wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wiki hii HAMAS walikubali kuwa walidanganya kuhusu idadi ya vifo vya watoto na wananchi wengine huko Gaza. Kwani ni kipi kilicho kweli juu yao?

    Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za waandishi wa habari, israel ilioogundua na kuwa eliminate, dunia ikasema kuwa israel inauua waandishi wasio na hatia. Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za wafanyakazi wa UN, Israel ilipo wa eliminate, dunia ikasema kuwa...
  2. Siasa za ki-communist zimeishapitwa na wakati, mahusiano yetu na uchina yawe na mipaka kama vile yeye anavyowawekea wengine mipaka.

    Sawa tuna njaa, sawa hatuwezi linga diplomatically kwa maana hatuna kitu. Ila nakuambia hivii njaa itatoka tumboni na kwenda akilini pale utakapogundua anaeshirikiana na wewe kukutoa katika tabu kuanza kulala na mke wako na kunajisi watoto wako kisa tu anakusaidia kuishinda njaa. min -me LOTH...
  3. Ilikujuwaje Waafrika wakakubali uovu wa wengine kiasi cha kufanyiana uovu?

    Waovu, kwa mujibu wa vitabu vyao, walifanya uovu hadi wakashushiwa dini. Waliuana sana. Rejea Sodoma na Gomora, vita vya upanga, vita ya dunia, na mengine mengi na madhambi mengine. Sina ushahidi popote ambapo Waafrika walitenda haya mbali na vita ndogo ndogo. Je ilikuwaje Waafrika wakawaamini...
  4. Dear Atheists, this thread’s for you — Everyone else, keep scrolling!

    Hello Atheists! I want to begin with respect—genuine respect for your intelligence, your questions, and your skepticism. I know many of you value logic over emotion, evidence over tradition. I do too. That’s why I want to talk about three men who were once exactly where you might be today...
  5. R

    Hata CCM wengine wapo mle sababu ya njaa lakini ukweli wanauona kuwa CCM imeshindwa kukidhi matarajio ya wengi

    1. HUU NDIO UJUMBE WANGU LEO. CCM WAPO ME KWA VILE KUNA PESA YA BURE YA SERIKALI, KUIBA KURA, KUGAWIANA VYEO ETC ETC 2. TUMAINI LILIKUWA KWA CHADEMA, SASA NA WAO WANAANZA MWELEKEO WA CCM 3. CHADEMA MNAANZA KUGOMBANIA TU VYEO, VIJISENTI! 4. CHADEMA MNAANZA KUSEMEZANA UONGO, KUCHAFUANA...
  6. Yafahamu makundi ya wahamiaji Marekani wenye mafanikio makubwa sana wengine hata zaidi ya Wamarekani wazungu

    Hapa kuna makundi ya wahamiaji yenye mafanikio zaidi nchini Marekani, kulingana na kipato, elimu, na taaluma: 1. Wahindi wa Amerika • Kipato cha Kati cha Kaya: ~$150,000 (cha juu zaidi) • Elimu: ~79% wana shahada ya kwanza au zaidi • Taaluma: Sayansi ya kompyuta, tiba...
  7. H

    Kama watu walitokana na Adam na Hawa, je viumbe wengine walitokana na nani?

    Hapa napo Waafrika wameshindwa kabisa kujiongeza kabisa ili kufahamu ukweli wa chanzo au asili ya MTU. HILI swali jibu lake huwa ni simple sana kama watu,kuku,miti,samaki,mbwa,simba,nk wapo na kila mmoja ana maajabu yake inamaana kuna nguvu iliyosababisha wawepo ambayo ni MUNGU. Tatizo watu...
  8. wengine mnawezaje kula milo yote mitatu?

    Ugonile, Ni muda sasa napitia hali ambayo binafsi sifikiri kama iko sawa. Napata tabu sana kula milo yote mitatu, ni either niskip mlo mmoja au miwili ndo nile mwingine sababu ya kukosa appetite ya kula. Mfano saivi nina njaa ya kufa mtu ila kila nikifikiria kitu cha kula naishiwa pozi...
  9. Nini kinafanya taxi kuwa na bei juu kuliko wasafirishaji wenzao wengine kama bolt bajaji

    Kwa maeneo mengi ada yao ni mara 2 au 3 ya wenzao wengine kwa mfano ukiwa dar town centa unaenda ubungo utalipishwa elfu 20 hadi 30 au upo eapoti pale dodoma ukachukua taxi ikuzungushe ikakuache pale chakonichako yaani upande wa pili wa apoapo uwanjani utalipa elfu 30 wkt ukichukua bolt kama...
  10. Mwigulu Nchemba: Mzee Ngure alikuwa Mcha Mungu na mpenda elimu

