wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Raila Odinga anawezaje kupata wafuasi wengi hivi Kenya? Amewaloga Wakenya na uchawi gani?

    Wakuu kwema? Habari hapo kwa majirani ni mzee Odinga anadai alishinda uchaguzi na anasema ataitisha maandamano makubwa ya kwenda kumtoa Ruto Ikulu Uchaguzi ulikuwa wa wazi na matokeo yote yaliyotoka vituoni na kusainiwa na mawakala wa pande zote yote yalikuwa uploaded online Na kama kuna wizi...
  2. JamiiForums Tanzania Mjadala: Zipi Faida au Hasara za kuzaa watoto wengi?

    Faida ni ipi na hasara ni ipi? Karibu kwa mjadala kwa ajili ya kuwasaidia vijana wanaotegemea kujenga familia.
  3. JamiiForums Tanzania WanaJamiiForums msiwe kama watu wa Twitter, wengi ni wajinga

    Ukichunguza sana watu wengi wanaotumia mtandao wa Twitter wengi ni wajinga tena sana. Kujifanya mjuaji ni moja ya sifa ya kuwa wewe ni mjinga. Sasa naona na huku JamiiForums kuna watu wanajifanya wajuaji na kuleta mambo ya Twitter kuyaleta huku please tuko uku kwa lengo moja kupata elimu sio...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Tuache kudanganyana, Ajira zina afadhali zaidi kuliko kujiajiri, watu wengi waliojiajiri ndio wapo kwenye utumwa

    Najua kwa haraka haraka mtafikiria kunijibu kwamba "Mwajiri hawezi fikia mafanikio ya Mo ai Bakhresa" ....vuta pumzi tulia!! Hao kina Mo watoe akilini mwako maana wapo kundi tofauti kabisa ni wafanyabiashara waliofikia mafanikio ya biashara zao kujiendesha hata wakiwa wamelala. Mtu mwenye ajira...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi dini ya kiyahudi (Judaism) inaruhusu kuoa wake wengi?

    Wakuu hii dini ya wayahudi inaruhusu kuoa wake wengi?
  6. JamiiForums Tanzania Kosa hili la Kiroho limewafanya wakristo wengi kuishi maisha magumu

    Habari, Ukisikiliza nyimbo nyingi za Injili, ukisikiliza maombi ya wakristo wengi au ukisikiliza ibada za shukrani hukosi kusikia neno "Sikustahili." Mtu kapata division one anatoa sadaka huku akilia anasema hakustahili, akiolewa, akioa, akinunua hata pikipiki au gari used mtu husema...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wenye pesa hawadumu kwenye ndoa? Wengi wao ni single mothers

    Habari wanajukwaa, Moja kwa moja kwenye mada. Wanawake wenye mafanikio kiuchumi huwa hawadumu kwenye ndoa na wengine huwa hawaolewi kabisa japo wanapenda kudate na wanaume (vijana) wasio na pesa nyingi wakiwahudumia kwa kila kitu na wakizingua wanawatimua. Hasa watumishi ndiyo wanaongoza kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Waajiriwa wengi ni wapigaji

    Ukweli usemwe. Kila ninachosema nina ushaidi nacho kwenye familia kuna watu wamejiajiri na wengine wameajiriwa. Siku nikamcheki aliyeajiriwa ili anikopeshe kiasi fulani akaanza kunambia mambo magumu labda ngoja mwisho wa mwezi sema na hapo mademu mengi. Dukani wananidai kama 100k kwa daah...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sababu gani watumishi wengi hutaka mabosi wanaume maeneo ya kazi?

    Naomba tujadili hii mada. Ni kwasababu gani watumishi wengi hupenda kuongozwa na mabosi wanaume kuliko mabosi wanawake katika maeneo ya kazi?
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Askari Magereza wengi wanaishi maisha magumu?

