanini hakuna wazee wenye majina ya kelvin?

    Habari tena! Leo kijiweni mzee mjuaji sana (Kamugisha) alikuja na jibu baada ya kuulizwa jana kuwa kwanini hawajawahi kusikia Mzee yeyote anaitwa KELVIN. SABABU! Baada ya mzee kufikiria akaja na jibu kuwa, jina la KELVIN lilikuja Tanzania miaka ya 90's hivyo lilianza kutumika kuanzia mikoa ya...
  9. C

    Sekta ya madini kuipeleka Tanzania uchumi wa kati juu 2050 wenye Pato la TZS50,000 Kwa kila Mtu kwa siku.

    Mojawapo ya sekta zilizochaguliwa kupewa kipaumbele na Dira2050 ya maendeleo katika kuleta mageuzi kiuchumi ifikapo 2050 ni sekta ya madini ambayo kwa kipindi cha miaka kumi (2014-2024) imekuwa ikikua kwa wastani wa 9% mpaka 10% ambapo jumla ya mchango wake katika pato la taifa kwa kipindi cha...
  10. chiembe

    Bati za Sundar ni bora? Kwa wenye uzoefu tafadhali

    Swali langu
  11. Melancholic

    Kwa watu wenye changamoto ya vipara

    Wakuu hope mpo wazima wote. Na wagonjwa Mungu awafanyie wepesi. Uzi wangu unawahusu wanaume wenye changamoto ya kutoka upara wakiwa bado vijanana wadogo. I mean kuna mtu nywele zinaanza kuisha yupo early 30 au 20 hili ni tatzo sana kwa jamii nyingi ya watu. Na inawafanya watu wanakosa...
  12. Pdidy

    Naona mechi ya single na wenye ndoaaaaaa naoita tuu...

    SASA tulioachika sijui TUKO kundii. Ganii na linii tutachezaaa NAWATAKIA MECHI njemaaa wote mtakaoshirikiiii All d best Maswali mengi sitakii
  13. Wamweru

    Watu wenye maono na utafiti wa kina kama Polepole wanafaa kutuongoza katika nafasi ya Rais

    Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Nilimsikiliza jana Polepole, ni wanaccm wachache sana wanaweza kuchambua mambo kama yeye, na nathubutu kusema kwa dhati kabisa, hata Rais Mama Samia hawezi na hatoweza kufanya hayo. Wala hawezi kuweka mdahalo na Polepole. Ningependa siku moja hawa...
  14. Hyrax

    Watu wenye tabia zifuatazo watachelewa sana au hawataweza kuwa matajiri kwenye uzao wao wote

    1. Watu wenye tabia za uoga 2. Watu wenye fikra za kimaskini 3. Watu wanaopenda kuzaa watoto wengi. 4. Watu wanaopenda kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na watu wengi. 5. Watu wanaoamini kuwa utajiri ni bahati. 6. Watu wasiomwamini MUNGU
  15. S

    Wito wangu kwa wana simba wote wenye mapenzi na nia njema kwa timu yetu

    Timu yetu inapitia wakati mgumu sana, inarushiwa mishale mashariki, magharibi, kusini na kaskazini, hawapumui. Nawapa pole sana viongozi wangu, hiyo ndio kazi ya uongozi. Mitandao ya kijamii imeleta changamoto kubwa katika tasnia ya habari nchini, kila mtu anapojisikia kuongea anaita social...
  16. M

    Gwajima na Pole pole , ni kama walituambia watekaji ni kina nani, wananchi tunadhani Wenye power waahusika

    Ni kweli nataka kuanza na sisi wananchi, njoo mtaani uone reaction ya watu kuhusu utekaji , wanadhani watu wa usalama wapo Kila kona mtaani , hivyo raia wengi wamekuwa waoga kuongea ,na ukiuliza chochote watatuambia Mimi sitaki kuongea kitu unataka nitekwe, maofisini pia watu wamekuwa waoga...
  17. S

    Gwajima akisema CHADEMA wapewe 'minimum reforms' anatuambia CCM ni wenye hati milki ya Katiba na kuwaamulia vyama vingine wapewe nini, kwa kiasi gani?

    Kwa muda mfupi nilidhani Gwajima ni mtu mwenye busara na uwezo wa kutafakari mambo. Lakini kwa hii Press Conference yake nimemtoa tena kwenye watu wenye hekima. Bila aibu kabisa anasema CCM iwape Chadema minimum reforms na kuwaruhusu waingie kwenye uchaguzi. Ni aibu sana mtu kama Gwajima...
  18. Roving Journalist

    Mafunzo ya vitendo kwa kutumia Mdoli wenye muonekano wa binadamu (Manikin) uliounganishwa na teknolojia

    Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe akiangalia mdoli wenye muonekano wa binadamu (Manikin) ambao umeunganishwa na teknolojia inayowezesha mdoli huo kujieleza namna inavyoumwa wakati huduma ikitolewa. Midoli hii ambayo inatumika kwa mafunzo kwa vitendo (Skills Lab) katika Chuo Kikuu cha...
  19. Waufukweni

    GE2025 Tundu Lissu: Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, wanaoomba huruma ni wenye hatia

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu amesema "Mimi siombi Huruma ya Mahakama, Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, nachotaka na ambacho nakisimamia utaratibu wa Mahakama usichezewe"
Back
Top Bottom