    Waziri wa Fedha Mhe.Dkt Mwigulu Nchemba amesema Marehemu Mzee Wilfred Ngure ambaye ni Baba Mkwe wake alikuwa ni Mtu mcha Mungu na mpenda Elimu. Dkt. Mwigulu amesema hayo leo Machi 25, 2025 wakati wa Ibada rasmi ya kuaga Mwili wa mzee Wilfred Ngure ambaye alifariki Dunia Machi 22, 2025 Nchini...
  11. Kwanini tunapaswa kusamehe wengine

    Kusamehe ni kitendo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu, na kuna sababu nyingi zinazotufanya tuone umuhimu wa kufanya hivyo: * Kwa ajili ya afya yetu ya kihisia: * Kushikilia kinyongo na hasira kunaweza kusababisha msongo wa mawazo, wasiwasi, na hata matatizo ya kiafya ya kimwili. *...
  12. Wapi The Bold na wasimuliaji wengine bingwa? Makabrasha ya siri (classified files) ya uchunguzi kifo cha J.F Kennedy hatimae yameachiliwa

    Kuna habari ya kuamsha shauku ya wapenda simulizi za kiuchunguzi na kijasusi zinazunguka huko ulimwenguni baada ya Raisi D.Trump kusaini amri ya kuruhusu kabrasha (files) za uchunguzi kesi ya kuuwawa Raisi JF Kennedy. Hatimae zimeachiwa. Watu wengi walisubiria taarifa hizi wakiamini huenda...
  13. Licha ya Maisha kukosa furaha kwa binadamu ; kwa nini watu bado wanapambana kuzaliana (kuongeza watu wengine)

    Habari zenu ndugu zangu , Habari za Mfungo wa Ramadhan &Kwaresma! Swali hili nimekuwa nikijiuliza na kupata maono ya watu wengi hasa wazungu : Ni kipi kinafanya watu kuletana kwenye dunia yenye matatizo lukuki. Wazungu wengi wanaonekana wanapinga huu mfumo kwa kuhofia uelekeo wa dunia ni kuja...
  14. Siku ya leo ngumu sana, wengine wanasubiri mshahara, wengine wasubiri PDF ya TRA

    Ni mwendo wa kuangalia notifications, Email na SMS tu, kila ukisikia mlio unashtuka
  15. PreGE2025 Simba na Yanga wameshakuwa Machawa Pro Max, wanafanya nini kwenye mkutano wa uzinduzi wa Sera ya Maji?

    Wakuu Katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025, leo Machi 22, 2025, katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, mshehereshaji wa tukio hilo Shaban Kisu, alionyesha jinsi Simba na Yanga zinavyotumika kisiasa kwa kupaza sauti "Oyee!" kwa vilabu hivyo kupitia...
  16. Tuwe makini na biashara za mtandaoni Intelligence (IFX) ni wezi kama wezi wengine tu

    "As-salamu alaykum," kwa ndugu zangu Waislamu. “Bwana Yesu Kristo Asifiwe,” kwa ndugu zangu Wakristo Bila kupoteza muda, nimekuja kwenu hili kuwajuza juu ya wimbi la biashara za online ambazo kila kukicha zinazidi kuibuka kama uyoga. Vitu vingi vinaama kutoka kwenye ulimwengu wa kawaida na...
  17. Kwanini baadhi ya watu wanaridhika na maisha duni wakati wengine wanapambana hadi mwisho?

    Kuna uwezekano mkubwa wa kuishi maisha mazuri na yenye raha hapa duniani. Lakini ajabu kuna watu wanaridhika kuishi maisha duni. Wasiokubali kuishi maisha ya kimaskini wanapambana hadi mwisho. Wanaoridhika kubaki maskini huamini kwamba walizaliwa kwa bahati mbaya na hawana uwezo wa kubadilisha...
  18. Mwafrika ni bingwa wa kudandia mafanikio ya watu wengine

    Ni kawaida kwa waafrika walio wengi kipigania kwenda nchi za magharibi kwa gharama kubwa na wakikubaliwa wengine wanafanya sherehe Mwafrika ni mtu anayependa shortcut ndo moja ya sababu ya nchi nyingi za kiafrika kuishi katika umaskini wa kutisha usio na dalili ya kuisha Mwafrika akiwa anaishi...
  19. Kanisani si kila anaelia amejazwa na roho mtakatifu wengine wanalia na shida zao

    "Maisha yamekuwa magumu hadi ukienda kanisani kipindi cha maombi unalia na kuomba kwa uchungu watu wanafikiri umezama kwenye maombi kumbe ni uchungu wa maisha magumu."
  20. Hawa jamaa akina Sativa,Taivina na punter wengine wa paripesa mbona ukiscan mikeka yao haipo??

    Wakubwa Habari... Nina swali kidogo kuhusu hawa jamaa maarufu kwa BETTING huko twitter mbona Yale Majamvi yao ya STAKE kubwakubwa ukiscan kwenye betslip scanner ya paripesa yanakataa? Ni mimi ndio sielewi ? Ama wanashirikiana na paripesa kuingiza watu mkenge? Ama ile option ya betslip scanner...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…