wenye uhitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Anana_

    JamiiForums Tanzania Natamani Watanzania tuanzishe Sanduku la kuchangia nguo tusizozitumia kwa wenye uhitaji

    Wakuu, nimefanikiwa kutembea baadhi ya mikoa vijijini kama Dodoma, Kagera, Kigoma, na Mara. Hali ya watanzania wenzetu vijijini hairidhishi, nawaza hata tungeanzisha visanduku vya misaada ya nguo ambazo hatuna matumizi nazo ili ziwasaidie wengine huko. Najua wengi tuna nguo ambazo zipo tuu...
  2. Ivan Breaker

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya video ( CINEMATIC VIDEOS ) Kwa wenye uhitaji

    Hello Family JF Family members! It's been a while, kwa wale wanaonifahamu humu nimekuwa member toka 2023 nadhani, kipindi bado najitafuta mimi ni nani na hadi leo hii nipo katika hatua nzuri namshukuru Mungu. Kwa sasa kulingana na maisha niliyoamua kuishi natambulika sana kama Videographer...
  3. Sasso

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Mawazo na Wadau wenye uhitaji au Interest kwenye Kuwekeza kwenye ufugaji hususani kuku

    Wakuu, natumai mko vyema, na kama kuna mwenye madhila Mwenyezi Mungu ampe faraja. To make a long story short, nilikua niko mkoa X for the long good six years nikiwa nimeajiriwa kwenye miradi lakini nikiwa nafanya ujasiriamali wa ufugaji (Tanga Region). Kufuga, kutotolesha, kuuza mayai, kuuza...
  4. Sabosojr

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wenye uhitaji huduma za kodi TRA, barua kutoka TRA na mambo yote ya Kodi

    Karibu Leo, Linda na kuza biashara yako nasi.⚖️ Huduma zetu ⚖️ 1. Ushauri WA kodi ✓ Kufanya makadirio ya 2026 ( January -March) ✓kutuma return za PAYE, SDL, VAT na WHT ( January - December) ✓ Ukaguzi WA kodi ✓ kufanya mapingamizi ya KODI ✓ kusajili VAT 2. Huduma nyinginezo ✓ leseni za biashara...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye uhitaji wa kuagiza magari nje ya nchi

    Habari Nimeandaa Uzi huu katika jukwaa hili Kwa lengo kuu Moja kutoa msaada na huduma Kwa wale wote ambayo watakuwa wanahitaji kuagiza magari nje ya nchi Mosi watapewa ushauribwa kitaalamu na kuweza kuchukua uamuzi WA busara lkn pia watapewa Elimu ya Kodi ili kujua kipi wafanye kabla ya...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atoa mkono wa Eid El Fitri Mbeya kwa watoto wenye uhitaji maalum

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mkono wa Eid El Fitri kwa watoto wenye uhitaji maalum kwenye makao ya watoto 23 mkoani humo, Bidhaa mbalimbali zimetolewa ikiwemo mchele, unga, mbuzi, mafuta ya kupikia na vinywaji...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Samia Kings (Madee, AY na Chegge) kufuturisha Watoto yatima na wenye Uhitaji maalum Machi 22, 2025

    Wakuu Kundi la wasanii wanaojlikana kama Samia Kings linaloundwa na Madee, AY na Chegge, limetangaza kufuturisha watoto yatima na wenye uhitaji maalum mnamo Machi 22, 2025. Hafla hiyo inalenga kuwapa faraja watoto hao wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Pia,Soma Picha: Samia Kings (AY...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM - Temeke yawakumbuka wenye uhitaji kuadhimisha miaka 48 ya CCM

    Umoja wa vijana chama cha mapinduzi wilaya ya Temeke umesema utaendelea kuishi kwa vitendo malengo ya kuasisiwa kwa Chama Chama Mapinduzi CCM kwa kuwajali watu wote kwani Chama hicho ndio kimbilio la wanyonge Wakizungumza wakati wa Matembezi maalumu yaliyokwenda sambamba na kutoa msaada wa vitu...
Back
Top Bottom