wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nilichogundua, waimbaji wengi wa injili wa sasa hawana Yesu, ni biashara zaidi

    Baada ya sekeseke la waimbaji wengi wa Injili hususani wa kike kuharibu ndoa zao, watu wengi wamehoji nini chanzo cha hayo yote. Ukweli ambao hausemwi na labda haujulikani ni kuwa, wengi wa waimbaji wa injili hawana maisha ya Yesu ndani yao, wapo waliowahi kuwa na Yesu hapo kabla lakini...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Lissu apunguze hasira na malipizi, atapendwa na wengi

    Nimekuwa nikifuatilia hotuba za Lissu kwenye ziara zake. Kwanza nilichobaini ni uwepo wa siasa za kukigawa chama na nchi kwa ujumla. Lakini pia hasira na mihemko kwenye kauli zake apunguze na atangulize uzalendo, hekima na busara. Siyo kila kitu ni cha kuwajibu CCM hata kunyamaza ni hekima na...
  3. JamiiForums Tanzania Nikiambiwa huyu ndiyo Profesa hasa ambaye sina Shaka nae na hata Kichwani yuko vizuri nitakubali kwa 100%, kuliko Maprofesa wengi Uchwara tulionao

    Mtaalamu na mbobezi wa masuala ya sheria, Profesa Abdallah Safari amefichua siri ya kujiweka kando na shughuli za kisiasa badala yake ameamua kukitumia ipasavyo kipawa chake cha utunzi wa vitabu. Profesa Safari aliyewahi kuwa kada na mshauri wa masuala muhimu ya kisheria wa Chama cha Wananchi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nchi inahitaji mawakili wengi kama Kibatala

    Wakuu neno ukiukwaji wa haki unaweza kulichukulia kirahisi kama haijakutokea wewe. Ila ni kitu kinachoweza kukuvuruga mno kikitokea. Hayati Lowassa ni miongoni wanajua ladha ya hilo neno kwa vitendo baada ya tukio la kukatwa jina lake mwaka 2015. Ingawa sidhani kabla ya hapo kama alikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mbona wengi wanapenda kutuma salamu recently?

    Nini kimebadilika hapo nyuma ilikuwa lazima utumie ushawishi mkubwa kumfanya mtoto wa mtu ashike mic nakuanza kutuma salama ulikuwa ni mtiti tena hata akituma salamu basi atakosea jinsi ya kuongea kwenye mic. Hivi sasa ile umezubaa tu mtu kashadaka mic nakuanza kutuma salamu watoto uoga wa...
  6. JamiiForums Tanzania Wadada wengi wanajiuza kijanja janja

    TUNA CHANGAMOTO KUBWA SANA YA MABINT WANAJIUZA KIJANJA JANJA Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA Baada ya kupitia changamoto za kutengana na aliyekuwa mke wangu, nilianza heka heka za kutafuta replacement yake, hapo ndipo nilipokutana na masarakasi ya kunifanya kujifunza kwamba dunia...
  7. JamiiForums Tanzania Polisi wengi wana utu kuliko raia wengi wanavyowachukulia

    Siikatai kuwa kuna Askari Polisi wasio waadilifu! Karibia kila taaluma kuna watu wasiozingatia maadili ya kazi/taaluma zao Kule nchini Marekani, Polisi mmoja alibaini kuwa leseni ya udereva wa kijana aliyemsimamisha ilikuwa imeisha wakati wake. Alipomwuliza sababu za kuendesha gari huku leseni...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini wachina wamekuwa wengi sana?

    Nilizoea kuwaona wachina Dar es Salaam tu lakini nimeshangaa kuwakuta wachina hadi huko Kigoma vijijini, mwanzo nilidhani labda ni wakandarasi kwenye miradi ya barabara, lakini hapana, unawakuta wapo barabarani wanazurura, nilishangaa mpaka wanauza vyombo, yaani wanakodi gari na kuanza kukopesha...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna video inasambaa mitandaoni, kiingereza kwa Watanzania wengi ni shida sana!!

    Mdada ni Mnigeria ana pikipiki zile za masafa marefu, yupo mpakani kasimamishwa na wana mamlaka wetu. Wakaanza kuongea nae kiingereza, aibu nimeona mimi. Mdada ana camera kaifunga nadhani kwenye pikipiki so alikuwa anarekodi matukio na kuyapost mtandaoni. Tusomeshe watoto jamani dunia ya sasa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania, wachekeshaji wengi wameenda shule kuliko waimbaji na waigizaji

    Ukiachana na 'wadudu', wachekeshaji wengi wameenda shule. Hii tasnia imeonekana kustawi vema miaka ya hivi karibuni. Ni katika kutelekeza kaulimbiu ya Serikali yetu ya kuwataka wasomi wajiajiri. Wasomi wetu baada ya kukosa michongo ya maana wameangukia kwenye vichekesho, wengine wakienda...
  11. JamiiForums Tanzania Anayofanya Christina Shusho ni matokeo ya Wanaume wengi kuoa Wanawake Watumwa wasio huru. Siku wakipata Uhuru wao hayo ndio hutokeaga

