wazungu

Mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in the African Great Lakes region to refer to people of European descent. It is a commonly used expression among Bantu peoples in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (but the word changed to become vozongo in malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Hivi wazungu na Waasia huwa wanatuchukuliaje sisi waafrika.

    1. Viongozi wakiafrika wanaiba Pesa kwao harafu wanaenda kuziweka kwenye mabenki ya ulaya na Marekani. Kichekesho nchi hizo hizo zinaenda kuomba mikopo huko.wanachofanya ni kutukopesha Pesa zetu zilizofichwa huko na viongozi wetu. 2. Rais wa inchi anaishi ulaya kwa kodi za wananchi wake nchini...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi wazungu nao wanaanguka mapepo kama huku kwetu?

    Wenye uzoefu semeni neno?
  3. JamiiForums Tanzania Hivi wazungu huko kwao kuna supu ya utumbo?!

    Kama haipo ya utumbo na ya kongoro basi bora nibaki Afrika. Supu ya utumbo, maharage na chapati 2 mchambuko na maharage ya kumimina aah wee
  4. JamiiForums Tanzania Ili Africa ipate maendeleo ni either wazungu wote wahamie huko Africa then waafrica muhamie US,Ulaya..nk

    Nje ya hapo Africa kupata maendeleo ni nadri sanaa. Wazungu wakikabidhiwa bara la Africa kama ambavyo livyo hivi sasa within 10yrs litakuwa very attractive and beautiful place to live.
  5. JamiiForums Tanzania Wazungu wakiendelea kukaza hivi hivi hadi mwisho inaweza kutuchukua muda gani kuingia katika total economic crisis?

    Economists, Planners, Financial analysts, Insiders, Strategists, JFers, Karibuni.
  6. JamiiForums Tanzania Vijana pendeni nchi yenu, wazungu wamefilisika, hawana cha bure cha kutugawia sisi.

    Vijana jengeni nchi yenu wenyewe kwa akili na mikono yenu, wazungu hawana fedha za kutupa tujenge nchi yetu, wenyewe wamefilisika vibaya sana. Hata wazungu wanakwenda China na Uarabuni kuomba misaada ya fedha na wawekezaji waende kwao. Inawezekana vijana wetu hawajui kuwa wazungu siku hizi...
  7. JamiiForums Tanzania Wazungu kwa sasa naona washaanza kushtuka

    Kuna mambo yanayoendelea na ili Trump na mpongeza ila Europe sasa wanashtuka jua la jioni.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wazungu vs watu weusi in social media

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya sisi watu weusi especially tunavyotumia social social media na wenzetu . hilo group lipo USA na angalia post za mtu anatka msaada anavyoandika jamii forum. wazungu sio kama wana akili sana ila community zao zinafanya mtu anajua kujielezea na fanya watu waweze...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi tukiamua kufanya maandamano ya bila ukomo kuwataka wazungu warudi kututawala hawatatusikiliza kweli?

    Nimejaribu kuwaza maana maisha wanayoishi raia siyo poa kabisa. Ukiwa mjini utaona mambo yako sawa kiasi nenda vijijini mzee, aseeee Ni mwendo wa kubeba bendera za Britain na chanting za "Long live the King! 👑"
  10. JamiiForums Tanzania Enyi feminists mnaodhani wanawake wazungu hawawavumilii waumme zao piteni hapa.

