wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Huu ndio mswaki unaotumika sana hapa Tanzania na Watanzania wengi

    Mswaki uhu wengi wanautumia sana na ili waache kutumia bas labda waone mtoto anauchezea chini au umeangukia chooni vinginevyo utatumika mpaka ulie up one kushoto 🤣🤣 au aende safari af awe amehusahau atanunua mwingine kama uhu uhu ni jero tu wanauza.
  2. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi wengi wanawachukia wabunge hivi?

    Baada ya kusoma maoni ya baadhi ya wenzetu humu ilipotangazwa ajali ya gari iliyowahusisha wabunge, nimepigwa butwaa na kuibua maswali. Mosi, kwanini wabunge wanachukiwa hivi? Pili, wafanye nini hii chuki iondoke? Tatu, wamepokeaje, kama wamepokea mwitikio huu? Nne, chama chao nacho...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina wawekezaji wababaishaji wengi

    Tanzania ni nchi ambayo mtu analeta mashite za kubeti anaitwa mwekezaji wakati kazi yake ni kwenda vijijini kuchukuwa pesa ! Kuna wachina wanamachine za ku bet wanaitwa wawekezaji https://youtu.be/fzFNcqqzYrw?si=ac9WcSSGnSjgmLCM
  4. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kwanini timu za EPL zina majeruhi wengi kuliko timu za Ligi kuu Tanzania. Je, Wachezaji wetu wamekomaa au hawajitumi?

    Tottenham,Man City,Arsenal zina majeruhi zaidi ya 10. Huku timu zetu wachezaji wote wako fit despite hawapitii vipimo vya afya vile inavyotakiwa. Je wachezaji wetu hawajitumi au wamekomaa?
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasanii wengi hupenda kukaa nusu utupu?

    Kukaa uchi au nusu utupu katika tasnia ya burudani umekuwa suala la kawaida, hasa miongoni mwa wasanii wa muziki na filamu. Mara nyingi, tunaona picha na video zao wakiwa uchi au wamevaa nguo chache. Je, ni kwa nini wanafanya hivi? Ni nini kinachowasukuma kuchukua hatua kama hizo? 1...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini baadhi ya Wazazi/Walezi Tanzania ukiuliza umeandika Wosia anaona kama unataka kumuua?

    Wakuu Hivi kwanini Tanzania ukimuuliza Mzazi au Mlezi umeandika Wosia? Anaona kama unataka kumuuwa vile, kumbe ni wajibu wake kuandika ili kuepusha usumbufu na migogoro hapo baadae.
  7. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo ikitoka amri kuingia 2025 uwe na tsh 500,000 wengi tubaki

    Sijui uko wenzwetu uku kwetu mambo yamekuwa magumu balaaa sijui ndio ukiona ugumu kuna neema mbele inakuja.maana hapa ata wakisema kuingia 2025 uwe na laki 2 naona bado kuna kubaki 2924
  8. G

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo wanawake wa kuoa sasa. Wanawake ambao hawajaathiriwa na feminists, wako wengi mikoani

    Nenda vijiji vya mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita, Mbeya, Ruvuma, Rukwa na Katavi utakutana na wanawake waliolelewa na wakaleleka. Kila mwanaume kwao ni kama mfalme. Hawathubutu kamwe, huona soni na hivyo kutoka ndani mioyoni mwao huonesha heshima ya hali ya juu sana kwa kupiga magoti...
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwanini magoli kipa wengi wa Taifa stars hutokea Simba?

    Mara nyingi huwa hivyo kuwa makipa wengi wa Taifa Stars hutokea timu ya Simba ya Dar es salaam. Kitaalam hiyo hutokana na nini?
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu wa Zanzibar tuwe makini, wengi wanatepeliwa kwa kuambiwa wanatafutiwa safari ya nje ya Nchi

    Huku Zanzibar kumeibuka tabia ya Watu ‘kupigwa’ sana pesa kwa kisingizio cha kutafutiwa safari za kwenda nje ya Nchi. Wengi ninaowafahamu waliokutwa na changamoto hiyo wameingizwa mjini kwa kuambiwa wanatafutiwa safari ya kwenda Nchini Canada, wanashawishiwa kuwa watakuwa na maisha mazuri...
  11. Isaka James

    JamiiForums Tanzania Afya ya Akili kwa Wanaume Tanzania: Tunazungumza vya Kutosha?

