Mimi ni mtoa huduma kwa wakimbizi kutoka katika shirika la madakatari wasio na mipaka la MSF.
Mara nyingi nimeshuhudia wakimbizi wasio na vibali vya kutoka nje ya kambi wakisafiri kutoka kambi la Nduta kwenda Kasulu na baadaye Kigoma manispaa. Njiani Kuna vituo vya ukaguzi lakini wakati...
Ni jambo bora sana kuwapa maua yao watu waliowainua wengine iwe nikwakujua au kutokujua. Wale waliotazamwa kama njia kwa wengine, wale walio washika wwngine mkono wakafanikiwa .
Kazi kwenu wakipita waone umuhimu wao naanza na wachache
1. Mkubwa Fela
2. Naseeb Abdul Diamond
3. Ruge Mutahaba
4...
JINSI YA KUTUMIA SHUHUDA ZA WATEJA (SOCIAL PROOF) ILI KUVUTA WATEJA WENGINE ZAIDI
Zinagtia ya 8
Watu hawaamini tu kuwaambia unachofanya
Wanaamini ushuhuda kutoka kwa watu uliofanya nao kazi, waliokwishatumia huduma bidhaa zako
Shuhuda ni muhimu sana kwenye kutafuta wateja
1. Weka Shuhuda...
Kama Umewahi Kupita Pita kwenye Mitandao ya Kijamii Sana sana X Utakuwa Si Mgeni sana kumjua Daudi balali ambaye Baadhi ya Vitu alivyotabiri Vimetimia Ila Vingine bado vinazidi Kutimia Huku Vingine Vikisubiriwa Kutimia..
Nitakuandikia Utabiri aliotoa Tarehe 23 September 2020..
Ambao Ulikuwa...
Kama kuna mwisho wa dunia na kwenda mbinguni kwanini iwe kwa watu tu isiwe kwa viumbe vyote vilivyoumbwa na Mwenyezi Mungu ikiwa ni samaki,miti,mbwa,nyoka,bata,kobe,nk??
Huu ujinga umepitwa na wakati ukifa ndiyo mwisho wa dunia kwa viumbe wote wa Mwenyezi Mungu tangu uumbaji wa ulimwengu huu...
Haji Manara pole sana ila kwa Tabia zako ambazo hata Nduguzo wanazichukia nilijua tu hutodumu kamwe na Zaylisa. Halafu naona kila kona Watu wanampongeza Mange Kimambi wakati GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums miezi kadhaa iliyopita na hata juzi kati (Threads zipo JamiiForums) nilisema kuwa Haji...
Ooh sijui mishahara, sijui maisha magumu, sijui nini,
Ebu njoeeni mtaani muone, si bora nyie mmesoma
Kaeni chini mfanye kazi kama mna hasira sana tengenezeeni chama chenu mchukue nchi
Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za waandishi wa habari, israel ilioogundua na kuwa eliminate, dunia ikasema kuwa israel inauua waandishi wasio na hatia.
Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za wafanyakazi wa UN, Israel ilipo wa eliminate, dunia ikasema kuwa...
Sawa tuna njaa, sawa hatuwezi linga diplomatically kwa maana hatuna kitu.
Ila nakuambia hivii njaa itatoka tumboni na kwenda akilini pale utakapogundua anaeshirikiana na wewe kukutoa katika tabu kuanza kulala na mke wako na kunajisi watoto wako kisa tu anakusaidia kuishinda njaa.
min -me
LOTH...
Waovu, kwa mujibu wa vitabu vyao, walifanya uovu hadi wakashushiwa dini. Waliuana sana. Rejea Sodoma na Gomora, vita vya upanga, vita ya dunia, na mengine mengi na madhambi mengine. Sina ushahidi popote ambapo Waafrika walitenda haya mbali na vita ndogo ndogo.
Je ilikuwaje Waafrika wakawaamini...
Hello Atheists!
I want to begin with respect—genuine respect for your intelligence, your questions, and your skepticism.
I know many of you value logic over emotion, evidence over tradition. I do too. That’s why I want to talk about three men who were once exactly where you might be today...
1. HUU NDIO UJUMBE WANGU LEO. CCM WAPO ME KWA VILE KUNA PESA YA BURE YA SERIKALI, KUIBA KURA, KUGAWIANA VYEO ETC ETC
2. TUMAINI LILIKUWA KWA CHADEMA, SASA NA WAO WANAANZA MWELEKEO WA CCM
3. CHADEMA MNAANZA KUGOMBANIA TU VYEO, VIJISENTI!
4. CHADEMA MNAANZA KUSEMEZANA UONGO, KUCHAFUANA...
Hapa kuna makundi ya wahamiaji yenye mafanikio zaidi nchini Marekani, kulingana na kipato, elimu, na taaluma:
1. Wahindi wa Amerika
• Kipato cha Kati cha Kaya: ~$150,000 (cha juu zaidi)
• Elimu: ~79% wana shahada ya kwanza au zaidi
• Taaluma: Sayansi ya kompyuta, tiba...
Hapa napo Waafrika wameshindwa kabisa kujiongeza kabisa ili kufahamu ukweli wa chanzo au asili ya MTU.
HILI swali jibu lake huwa ni simple sana kama watu,kuku,miti,samaki,mbwa,simba,nk wapo na kila mmoja ana maajabu yake inamaana kuna nguvu iliyosababisha wawepo ambayo ni MUNGU.
Tatizo watu...
Ugonile,
Ni muda sasa napitia hali ambayo binafsi sifikiri kama iko sawa.
Napata tabu sana kula milo yote mitatu, ni either niskip mlo mmoja au miwili ndo nile mwingine sababu ya kukosa appetite ya kula.
Mfano saivi nina njaa ya kufa mtu ila kila nikifikiria kitu cha kula naishiwa pozi...
Kwa maeneo mengi ada yao ni mara 2 au 3 ya wenzao wengine kwa mfano ukiwa dar town centa unaenda ubungo utalipishwa elfu 20 hadi 30 au upo eapoti pale dodoma ukachukua taxi ikuzungushe ikakuache pale chakonichako yaani upande wa pili wa apoapo uwanjani utalipa elfu 30 wkt ukichukua bolt kama...
Waziri wa Fedha Mhe.Dkt Mwigulu Nchemba amesema Marehemu Mzee Wilfred Ngure ambaye ni Baba Mkwe wake alikuwa ni Mtu mcha Mungu na mpenda Elimu.
Dkt. Mwigulu amesema hayo leo Machi 25, 2025 wakati wa Ibada rasmi ya kuaga Mwili wa mzee Wilfred Ngure ambaye alifariki Dunia Machi 22, 2025 Nchini...
Kusamehe ni kitendo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu, na kuna sababu nyingi zinazotufanya tuone umuhimu wa kufanya hivyo:
* Kwa ajili ya afya yetu ya kihisia:
* Kushikilia kinyongo na hasira kunaweza kusababisha msongo wa mawazo, wasiwasi, na hata matatizo ya kiafya ya kimwili.
*...
Kuna habari ya kuamsha shauku ya wapenda simulizi za kiuchunguzi na kijasusi zinazunguka huko ulimwenguni baada ya Raisi D.Trump kusaini amri ya kuruhusu kabrasha (files) za uchunguzi kesi ya kuuwawa Raisi JF Kennedy.
Hatimae zimeachiwa.
Watu wengi walisubiria taarifa hizi wakiamini huenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.