    Jeshi la Magereza ni kama limesahaulika hivi au ndio mimi sijui? Askari magereza wengi hasa wa vyeo vya chini maisha yao ni duni sana kwanzia kazini mpaka huku uraiani tunapoishi nao. Kwanza wengi wao uniform zao ni zimechakaa na kupauka tofauti sana na majeshi mengine. Pili makazi yao duni...
  11. JamiiForums Tanzania Utafiti waonesha Wanaume Wengi Wasio na Kisomo Wanamiliki Nyumba Kuliko Waliohitimu

    Utafiti wa KNBS umeonesha kua asilimia 46.7 ya wanaume ambao wana nyumba hawana ELIMU rasmi, ikilinganishwa na asilimia 32.2 ambao wamepita shule ya upili..... Kulingana na utafiti huo Hilo linatokana na kwamba wasomi wengi huishia mijini kusaka ajira na kuishi nyumba za kupanga huku wenzao...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Haka 'Kakirusi' naona kameshaanza kukubalika ndani ya Watanzania wengi

    1. Ili upate Ajira Serikalini Kipaumbele uwe mwana CCM. 2. Ili upate Uteuzi wa Kiutendaji (katika Mashirika) lazima uwe mwana CCM. 3. Mkiwa Vyuo Vikuu pakitokea tatizo kuhusu Pesa za Bodi ya Mikopo mkisema tu nyie pia ni wana CCM mnashughulikiwa haraka. 4. Ili upate Ajira TISS (narudia tena...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaojifanya wanaikubali ndoa wengi wao ni Makatili na watesaji Wakuu

    WANAOJIFANYA WANAIKUBALI NDOA WENGI WAO NI MAKATILI NA WATESAJI WAKUU. Anaandika, Robert Heriel. Kuhani. Ndoa ni nzuri. Ndoa ni tamu Sana. Ndoa inahitaji upendo wa kweli, sio huu upendo wa kinafiki nafiki. Pamoja na uzuri WA ndoa lakini ndoa sio lazima ikiwa hakuna Upendo WA kweli. Mambo ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Watanzania wengi ni wajinga sana, wanaomshauri Rais hawana uelewa wa kutosha

    Duh === "Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanapenda taarabu

    Hellow Kataa kubali wanaume wengi wanapenda taarabu sema kwasababu tu ya jamii ilivyo mjengea mwanaume kuishi ndiyo ina mpa shida kushow love kwenye mziki huu. Na hili nimeliona kwenye sauti za busara wanaume tulikuwa wengi sana kuliko kawaida. Na hata Dogo Janja juzi kapost kwenye wasp...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Waafrika wengi zaidi waanza kujifunza Kichina

    Lugha ni moja ya vyanzo vikuu vya mawasiliano kati ya watu wa tamaduni tofauti, na ufahamu wa lugha unasaidia katika mawasiliano kati ya pande husika. China ni nchi ambayo imejikita katika uwekezaji katika nchi za nje, na hivyo ufahamu wa lugha hiyo ni moja ya vyanzo vya ajira katika nchi...
  17. JamiiForums Tanzania Matamanio ya wengi

    Ndugu ujambo Humu ndani kila mtu amejiunga akiwa na lengo lake, wapo waliojiunga na malengo yao yakatimia na wapo ambao wamejiunga hayajatimia bado lengo lao. Kundi la kwaza ni wale waliojiunga kwa lengo la kupata kazi kutokana na shuhuda za watu mbalimbali ambao walipata michongo kupitia JF...
  18. JamiiForums Tanzania Nilichogundua Tanzania Kuna watu wajinga wengi ndo maendeleo ni duni Sana

    Mfano unakuta Mtu kaajiriwa analipwa 600k Anafanya Kazi 8--9 hours Anamiliki nyumba vyumba 3 na choo cha nje Ana Ist used ya Mwaka 2005 Kaoa ana watoto 2 au 3 Basi utaanshangaa huyu Mtu akimcheka Kijana bodaboda Ambaye Hana nyumba Wala gari Ambaye hajaoa Sasa huyu kijana bodaboda hutumia...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wanatumia muda mwingi kufuatilia mafao yao kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii?

    - Tanzania kuna mifuko ya hifazi ya Jamii miwili:- 1. NSSF ( huu nikwa wafanyakazi wa sekta binafsi na sekta zisizo rasmi ) 2. PSSSF ( huu nikwa wafanyakazi walio ajiriwa na serikali pekee ) Mafao ni haki ya kila mwanachama wa mfuko, pindi anapo pata Janga la aina yoyote mfano uzee, kukosa...
  20. JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Vijana wengi wanapoteza muda Dar es Salaam

    Nipo Dar es Salaam ni wiki ya pili sasa toka nimetoka Dodoma kuja huku Dar es Salaam kushughulikia mambo yangu ya kikazi. Nimefuatilia na kuchunguza kusema ukweli vijana wengi wanapoteza muda, vibarua wanavyofanya wanaishia kulipwa 4,500 mpaka 7,000 na hapo ale chakula avae apendeze na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…