    She worked in a Cafe overtime just to make ends meet na mwamba hakuwa na kazi maalumu kwa miezi 8 mfululizo. Ila alitiwa moyo na kupewa muda ajitafute. Hakudharaulika kwa kutokuwa na chanzo cha pesa bali aliheshimiwa kwa maono alokuwa akiyapika katika hard time iliyo mkumba Kuna la kujifunza...
  11. JamiiForums Tanzania Nitafurahi sana hawa wazungu wakitolewe na Morocco katika hatua ya robo fainali

    Katika michuano ya World Cup ni timu Moja ambayo sipendi kuona wakitwaa ubingwa. Hii timu si nyingine, bali hii yenye wazungu waliojipaka masizi. Timu nyingine tofauti na hiyo ikiwa bingwa freshi tu!
  12. R

    JamiiForums Tanzania Muyinga: Watu wanajiita wanaharakati wanataka kulikomboa taifa wanalipwa na wazungu wanachochea tu, njooni

    "Unajua inasikitisha sana. Kuna muda inabidi tucheke japo havichekeshi. Watu wanajiita wanaharakati, wanajiita wakombozi wa taifa japo taifa letu limeshakombolewa toka mwaka 1961, tukapata uhuru tukawa taifa huru. Kuna watu wanajiita wanaharakati wanataka kulikomboa taifa. Lakini nataka...
  13. JamiiForums Tanzania Video: Waafrika tuna nguvu aise khaa !!, Hivi ilikuwaje wazungu wakatutawala.

    kuna mwamba anawashangaza watu huko ticktock kwa jinsi anavyo onyesha nguvu asili (raw power) aise ilikuaje Wazungu wakatutawala !! Link hiyo hapo chini: https://vt.tiktok.com/ZSQEfpWHf/ Nakiri kukubali nadharia kua hata Samson alikua mwafrika mwenzetu
  14. JamiiForums Tanzania Wazungu walituwahi akili mapema, Afrika ingekuwa inajiendeleza kupitia malipo kwa madini.

    Wakati wa ukoloni, Wazungu waliona thamani ya madini ya Afrika mapema sana. Walitambua kwamba dhahabu, almasi, shaba na madini mengine yalikuwa msingi wa nguvu za kiuchumi na kisiasa duniani. Badala ya kuruhusu Waafrika kutumia rasilimali hizi kama njia ya kujenga miundombinu na kuendeleza...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi Wazungu wanavyotumia sinema zao kuichafua dini ya Kiafrika ya Voodoo

    Voodoo (pia huandikwa Vodou, Vodun au Vodun) ni dini na mfumo wa imani ulioanzia Afrika Magharibi, hasa katika maeneo ya Benin na Togo. Baadaye uliendelea na kuenea katika maeneo ya Karibiani, hasa Haiti, kupitia biashara ya utumwa. Baadhi ya vipengele vya Vodou ni: Imani katika Mungu mkuu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kila sehemu kuna unyanyasaji lakini ni kwanini tumezoea kusikia wafanyakazi wa kiafrika wakinyanyaswa zaidi kwa waarabu kuzidi kwa wazungu ?

    Tatizo huwa ni lipi licha ya baadhi ya waarabu kuwa na mioyo safi ila imekuwa kawaida sana kupata malalamiko ya wafanyakazi wengi wakinyanyaswa nchi za waaabu ?
  17. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hii Dunia tunayoishi ina miaka zaidi ya bilioni kama tunavoaminishwa na wazungu?

    Ugonile, Mimi ni mzaliwa wa miaka ya 90's, nimekulia kote kijijini na mjini kwa nyakati tofauti. kwa kijijini mtu ulikua na uwezo wa kufanya sensa ya raia ukiwa kibarazani kwako umekaa huku unatafuna karanga au mahindi ya kuchoma. Katika kukua kwangu nikifanya ulinganifu wa idadi ya watu...
  18. JamiiForums Tanzania Eti mtakatifu kashia utuombee, hauwezi kukuta bwana Mabula kutoka Manolea Tabora wazungu kumkiri ni mtakatifu, Waafrika bwana ni shida kwelikweli

    Mtakatifu Rita alizaliwa tarehe 22 Mei 1381 huko Kashia (italia). Alibatizwa akaitwa Margarita, tangu utoto wake aliazimia kumtumikia Mungu katika Konventi ya Mt. Austino huko Kashia, lakini alipokuwa na umri wa miaka Kumi na miwili, alilazimishwa na Wazazi wake na kuolewa na Kijana mmoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…