wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Serikali isiishie kwa Kiboko ya Wachawi, kuna matapeli wengi sana kwenye uwanja wa dini Tanzania

    Zipo ishara nyingi za kumjua mtumishi tapeli. Leo nitaitoa ishara moja tu. 1.Kupenda pesa kuliko Mungu anayemhubiri. Mtumishi tapeli ni mtu anayepanda sana pesa kuliko kitu chochote. Utajuaje kuwa mtumishi huyu anapenda sana pesa? Jibu: Accounts zote za benki zinasoma jina lake, accounts za...
  2. Gari hizi zina matatizo gani? Watu wengi wanazikataa

  3. E

    Computer Science inaongoza kutoa wadau wengi waliofanikiwa duniani

    Orodha ya Watu Waliosoma Computer Science na Wamefanikiwa 1. Elon Musk - Mwanzilishi wa SpaceX na Tesla(Japo alisoma physics na economics lakini Computer science imemtoa) 2. Mark Zuckerberg - Mwanzilishi wa Facebook (Meta). 3. Bill Gates - Mwanzilishi wa Microsoft. 4. Larry Page - Mwanzilishi...
  4. N

    Watanzania wengi sio watanashati

    Watanzania wengi hawana utanashati. Wengi wao wanavaa nguo bila kunyoosha pasi. Nguo inatolewa kwenye kamba inavaliwa ivo ivo unakuta mtu anavaa nguo imejikunja mpaka unajiuliza huyu nyumbani kwake ata kioo hana hakujiangalia wakati anatoka? Nguo utfikiri imetoka kwenye tumbo la ng'ombe...
  5. G

    kadri umri unavyozi kuenda utachepuka na wake za watu. Ni ngumu kuwa 40+ na kuchepuka na vibinti vyenye 20s na wengi wenye 30+ ni wake za watu

    Ni kawaida kwa kijana mwenye 20s hadi 30s kuchepuka na mabinti wenye 20s, hata wakiwa out watu huwachukulia kawaida, gepu la rika halistui. Ishu inaanza ukifika 40+, wanawake ambao ni feasible kuwa approach ni wale kwenye 30s na ratio yao kubwa ni wake za watu aidha wapo kwenye ndoa active ama...
  6. Mambo yanayochangia kuharibu maisha ya vijana wengi

    Kizazi hiki kinakutana na changamoto nyingi lakini yafuatayo ni mambo machache yanayoharibu maisha ya vijana wengi hapa nchini °Ulevi wa pombe °Uvutaji sigara, bange na dawa za kulevya °Ngono zembe na umalaya wa kumiliki wanawake wengi °Kamari na betting °Ushabiki wa mipira simba na yanga...
  7. Azam kuna magarasa mengi msimu huu, Feitoto anafanya kazi zote uwanjani kama house boy

    Naomba niseme mapema kabisa kabla Azam hawajaanza kucheza mechi za NBCPL. Nimetizama mechi nne za azam za msimu huu, kuna kitu nimekiona ambacho wengi hamjakiona mbaya zaidi mnasifu eti azam inakikosi kizuri, kwa maoni yangu azam ya msimu huu ni mbovu kuliko ya msimu uliopita. Beki wa kushoto...
  8. B

    Yawezekana wanaocha dawa wakiamini watapona baada ya kuombewa na Mwamposa wengi sana wakawa wanafariki pasipo kujulikana

    Iko hivi kuna watu wengi Sana,wameamua kuachana na doze za dawa wanazotumia wakiwa na imani kwamba, wamepona baada ya kuombewa na Mwamposa na baadhi ya wachungaji wa amakanisa ya kilokole Hivi inaingia akilini mgonjwa anayetumia dawa za kufubaza virusi vya ukimwi apone kwa kuombewa tu, au...
  9. G

    Nguvu ya wachache walioweza kufanikiwa sehemu ngumu inafanya wengi wawe masikini, epuka huo mkumbo !! fanya kitu cha uhakika vingine weka plan b

    Bakhresa, GSM, Mo Dewji na wafanyabiashara wachache hapa Tanzania wamechana msamba, ni ndoto za abunuwasi kudhani unaweza fika hapo kwa kuacha kitu cha uhakika unachoweza fanya bila backup plan, connections, resources, n.k. utashangaa mtu anaacha kazi na hajawahi kufanya biashara eti hakuna...
  10. Makosa ambayo wanaume tunakatazwa kuyafanya kwa wanawake wetu na kutugharimu

    Kosa kubwa utakalofanya mwanaume kwenye mahusiano yoyote na mwanamke katika mapenzi 1.Kufanya kila njia hili kutimiza mahitaji yake na shida zake 2.Kusema ndio kwa kila kitu anachokihitaji. 3.Kumfanya kama nguzo yako katika mahusiano yenu 4.Kumuonesha kuwa unaogopa kumpoteza kwenye maisha...
  11. M

    Nini sababu ya Matajiri wengi kutokuwa wakweli juu ya utajiri wao?

