wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Madaktari na maofisa wengine wa kiserikali mnawanyanyapaa sana wananchi

    Idadi klubwa ya wananchi ni dhofu hali na pangu pakavu hivi hizi kauli za madktari kuwalingania wananchi kuwa wapime afya zao kila wiki wanakuwa wakifikiri kuhusu pato la kila mmoja?wapo viongozi wengine wa kiserikali wanatumia kauli za kuwaaambia vijana wajiajiri ila wao ndiyo kwanza wapo...
  2. JamiiForums Tanzania Israel yaua maafisa wengine wa Iran Syria

    Imekua desturi sasa, viongozi na maafisa wa Iran wanawindwa Syria kote kote na kila wakiuawa, Iran inasema italipiza kisasi. ======== Two people were killed and several wounded on Monday in what Iranian and Syrian media said was an Israeli attack on the outskirts...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna Uhalali au ulazima kwa kampuni za simu kutoa namba za simu za mtumba (zilizotumika na watu wengine walio hai au kufa)?

    Wasalaam wana JF Nilikua nachangia kwenye uzi mmoja uliokua unajadili ulazima wa kuhifadhi number za simu za marehemu, nikawaza kwa maandishi, JE KUNA SABABU GANI YA KAMPUNI ZA SIMU KUTOA NAMBA ZA SIMU ZA MTUMBA? Kwangu mimi, kumiliki number ya simu ya mtumba (iliyotumiwa na mtu mwingine aliye...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna Watu mnashindwa kuelewa kuwa kwa wengine JF ni kama Familia yao

    Kwema Wakuu! Wapo Watu Wanazodoa baadhi ya wanaJF wakija kutoa malalamiko yao huku JF licha ya kuwa hatujuani. Wengine wakieleza mpaka mambo ya siri ya maisha yao. Wapo wanaoleta mambo ya kifamilia, wengine kazi, wengine kuwasema wazazi au ndugu zao. Wengine ishu za kazi. Elewa kuwa kuna Watu...
  5. JamiiForums Tanzania Ina maana ambao hadi leo hatujaumwa macho kama wengine tuna kinga imara?

    1. Waliobarikiwa zaidi na Mungu? 2. CD4 zao ziko Imara sana? 3. Hawajalaanika kwa Dhambi? 4. Wenye Kinga Kali mno? 5. Wenye Nyota zenye Kung'aa daima? 6. Wasio na Roho Mbaya na Wivu? 7. Wasiopenda kupiga Chabo? Asante sana Baba Mwenyezi Mungu.
  6. JamiiForums Tanzania Samia tangu arithi Urais 2020's, Jerry Silaa Pekee ndio mtendaji, Wengine wapeni jina!

    Jerry Slaa pamoja na mapungufu yake kisiasa hasa kulaumiwa kwa ubovu wa Barabara za Kivule na Gongo la Mboto kitu ambacho kinahitaji bajeti kubwa na inatoka kwenye wizara na ni nje ya uwezo wake, amejifumua uozo na urasimu uliopo kwa makamishan wa ARdhi Pale Wizarani Dar es salaam na Kibaha...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti ACT Wazalendo Dodoma asimamishwa uongozi. Alitoa kauli kuyapinga maandamano ya CHADEMA

    Chama cha ACT Wazalendo kinafuatilia kwa karibu mwenendo wa mambo katika mjadala wa kitaifa unaoendelea kuhusu Miswada ya Sheria ya Tume ya Uchaguzi, Sheria ya Vyama vya Siasa na Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani. Ikumbukwe kuwa msimamo wa ACT Wazalendo ambao unatokana na azimio...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanampinga Mwamposa wakati nabii wao alikabwa mapangoni na wengine wanaabudu sanamu la bikira mwenye watoto watano

    Kweli duniani hamna jipya. Ukisoma komenti za watu unabakia kustaajabu sana. Watu wamelewa dini. Wanamponda Mwamposa huku wao wanaamini kwa nabii aliyekabwa na pepo akiwa mapangoni akilazimishwa asome ilihali hakuwa anajua kusoma. Wakaeneza imani yao kwa ncha ya upanga na mpaka sasa ukitaka...
  9. JamiiForums Tanzania Israel itawamaliza Mateka wake kwa kushambulia Gaza wamewaua mateka wengine wawili kwa mabomu

    Wanakumbi. Taarifa za hivi punde kutoka kwa Hamas zinadai kuwa mateka wawili kati ya watatu walioonyeshwa kwenye video yao ya awali wamekufa kutokana na mashambulizi ya Israel huko Gaza. Wanajeshi wa Israel kutoka kitengo cha 36 baada ya kuondolewa Ukanda wa Gaza wameshangilia sana wengine...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi siyo kila Unachoambiwa na Mgeni Jirani ukiamini 100%, kwani Wengine huwa Wanakusanifu na Kukudharau pia

    "Gwaride lile la Askari Wetu hasa wale Makomandoo lilifanya tukiwa katika Hafla Ikulu ya Zanzibar Marais Wageni wa Nchi Jirani wasifie na waseme hakika Tanzania imewazidi vingi" alisema Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi. Chanzo: Nipashe ya Radio One leo Saa 12 na Nusu za Asubuhi. Hakuna...
  11. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA, ACT, CUF na wengine, na hofu ya kuonja sumu

