wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nilitembea shule moja ya sekondari. Walimu wengine wanajiona wa maana kuliko wenzao.

    Milikuwa na appointment na mtu hapo shule. Nikapewa kitu na nikiwa nasubiri akatokea mwalimu wa ratiba. Mwalimu wa ratiba aliongozana na rundo la walimu wengine wakike. Walikuandama yule mbaba wa watu. Wanamuuliza maswali, ukiona wapi somo la hesabu likawekwa mwisho, akaja mwingine wa English...
  2. R

    Mzee wa upako: Wakionewa watu wengine mnakaa kimya, hayatuhusu, leo mmeguswa unalalamika

    Wakiguswa wengine mnakaa kimya hayawahusu. Leo ni kwako nadhani utajifunza kitu hapa chini: Martin Luther King Jr. > Quotes > Quotable Quote (?) “Injustice anywhere is a threat to justice everywhere. We are caught in an inescapable network of mutuality, tied in a single garment of destiny...
  3. Ushauri kwa Askofu Gwajima, John Heche na wanasiasa wengine

    HUU UZI SIO WAKUUNGANISHWA, UNAJITEGEMEA. 1. muwe makini sana na matamshi yeyote mnayofanya popote, na hii ni kwa watanzania wote wanaowasemea wengine, watu wabaya wakikosa cha kukushitaki, huwa wanajua with time utajikwaa tu kama sio kwenye sheria za cyber, basi kwenye matamshi yako kwa sababu...
  4. W

    Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha lakini mimi sijui mission yangu, je nipo alone ?

    Niliwahi kusikia Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha, Mfano ni mtu kama Lissu mission yake ni ukombozi haijalishi hata akishindwa, Mrisho Mpoto ni kutukumbusha asili zetu kupitia muziki haijalishi hata kama mziki haumlipi, n.k. Nikiwa shuleni hadi chuo maisha yangu...
  5. Shukuru Mungu Kwa Maisha Uliyonayo Wengine Hawana Kabisa Pa Kuanzia, Tujifunze Kusaidiana

    Jana majira ya saa tano usiku wakati najiandaa kucheki muvi, nikapatwa na msukumo wa kutoka nyumbani na kwenda kuzurura mitaani. Huwa ninafanya hivi mara kwa mara ila msukumo wa jana ulikuwa mkubwa. Nilipotoka ndani, kwanza nikakutana na kibaridi kinapiga, nilitaka kusitisha safari ila nikasema...
  6. Rais Museveni awaomba rasmi msamaha Waganda. Bado nyie CCM!

    Huyu mzee atakuwa ameona siku zake za kuishi sio nyingi sana duniani. Atakuwa amejua atakapoondoka watakaobaki watakuwa kwenye hali mbaya sana. Jana kwenye ibada maalum yeye na mke wake wamesoma speech maalum ya kuwaomba radhi Waganda kwa madhira waliyowafanyia na Chama chao. Rai yangu kwa CCM...
  7. Kuna tetesi kuwa CCM na magenge yao yanatafuta njia kuzibiti habari na video za gwajima na wengine wasisambaze.

    Wametafuta mpaka ma IT wao uchwara wajaribu ku hack account ya gwaji boy youtube na lengine wamekataza chombo chochote kisitoe habari za yaliyo ongelewa. Usijeshangaa hapa JF mkafutiwa nyuzi zenu ambazo zinahusu habari ya gwaji kuweka wazi na zikabaki za kumziaki.
  8. Silaha kuu ya Wapalestina na waarabu dhidi ya Israel ni UONGO!!!!!!

    Waarabu Wanaendelea kufanya Maigizo Wanaonyesha video au taswira ya mtoto MMOJA aliye na ugonjwa wa Genetic ambao kwa kawaida huenea kwa watu walio na uzao wa uzazi mmoja au uko mmoja kama vile Cystic Fibrosis, na wanasema "ana njaa kwa sababu ya Wayahudi" kuzuia chakula huko Gaza wakati siyo...
  9. CHAUMMA hata ikipata viti viwili maalum vya Ubunge vitakuwa vya Mke wa Mwalimu na Kigaila akina mama wengine pambaneni Kwa tahadhari

    Yale ya COVID 19 kule CHADEMA ni ngumu kutokujirudia huko CHAUMMA, Wanawake mnakwenda CHAUMMA Kwa malengo ya viti maalum fanyeni hivyo Kwa tahadhari Sehemu sahihi ni CCM tu.
  10. Kero za Kubaki Bachela – Maisha ya Kuazima Furaha kwa Wengine!

