wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kufanya kazi kwa wazungu huwa kuna maslahi mazuri pamoja na kujaliwa utu au ni stori tu za vijiweni?

    Wengi (sio wote) Kunakuwaga na zile stori kwamba ukifanya kazi kwa mzungu umelamba dume, kuanzia maslahi yaani Mshahara na posho utapata kwa wakati tena kwa kiwango kizuri, utahehimiwa utu wako n.k. Ila sasa ukiwa mvivu, inachelewa kazini, kutoka toka muda wa kazi, kunaongea sana kuliko kazi...
  2. JamiiForums Tanzania Mzungu ana nyota kali ya mvuto? Kwanini watanzania wengi huwanyenyekea na hujipendekeza kwao?

    Si mara moja wala mara mbili nimekuwa nikiiona hii hali kwenye sehemu tofauti. Unakuta mzungu akienda ofisi ya serikali anashughulikiwa ki V.I.P unakuta swala lake linahughulikiwa kwaumakini wa hali ya juu sana. Akipita mtaani watu anaopishana nao wanampa sana salamu na hata wale wa mbali...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake Wengi huogopa kupoteza usichana wao kwa kuhofia siku ya kwanza ya ndoa yao na si kuwa na hofu ya Mungu

    Mambo vipi Sina uwandish mzuri ila nadhan nitakuwa nimeeleweka kwenye ili. Sio wanawake wote wanaotunza bikra kwa sabab ya hofu ya Mungu wengi wao huogopa kupoteza usichana wao kabla ya ndoa kwa kuhofia endapo wataolewa na mtu tofaut ambae aliemtoa usichana wake. Mwanamke hupitia wakat mgumu...
  4. JamiiForums Tanzania Star times ndio king'amuzi chenye watumiaji wengi nchini

    Hii ni kwa mujibu wa TCRA.
  5. JamiiForums Tanzania Ni nini hatma ya yote haya?

    Hakika katika migogoro inayoendelea ni dhahiri kuwa watu wengi tumekuwa tukitamani kuona nini mwisho wa yote yanayoendelea kutokea hivi sasa. Mpaka sasa Urusi inaendelea na kile inachokiita kuwa ni "oparesheni ya kijeshi" katika taifa la Ukraine. Watu wengi tunatamani kuona mwisho wake. China...
  6. JamiiForums Tanzania Kama Bunge ni chombo cha kutunga sheria kwanini wabunge wengi sio Wanasheria?

    Jamani wanajf habari. Jamani samahani naomba ufafanuzi Kama tunasema Bunge Ni chombo Cha kutunga sheria kwa Nini wabunge wengi sio Wanasheria? Watungaje sheria wakati hawajui sheria? Mimi nafkiri kungekuwa na vigezo maalum vya kuwa mbunge kigezo mojawapo angalau mtu awe na certificate ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kama hili la halikueleweka kwa walio wengi, je ni mangapi hayaeleweki?

    https://www.jamiiforums.com/threads/ikiwa-tarehe-23-august-ni-mapumziko-je-karani-atazifikia-kaya-zote-kwa-siku-hiyo.2011912/post-43490113 Nianze kwa kusema tu kwamba kuna baadhi ya maamuzi ya kawaida katika nchi yetu, yanatia mashaka kuhus maamuzi mengine magumu! Ikiwa zoezi la sensa...
  8. JamiiForums Tanzania VIDEO: Wanachi walio wengi Tanzania wamekubaliana na Serikali kukata tozo - TWAWEZA

  9. JamiiForums Tanzania Mto wenye mamba ndio hupatikana samaki wengi

    Serikali ya kiongozi mkali, mkorofi, anaewatisha kwanza mumuogope. Anaependa watu wasikooe Wala kumuuliza swali Ina walakini. Hata akikwapua mabilioni mtalazimika kumpigia makofi..anaweza akaenda benki na begi na akamuamuru meneja jaza Hela humu !! Na meneja akazishindilia kabisa. Serikali...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naogopa sana jinsi wapumbavu walivyo wengi. Kuna siku watatuchagulia Rais

    Ujinga, uzoba, uzumbukuku na upumbavu vinaongezeka kwa kasi sana nchi hii. Matatizo haya manne yameathiri watu wengi sana bila kujali elimu zao, nafasi zao au vipato vyao. Kwa ongezeko hili na namna mambo ya kijinga yanavyoungwa mkono nchini basi tutarajie kuchaguliwa rais na mazoba...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani nchi tajiri ,lakini sensa yao inasema kuna masikini milioni 48!