    ANAYOFANYA CHRISTINA SHUSHO NI MATOKEO YA WANAUME WENGI KUOA WANAWAKE WATUMWA "WASIOHURU. SIKU WAKIPATA UHURU WAO HAYO NDIO HUTOKEAGA. Anaandika Robert Heriel Mtibeli Huwezi mfanya Mwanamke mtumwa alafu ukamuita Mkeo. Unajua Watu wengi wamechukua wanawake na kuwageuza watumwa wa kingono na...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi kwa kujua au kutokujua hujikuta wakifanya vitimbi kwa wenza wao kwa njia zifuatazo

    1.KUPIMA UWEZO WA MWANAUME KUJIAMINI (confidence test) Mwanamke yeyote hupenda kupima uwezo wa kujiamini wa mwanaume wake. Njia wanazotumia kufanikisha hilo sasa hutegemea makuzi na malezi yake, wengi wao hutumia kumdhalilisha mwanaume hadharani, kumfokea, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna shida gani? Vijana wengi wanaohitimu wa kozi ya IT hawawezi kutengeneza website

    Mimi naishi mkoani ni changamoto sana kupata developer sasa nilikuwa na kazi yangu nataka developer aifanye nimekutana na madogo kama watano hapa wamesomea kozi hiyo ya IT Kuna kazi nilikuwa nataka niwape wafanye lakini naona wameshindwa walikimbia kuifanya Kazi yangu Ahadi nyingi nitafanya...
  14. JamiiForums Tanzania Watu wengi hawajui kuwa mitishamba inaharibu ini na figol

    Watu wengi wamekulia katika jamii ambazo wanaoamini dawa za mitoshamba hazina madhara na kuwa unaweza kutumia tu kiholela holela hata Kama huna ujuzi nao. Ukweli Ni kuwa mitoshamba Kama isipotumika kwa umakini na kizingatia kipimo stahiki ukawa unabugia tu unaharibu Figo. Utakuta MTU...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanaokuacha kwenye Mahusiano, wengi wao walishapanga hivyo hata kabla ya kufanya kosa hilo…

    Wanaokuacha kwenye mahusiano wengi walipanga hivyo hata kabla ya hilo kosa wamelotumia kama sababu Mara nyingi anayeachwa anakuwa na msongo wa mawazo na kujiona asiye faa kwenye hii Dunia na wengine huenda mbali mpaka kujiona wasio na thamani yoyote, je nawe umewahi kuwa hivyo baada ya kuachwa...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi wauza nafaka wote hapa Dar ni kweli wote huagiza nafaka mikoani au wengi wao hununua tu kwa wauzaji wakubwa wa jumla?

    Habari wana jf natumai wote mko poa Hii habari inanishangaza kila kila ninapoenda kununa labda mchele au maharage kila mfanyabiashar nikimuuliza hizi unachukulia wapi huwa wananiambia wanachukulia mikoani afu ukute ana gunia tano tu au kumi Nimezunguka maduka mengi ila wengi wao wananiambia tu...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara takribani 80% wana dini za kuzuga tu, wengi huenda kwa waganga kwa kuamini ndio sehemu sahihi kutatua matatizo

    Hasa wenye makabila ya asili ya Tanzania Biashara inaenda vizuri bila tatizo mfanyabiashara anaona haitoshi yafaa kuiwekea ulinzi, anamtafuta mganga kufanya zindiko. Biashara ikianza kufeli huamini kuna mtu kaingilia kishirikina, suluhisho ni kwenda kwa mganga Biashara ikiwa na wateja...
  18. JamiiForums Tanzania Bidhaa za kijani za China zata wateja wengi wa nchi za nje katika Maonesho ya Canton

    “Wafanyabiashara wanashughulika na biashara, huku wanasiasa wakishughulika na siasa.” Katika Maonyesho ya 135 ya Canton, yaliyofunguliwa wiki hii, mwagizaji wa Marekani Steven Selikoff alipozungumzia kauli ya Waziri wa Fedha wa Marekani Janet Yellen ambaye amemaliza ziara yake nchini China hivi...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

    Habarini, Juzi kati nlitafakari kwanini utakuta binti mzuri tu mashallah, she is young, pretty, hana mtoto, unamfata unamtongoza anakukataa, unakubali maamuzi yake kiroho safi unaendelea na mishe zako. Hee baadae unakuja sikia mtoto wake wa kwanza kazaa na mume wa mtu mwenye familia yake, au...
  20. JamiiForums Tanzania RIP Gadner G. Habash, ila wengi waliokuja kwenye msiba wako hawakuja kuomboleza, walikuja kutikisa ili wa-trend

    Nimefuatilia Msiba wa huyu Jamaa, Mtangazaji wa Clouds aliyetutoka juzi na kuagwa leo Leaders Club, Leo ndio nimewajua wabongo wanaojiita watu maarufu, yaani kichefuchefu kuliko kichefuchefu cha Waja wazito. Kila anayekuja anataka watu waache kulia ili wamtazame yeye kwanza , yaani wanajitanua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…