    Wakuu Nimerudi tena na hawa kataa ndoa, nimekaa nikaangalia maisha ya mabachela (na mimi nimewahi kuwa mmoja wao), nikagundua kuwa kubaki hujaoa kwa muda mrefu ni kama kujitesa. Maisha ni ya muda, ya kubahatisha, ya kuomba msaada kwenye kila jambo. Kero kuu za maisha ya bachela: 1. Hakuna mtu...
  11. S

    Serikali ya CCM itambue huu utitiri unaoongezeka kila siku wa magari ya ving'ora na taa za bluu unawaharibia sifa kuwa wanadamu kama Watanzania wote

    Hali inaongezeka kila siku nchini za viongozi wa Tanzania kutaka kujitutumua na kujitofautisha na Watanzania wengine, wananchi wa kawaida. Ile roho chafu ya "unanijua mimi ni nani" inawapa kiburi sana watu wanaojiona wao ni watawala nchini, pamoja na watu wa vyombo vyao vya dola. Angalia kwa...
  12. Kunani ongezeko la magari yanye ngao (bullbar) barabarani, zinaruhusiwa na wengine tufunge?

    Kwa kumbukumbu zangu magari yenye ngao yalipigwa marufuku kwa sababu ya usalama wa watumiaji wengine wa barabara. Hii ilisaidia kidogo madereva kuwa makini, hata kama una gari kubwa ilikuwa lazima uwe na nidhamu, ukigonga wenzako basi ujue fedha ya taa na bampa zinakuhusu. Sasa hivi kila basi...
  13. M

    Kazi na matokeo ya kazi, ndiyo humheshimisha kiongozi yeyote, bila hivyo, machawa ni wapunaji tu

    Kama kukosolewa ni nongwa, na burudani ya moyo wa mfalume ipo kwenye kusifiwa, na kusifiwa huko kunasababishwa na mkono wenye kugawa vinono, basi utambue unajisumbua tu, wakosoaji hujikita katika kuangazia kile umeitendea Tanzania kama kiongozi mkuu Ukiona agenda yao imeungwa mkono na walio...
  14. M

    Kuna vichaa wengine wanaigiza

    Naimani mko poa. Leo nimeleta huu uzi kuchangamsha jukwa kidogo 🤣🤣 Kuna VICHAA wengine ni real wanashida hiyo lakini nina imani wapo wengine wanaigiza Kwa sababu zao binafsi. Hapa mtaani kwetu yupo jamaa Kwa umri ni kama ana umri 25-30 yrs. Huyu jamaa ana tabia moja mbaya sana. Anatembea...
  15. Freeman Mbowe kamwe usidhani kuwa wenye Akili Tanzania wamepungua au hawapo tena kabisa, bali jua ya kwamba wengine tupo na tumejaa tele tu

    Yote haya yanayoendelea sasa CHADEMA (hasa waliokuwa Viongozi Waandamizi na wale wa Kundi la G55) yana BARAKA zako kwa 100% na URATIBU wako kwa Kusaidiwa na Watu ambao WAMEKUTESA mno kwa Wao kukutumia na sasa KIMKAKATI zaidi umemua tena kuwa Kwao na wanakutumia katika hili. Freeman Mbowe wenye...
  16. Rekodi ya kuhama chama ya Lowassa haitakaa ikaribiwe, alisepa na kijiji, hawa G55 wanaigiza sana, hata familia zao haziwafuati huko

    Lowasa wakati anatoka CCM alisepa yeye na kijiji plus familia yake yote plus ndugu na jamaa na marafiki zake karibia wote. Sasa hawa G55 sijuia kama wanajishutukia kwamba wanaondoka wenyewe hata familia zao haziwafuati huko, hakuna anaye waunga mkono huko, hakuna anaye wasapoti. Hata Dr Slaa...
  17. Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako

    Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako Binadamu wanatofautiana sana, wema ni wachache, jinsia yetu ya kiume inatofautiana sana kifikra, wapo baadhi ya wenzetu fikra zao zimejikita sana kwenye ngono kwa maana...
  18. L

    Bado Wengine Wazito kutoka ndani ya Sekretarieti Ya CHADEMA Wataondoka. CHADEMA itabakia Kama Pagala.

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi nimejaliwa macho ya Kuona Mbali sana kabla ya jambo kutokea. Na wakati mwingine hutoa tahadhali Kwa muhusika au wahusika ili wachukue hatua. Niliwatahadhalisha sana CHADEMA,niliwasihi sana wana CHADEMA kuwa msithubutu hata siku moja wala kurogwa mkamchagua Lissu...
  19. Viongozi wengine Allah anawaweka madarakani kama adhabu!

    Naam, habari wana JF, Naam ni mpango wa muumba kila kiongoz anayepatikana ktk sehem yeyote ilee huwa ni kusudio lake vyovyote awavyo. Lakini kwetu sie watakiwa inaweza kuwa adhabu au iwe huruma toka kwa muumba isipokuwa ukiona mtawala muovu tambua mmeyachuma kwa mikono yetu hivyo haina haja...
  20. C

    Kwamba CCM na serikali yake inaamini kwamba wananchi sahihi kwao ni wanaCCM pekee, wengine sio wananchi?

    Nadhani CCM na viongozi wake kwanza watoke kwenye imani hiyo, inatakiwa iamini kwamba ni sawa na mzazi anaye zaa watoto wengine ni warefu na wengine wembaba na wanene wapo ila wote ni watoto wa mama mmoja sasa ukiona hupendi watoto wanene ukawabagua kwa kiasi hicho na ukawanyima haki zao.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…