    Habari ndugu zangu, Afya ya akili ni mada muhimu ambayo mara nyingi haipati uzito unaostahili, hasa inapokuja kwa wanaume hapa Tanzania. Kwa jamii zetu, wanaume mara nyingi wanatarajiwa kuwa "imara" na kutokutoa hisia zao waziwazi. Hili linaweza kusababisha changamoto kubwa za afya ya akili...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Supervisors wa Wanafunzi wa Masters - UDSM ni kero, wanatukwamisha wengi, Uongozi wa Chuo uchukue hatua

    Mimi na wenzangu kadhaa tunaosomea Shahada ya Uzamili (Master of Public Health - MPH) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuna changamoto moja kubwa ambayo imekuwa kero kwa muda mrefu na kuendelea kuifumbia macho itakuwa ni sawa na kuendelea kufuga mtatatizo. Tatizo letu kubwa ni kuhusu...
  13. kimara Kimara

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wengi wakiingia kwenye Ndoa wanapata kitambi?

    Moja kwa moja kwenye mada, kwanini wanaume wengi baada ya kuingia kwenye ndoa tu haipiti muda wanaanza kuota vitambi. Yani kumjua mwanaume kama ameoa ni rahisi sana asilimia kubwa wanakua na vitambi. kwanini inakua hivi, kifanyike nini ili wawe kawaida kama wale ma bachela KATAA NDOA :) .......
  14. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wanaoendeshwa na wake zao hupenda kujionyesha vijogoo wakati ni tetea?

    Wanangu, huwa sipendi kuchangia wala kujadili mambo ya ngono na mambo binafsi. Ila baada ya kusoma nyuzi nyingi za wanaume wanaobemendwa na wake zao wakijifanya vijogoo, nimeamua lau leo niulize. Kuna nyuzi nyingi za kuwakandia na kuwaonyesha wanawake kama viumbe wa ajabu na dhaifu. Nahisi wengi...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Sean Paul imewashtua wengi baada yakusema hamjui Diamond wala Alikiba alipotua Tanzania, ila anatamani kufanya nao kazi

    Wakuu Mwanamuziki maarufu wa dancehall kutoka Jamaica, Sean Paul, aliwasili Tanzania jana (Novemba 29) kwa ajili ya show yake inayotarajiwa kufanyika leo. Katika mahojiano na Bongo 5, alipoulizwa kuhusu Diamond Platnumz, Sean Paul alikiri kwamba hamfahamu msanii huyo lakini yuko tayari kukutana...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani? kati ya kuzaa watoto wachache na utajiri versus kuzaa watoto wengi na umasikini

    Kwenye kundi la kuzaa watoto wengi naomba tuwatoe wazee wetu waliozaliwa 1950's maana wao kulikuwa na mashamba ya kukidhi mahitaji Tujadili kuhusu kizazi cha 1960's-2024's 👉Aslimia kubwa ya wengi wanaomiliki mali wanaishia kuzaa watoto maximum watatu ni u-busy?, uoga wa kuwagombanisha watoto...
  17. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Hapa ndo Prince Dube alianza pata gundu. Kilichowamaliza nguvu wachezaji wengi wa Yanga

    Mademu. Kuna mademu walitumwa na mikia kuharibu wachezaji wetu. Kuwamaliza nguvu. Ndo UBAYA UBWELA ile. Hawa Simba waliamua kutumia hii kauli wao wakisema sisi tulikuwa tunanunua sana wachezaji wao. So wao Wamerudisha ubaya kwa style hii. Kuwaingizia mademu wengi wenye gundu Yanga. Hawa...
  18. Magical power

    JamiiForums Tanzania Sifa za watu wa Blood Group O

    WATU WA BLOOD GROUP O WALIO WENGI Hawa ni watu wenye HASIRA na UBABE sana kwenye maisha yao hawa wwtu WATU WA O Hawa watu nawaita watu hekaheka (masafa) ukikuta O mchovu basi anatakuwa na changamoto za kiafya au KIMAUMBILE. Hawa wengi wana pumzi za PUMA na wana nguvu za Simba. Wao ni wewe...
  19. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Pengine watu wengi hukosa haki zao kwasababu ya changamoto za majina ya NIDA

    📖Mhadhara (68)✍️ Katika mizunguko yangu ya leo tarehe 27/11/2024, majira ya saa 14:20 nilifika kwenye duka la nguo la dada mmoja mwenye umri kati ya miaka 30 - 40. Wakati nachagua nguo dada huyo akiwa na mwenzake walikuwa wanazungumza jambo. Kwenye mazungumzo yao dada mwenye duka anamshauri...
  20. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha viongozi wengi kuendelea kuugulia kisiri na kufia India kinaashiria huduma za afya Tanzania bado ni duni na haziaminiki!

    Ndani ya kipindi cha wiki tatu tu Tanzania tumeshuhudia vifo vya viongozi wawili wa kitaifa wakifariki wakati wakitibiwa kisiri huko India kinaashiria bado huduma zetu za kiafya hapa Tanzania ni duni, mbovu au haziaminiki na watanzania walio wengi wakiwemo viongozi wakubwa wa kitaifa. Taifa...
Back
Top Bottom