Katika jamii nyingi za Kiafrika, ikiwa ni pamoja na Tanzania, kuzaa watoto wengi huonekana kama ishara ya baraka, fahari, na hata ujasiri wa kifamilia. Misemo kama “mtoto ni zawadi ya Mungu” au “familia kubwa ni hazina” husikika kila kona ya mtaa. Lakini katika zama hizi za mabadiliko ya...
Kwanza hakubaliki na kukiwa na tume huru isiyoegemea kwake, atapigwa asubuhi na mapema na wapinzani wake, hana meno kwa mafisadi na wafuja kodi za watanzania na anayoyafanya anayajua mwenyewe na yanamfurahisha yeye pekee, hawezi kudhibiti watekaji wala kukemea uharifu huo
Ni mbinu gani ambayo...
Pamoja na kasoro za hapa na pale ( ambazo si tatizo),kwakuwa hakuna mahali panakosa changamoto, bado CHADEMA ni nyumba bora na salaam zaidi kwa makuzi ya kisiasa na mahali pa kuonesha kwa uhuru vipawa vya uongozi na vipaji vya siasa bila kuingiliwa, kuwekewa mipaka na kupangiwa
Ndio maana cream...
Majuzi niliposikia kuna wasanii wanaojulikana kushambuliwa na vitu mbalimbali jukwaani baada ya kutamka "Mitano tena", na nikakumbuka mada hii aiyoitoa Prof Kabudi kwa vijana pale Nkurumah hall UDSM.
Jee CCM imesubiri hadi wengi ndio mabovu ya nchi ndio yajadiliwe na haya yanatokea?
Jee watawala...
Habari Wakuu.
Nauliza kwa nia njema, kwa heshima na kwa kutambua ugumu wa majukumu ya uongozi,
Kwanini viongozi wengi hawajibu SMS za watu?
Sijafika kulalamika, bali nataka kuelewa. Mara kadhaa nimejaribu kutuma ujumbe kwa kiongozi fulani sio wa matusi, sio wa kutaka fadhila, bali ujumbe wa...
Hizi ndio sababu kwanini watu wengi wanaogopa kujenga gorofa
Watu wengi wanaogopa ujenzi wa gorofa kwa sababu ya hofu ya gharama kubwa na kutokuwa na uhakika wa ubora wa ujenzi. Wengine wanangoja kuwa na pesa za kutosha kabla ya kuanza, na hii inaweza kupelekea kuchelewesha mipango yao ya...
Unachokifuatilia muda mrefu ndicho kinajenga ufahamu na mipaka yako kiakilini.
Acha kufuatilia mambo madogomadogo, mambo ya manenomaneno yasiyo na vitendo. Unanyong'onyesha Ubongo wako.
Mfano;
Jamaa kapata milioni 300 lakini anafikiria kwenda kufungua mpesa au kufuga tung'ombe kwenye robo...
2025 kama naona ndio ajira zinaelekea mwishoni nchi nyingi sana na afrika.
Sasa hakuna ulazima wa kuendesha magari wakati magari yana jiendesha.
Uwezi kuajiri wafanyakazi wengi wakati kuna mashine zinazoweza kufanya kazi zaidi ya wafanyakazi.
Jeshini na polisi nako naona marobot yanaanza...
Watu wengi wanaogopa kile kisichojulikana kwa sababu kuu tatu za msingi:
1. Akili hupenda uhakika
Akili ya mwanadamu imeundwa kutafuta usalama na utulivu. Haijisikii salama inapokutana na kitu ambacho haijakielewa au haijakikadiria. Kitu kisichojulikana kinawakilisha hatari inayoweza kutokea...
Mzuka wana jamvi ??
Nashangaa sana chuki zimekuwa nyingi kwa Kamanda Rais wa Burkinafaso Captain Ibrahim Traore kutoka kwa Pro_West maarufu humu jukwaani tena chuki za kipuuzi sana.
Tukianza na Hawa ;
Yoda ; huyu ni chawa mkubwa wa Marekani na matendo yake ameshika usukani kwa vinyuzi yake...
Wakuu habari!
Wanaume siku zote kazi yetu ni kutafuta pesa, kutatua changamoto na kuhudumia familia
Ikitokea mtu anataka sex ya haraka basi wanawake wenye hasira za karibu na mdomo ndio chaguo sahihi
Kikawaida hawa ni watu wa mihemko wao muda wote huhisi wanadharauliwa, suala la kufikiria...
Biashara ni mchakato: Jifunze kwanza, kisha pata ujuzi, jenga connections zako, ndipo utakapojua cha kufanya na mtaji.
Lakini kwa watanzania wengi ni kinyume, wanaumiza sana vichwa kupata mtaji ili kuanza biashara lakini jambo hili kwenye process nzima inabidi iwe hatua ya mwisho kabisa. ndio...
Ukiangalia hisoria ya wanasiasa na wasio wanasiasa, Wanajiingiza ktk kufurahisha umma kupitia michezo, ili kuwasahaulisha juu ya matendo yao machafu. Historia inao watu wengi wa aina hii na wengine huenda wamejulikana kuliko wengine.
Pablo Escobar, muuza cocain mashuhuri wa dunia, alijihusisha...
Wakuu kuna makundi makubwa ya watu yaani mamia ya watu wa hapa kanisani kwangu wanahamia kwenye hii dini ya haki ya kiislamu na nimeshangazwa sana aisee yaani kanisani ukiwapa mahubiri wanajibu takbiiir aisee kweli uislamu ni dini ya haki na ya ukweli Aisee
Takbiiir Allah Akbar
Mara nyingi hawa wanaojiita atheist kwa maana wasio na dini wengi wao ni kutoka kwenye imani ya kikristo hauwezi kukuta hata siku moja abadani asilani atheist akawa ni muislamu ila halipo hata kidogo uislamu ni dini uliyonyooka isiyo na konakona kabisa
Mtego Huu Si Mwingine ni Huu Hapa Chini
.
Ni uwekezaji wa kitapeli (Ponzi schemes)
.
Ponzi scheme Nini utauliza??
.
Well, Ponzi scheme ni mfumo wa kitapeli ambapo watu wanaahidiwa faida kubwa, ya uhakika (guaranteed) na risk yake ni ndogo,
.
hali hii inayowafanya wengi kuvutiwa na kuweka fedha...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa mtandaoni kuhimiza watu kutojitokeza.
Sintofahamu ni kubwa na inaelezwa CCM wamepanga kuzima...
(full Automatic egg incubator).
■INAUWEZO WA KUBEBA MAYAI 120.
● Mashine hii inatumia solar/umeme pamoja na betri
●Ukiwa na solar ya watts 60 hadi 80 unaweza tumia pasipo kuwa na invetor
●Ukiwa na betri la gari pia N70 unaweza kuunganisha.
●Inatumia umeme kidogo sana wastani wa 5000 hadi...
Kama unataka kujifunza kusponsa matangazo yaruke Facebook na Instagram yawafikie watu weng saana kama wewe ni mfanyabiashara utanichek inbox nikuunge kwenye group hilo la watu wenye nia hiyo tu 0743 257 669
Nichek whatsapp
Enzi za Nyerere, kwa mujibu wa moja ya hotuba zake, madikteta wengi walikuwa barani Afrika.
Hali ikoje kwa sasa?
ANGALIZO: Ibrahimu Traore si dikteta bali mpigania maslahi ya watu wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.