    Wasalam wakuu, Imekuwa ni jambo la kawaida matajiri wakihojiwa kuhusu utajiri wao utasikia anasema nilianza na baiskeli sasa namiliki kampuni kubwa ya mabasi. Mwingine atasema nilianza mama ntilie leo namiliki hoteli kadhaa mjini, mwingine anasema nilianza kushona viatu ila sasa na miliki...
  12. Mambo ambayo watanzania wengi mpaka wasomi wanayaongea kana kwamba wana ushahidi nayo kwa 100% wakati huenda sio kweli hata kidogo..

    Ukikuta Watanzania wanaongea mambo fulani unaweza kufikiri walikuwa mashahidi wa mambo hayo kwamba waliona tukio zima lakini kumbe ni uzushi. Kinachosikitisha ilibidi mambo hayo wayaamini watu wasio na elimu yoyote cha ajabu unakuta mpaka msomi anasimulia bila haya mbele za watu. 1. Diamond na...
  13. Huduma benki ya CRDB ni mbovu sana

    Sijajua kama wao wanajua mteja ni mfalme. Ni sawa CRDB wanataka kwenda kidijitali lakini hawaendani na service ku satisfy customer. Haiwezekani mteja anataka kufanya transaction kwa Simbaking lakini anachukua zaidi ya saa 3 kukamilisha huduma. Hivi hii huduma inarahisha au inachelewesha...
  14. Kwa nini iringa mjini pamoja na kuwa na baridi kali nyakati za usiku lakini kuna mbu wengi?

    Wakuu Ni siku ya tatu leo niko iringa mjini..ebana huu mji una mbu wengi tofauti na nilivyodhania. Hapa nilipo ni baridi lkn kuna mbu sio poa.. Nauliza ni sehemu zote hapa iringa mjini kuna mbu hivi au ni hii sehemu niliyofikia tu mimi?
  15. Kwanini Watu Wanatekwa, wanauwawa,Watu wengi wapo kimyaa?

    Tunasubiri nani atekwe ndio tuelewe hatuko salama Tanzania? Kwanini tumekuwa wanyama kiasi hiki? Kwanini hoja zinajibiwa Kwa risasi? Elimu zetu na zikoje mpaka watu wanashindwa kujibu Kwa hoja ? wanatumia usaidizi wa jeshi, usalama n.k Upande wako Msomaji unataka nani asimame atetee uhai wa...
  16. Kwanini watu wengi hawajui chochote kuhusu taifa la Israel, part 2

    Habari zenu waungwana, nadhani siku si nyingi nilipandisha uzi wenye heading ya WATU WENGI HAWAJUI CHOCHOTE KUHUSU TAIFA LA ISRAEL then kukawa na maneno mengi sana hapa, lakini nilihadi nitarudi na sasa nimerudi kutetea hoja yangu. Kwa uchunguzi wangu mdogo tu tena kupitia hili jukwaa niliweza...
  17. A

    DOKEZO Dotto Magari atasababisha watoto wengi kukataa shule

    Habarini za asubuhi. Kama mdau wa elimu sipendezwi na hawa watengeneza maudhui wa mtandaoni ambao wamekua wakikashifu wasomi na elimu kwa ujumla. 1. Ni ukweli usiopingika kwamba wasanii wengi imeonekana wamefanikiwa kuliko wasomi walio wengi lakini haimaanishi elimu haina umuhimu kwa kizazi...
  18. Kwanini wazee wa zamani waliweza kuishi na ndugu wengi nyumbani, lakini kizazi hiki ni ngumu kuishi na ndugu?

    Nimefikiria sana mpaka nimekosea majibu, tulizaliwa watoto saba nyumbani, na ndugu waliokuja kuishi nyumbani kipindi tunakua wanafika 6, hao waliosomeshwa na mzee, japo wengine walikua wanakuja na kuondoka, mabinti wengine walikua wanakuja kujifunza cherehani na kuondoka, na sio kwamba mzee...
  19. Mkikutana na mpenzi wako mkafanya ngono bila kupeana chochote na wote mkatoka mmefurahi hilo ni penzi, kama mmoja akikasirika hapo hamna penzi

    KAHABA ni mtu ambaye anafanya ukahaba. UKAHABA ni kitendo cha mtu kufanya ngono ili apate malipo. Wapenzi watapendana tu bila sababu yoyote , wapenzi watapeana pesa na vitu vingine. Wapenzi hawapo kama kiatu na rami, maana kiatu mara zote ndio kinaliwa. Wapenzi watakutana mahali popote, wakiamua...
  20. Wanawake wengi wanaojivunia Uzuri wa Makalio wamejisahau kwenye Usafi wa Mwili: Wazingatie Manukato baada ya kuoga

    Sina mengi sana ile wenye wapenzi vibonge tunapata hio kero ya kujirudia miongoni mwa vibonge ambao ni wapenzi wetu. Vibonge ukiona mwanaume hakutafuti mara kwa mara jiulize kama sio shoo mbovu basi ujue umekosa maksi kwenye Usafi wa mwili. Zama hizi sabuni nzuri zipi na perfume nzuri zipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…