    1. Nani asiyejua hatari ya kuonja sumu kwa ulimi? 2. Upo wito halali wa kutelemka mabarabarani 23/24. 3. Pamoja na kuwaita ndugu wa damu tena wale nguli washindao mitandaoni 24/7 kwa majina yao: "Jan 23/24, Maandamano yahusishe wadau wote." 4. Ni mwendo wa kupita juu kwa juu, kama jambazi...
  12. JamiiForums Tanzania Dili gani ulipiga likakutoa kimaisha na sisi wengine tujifunze

    Wakuu nimekua nikipambana bila mafanikio. Nimejaribu fursa mbalimbali lakini mambo bado bilabila. Nimejaribu kufanya kilimo changamoto yake ipo kwenye umwangiliaji na soko, nimejaribu kutoa boda za mkataba lakini bado napigwa ngumi za pua. Najua JF pana wengi na hapakosi kuwa na mengi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Aliyemuelewa Mkurugenzi wa TPA, Plasduce Mbossa atusaidie kufafanua hili

    "DP World atafanya kazi maeneo yaleyale aliyopewa kulingana na masharti ambayo tumemuwekea. Lakini bandari zote zitaendeshwa na TPA au mwekezaji mwingine au mwendeshaji mwingine wa ndani au wa nje ambaye tutakubaliana naye." - Mkurugenzi Mkuu TPA, Plasduce Mbossa
  14. JamiiForums Tanzania NECTA 2023: Wanafunzi 359,424 wa Darasa la 4 na Kidato cha Pili wamefeli, Wengine 211,997 hawakufanya Mtihani

    Matokeo ya Mitihani ya Upimaji Kitaifa kwa Wanafunzi wa Darasa la 4 na Kidato cha Pili iliyofanyika Oktoba na Novemba 2023 yameonesha Wanafunzi 147,837 (8.73%) wa Darasa la 4 hawakufanya Mtihani wa Upimaji ambapo Wasichana ni 60,835 (7.04%) na Wavulana ni 87,002 (10.50%). Pia, Wanafunzi 257,396...
  15. JamiiForums Tanzania Hili ndio swali ambalo Kinana, Majaliwa na CCM wengine hawawezi kulijibu

    Na kama Mwenyekiti wa ccm akizuiwa kuteua Wasimamizi wa Uchaguzi , hizi porojo za ccm kuchapisha fomu moja ya mgombea wa urais zitazimika mithili ya Mshumaa jangwani . Watapaswa kuachia fomu hata mia moja ili apatikane miongoni mwao mwenye uwezo wa kupambana majukwaani na kushawishi wananchi...
  16. JamiiForums Tanzania Wengine mnaoa familia gani? Milioni 22 mahari pekeee? Nonsese

    Hivi kuna wanaume wwngine wapoje? Yaani unamuomba msamaha mwanamke mrudiane hivi unajua akili za mwanamke akijua kwamba weww mwanaume ni bwege?mjinga au mpumbavu? Ok ila nisiseme sana maana kuna watu wanasema maumivu ya mapenzi ni yanauma sana ila sijajua aisee ila wewe umewahi kupigwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Hawa ndio watu 3 pekee wanaoendesha Tanzania wengine wote ni wafuata maelekezo!

    1.Rais wa Nchi, MHE. Samia Suluhu Hassan -Rais wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu -Yeye jukumu lake kubwa ni ku control hali ya Usalama na Siasa ndani na Nje ya Nchi 2.Dkt. Moses Mpogole Kusiluka-Katibu Mkuu Kiongozi -Yeye ni Katibu wa Rais na Mkuu wa Utumishi wa Umma-anaratibu shughuli zote za...
  18. JamiiForums Tanzania Video: Hatimaye aliyeongoza mashambulizi ya Octoba 7 awahishwa kule waliko wengine, auawa

    Jamaa sasa hivi anafaidi mabikira.... The IDF says it has eliminated the company commander of Hamas’s elite Nukhba force in central Gaza’s Deir al Balah in an overnight airstrike. It says Adel Msammah commanded the Nukhba terrorists who carried out the attack on Kissufim on October 7, and...
  19. JamiiForums Tanzania Iran yaweka orodha ya viongozi wake ambao Israel inasaka kuwaua kama ambavyo imeua wengine kimya kimya

    Yaani Israel ni balaa....... After an Israeli airstrike killed senior IRGC commander Sayyed Razi Mousavi, Iran International published names of who could be Israel's next targets. Following Prime Minister Benjamin Netanyahu's speech on Saturday night, in which he warned Iran and stated he would...
  20. JamiiForums Tanzania Kama kahutubia mbona kila ninayemuuliza anasema hajui alichozungumza, huku wengine wakiishia Kusonya tu?

    Mkufunzi wangu Mmoja wa Somo Communication aliwahi kusema ukiwa ni mwenye Hadhi yoyote ile jitahidi sana Hotuba zako ziwe zinaendana na Mood ya Watu wako kwa wakati husika au ukiona labda hukubaliki nao au una Gundu Gundulile dhidi yao sitisha Kwanza Kuzunzumza nao ( Kuwahutubia ) kwani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…