    Marekani ni nchi tajiri na yenye maguvu. Lakini sensa yao iliyoendeshwa na Idara ya Cencus Bureu(kama sensa yetu) imeonyesha kuwa hii nchi ya watu karibia milioni 330, ina watu masikini kabisa kufikia milioni 48. Na kwa Marekani ukiwa masikini basi heri ya Tanzania. Masikini wa Marekani...
  12. JamiiForums Tanzania Gap la kukosekana Walimu wengi kwenye zoezi la sensa limeonekana, Serikali mjifunze speed ndogo

    Maeneo mengi walimu walikatwa kwa kigezo kipaumbele kwa watu wasio na ajira sawa ila wakasahau uzoefu katika jambo ni muhimu sana hususani kwenye vitu nyeti kama hivi. Mwalimu ana uzoefu wakurahisisha jambo anajua mbinu zipi zinamuwezesha kufikia lengo site mashahidi hawa makalani wanatumia saa...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania tutakuwa wengi kwa kuhesabiwa kimakosa

    Leo ni siku ya Sensa. Hata hivyo mpaka kunakucha leo bado sikuwa na taarifa sahihi za sensa. Sikujua leo nisitoke nyumbani au nikitoka niache nini na nini. Tabia yangu huwa sifungui tv wala redio nyumbani na kwenye simu siangalii sana ujumbe mpaka nione ni wa kampuni za simu wenye neno pesa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini matapekli wengi wanatumia namba za TTCL na kwanini wanaotumiwa SMS za kitapeli wengi ni wateja wa TTCL?Sababu ni hizi hapa

    Kwanini matapekli wengi wanatumia namba za TTCL na kwanini wanaotumiwa SMS za kitapeli wengi ni wateja wa TTCL? Sababu ni hizi hapa 1. Watu wa kwanza kulaumiwa ni HUDUMA YA WATEJA wa ofisin za TTCL. Hawa wanasajili laini zetu na ndio wanakutana na matapeli kisha wanatuuza, Mfano ni huu Mimi...
  15. JamiiForums Tanzania Kujiona mtoto mdogo kumewafelisha wengi

    KUJIONA MTOTO MDOGO KUMEWAFELISHA WENGI! Anaandika, Robert Heriel. Yule Shahidi. Aliyekuambia miaka 20 ni mtoto ni Nani? Wakati kuna wenzako wamekuwa Wafalme, Marais, Mawaziri, na wapo wenye Wake na Watoto katika umri huohuo! Kuna kundi kubwa la watu lime-Relax kabisa Kwa kisingizio kuwa bado...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu anajua kusoma Quran ila lugha ya kiarabu haijui?

    Naomba kueleweshwa, binafsi huwa naona Quran ni maandishi ya kiarabu. Sasa kuna maustadhi kama wanne hivi kwa nyakati tofauti nimewahi kuwapa gazeti lenye maandishi ya Kiarabu wanisomee na kunitafsiria ila cha ajabu wameshindwa. Je, kuna tofauti ya lugha iliyotumika kuandika Quran na lugha ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mrejesho wa tangazo la kuhitaji vijana wa kazi nimeamini vijana wengi waliopo JF hawajui umuhimu wa Jamii Forums

    Nikili yakuwa lile tangazo nililoliweka jukwaa ili limenipatia picha Kamili ya vijana waliomo humu wengi yakuwa hawajui maana ya matumizi ya mitandao. Nitaeleza vyema naomba mnielewe na msome andiko hili na mwelewe vyema sio Kila mtu anae weka tangazo humu anakuwa anataka akuchunguze na kukujua...
  18. JamiiForums Tanzania Tukubali mvinyo kwa wachache au maji kwa wengi?

    TUKUBALI MVINYO KWA WACHACHE AU MAJI KWA WENGI!? Leo 14:40hrs 20/08/2022 Wanachama wenzangu wa CCM na wadogo zangu wa Uvccm tukiwa busy kupongeza muda wote kwa kufanya matukio ya hamasa huku mitaani kuna kizazi kilichopevuka kinachohoji mambo ya msingi ambayo sisi hatuyaoni au tunayaletea...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanapoteza wanaume wa kuwaoa kwa sababu hii

    Habari wakuu! Kwanza nakiri kuwa mapenzi hayana mtaalamu ila lazima tubadilishane udhoefu ilitujiimarishe zaidi na haya mambo kwa sababu mapenzi ndio maisha yenyewe,kipindi natafuta mke wa kuoa nilipata tabu sana kwa sababu nilikuwa sijui kuwa wanawake wengi wana ugonjwa huu wa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Wananchi wengi wanaunga mkono tozo, maneno ya maadui na vibaraka wa mabeberu yapuuzwe

    Baada ya kuona nchi inapiga hatua kwa kasi chini ya Rais mpendwa wa awamu ya sita, madaui wa taifa kupitia vibaraka wao wameibuka kwa kasi sana Mama hata halali kabisa akiwaza jinsi ya kuwaletea maendeleo hili lilithibitishwa na Gerson Msigwa lakini bado kuna wajinga wanalalamika tu Tozo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…