waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Ikulu ilikuwa Madrassa zamani hizo, Ndiyo kuna shida gani? It is not making sense, Waziri huyo na baba yake huwa siwaelewagi. Wapo kwa shari shari tu.

    Huyo aliyesema kuwa ikulu ilikuwa madrassa zamani mara baada ya kujengwa na wajerumani. Kama waingereza walitumia kuwapo watu kufundishia watoto "Ilim Duniya na Ilim Akhera" kuna shida gani? Hiyo ni historia ya nchi yetu....Siyo jambo la ajabu! Waingereza waliitoa nyumba ya Governor kufundishia...
  2. F

    Waziri Mkuu anasema hakuna haja ya kuhesabu watu waliouawa, tuhesabu vitu vilivyoharibiwa

    Imenisikitisha sana kuisikia clip ile inayomuenesha akisema hakuna haja ya kuhesabu watu waliouwawa 29 October, kwani kufanya hivyo ni kuwahesabu watu kama vile tunahesabu vitu. Nasema inasikitisha saaana kusikia haya kutoka kwa mtu ambaye alipaswa kuwalinda na kuwaheshimu watanzania.
  3. R

    PostGE2025 Waziri Simbachawene: Tusirudie kuandamana, tushirikiane na Polisi. “NI RAFIKI ZETU”

    Hawa si rafiki zetu, ni WAUAJI WETU. Chawene unaongea kupalilia ulaji wako, lakini from the innermost chamber of your heart unajua kuwa hawa si rafiki. Untill the whole bloodfucken thing is dismantled, true statements of love can never be said to exist betwee civilians and police killers. Au...
  4. Waziri mkuu mwenye Saini kubwa ya pesa unasema watu wamelipwa naomba majibu na mumutagi hapa

    1.Magoli ya mama 2.Wasanii mpaka kuona wananchi na mashabiki zao kuwa ulikuwa waziri was wapi. 3.Mapikipiki,baiskeri,pesa za machawa na Kila waliotaka kupoza tumbo Kwa biriyani na bia ya kichwa pesa ilitoka wapi na wewe ulikuwa waziri wa Saini. 4.Media zimepata pesa mpaka kuitwa wafuwasi wenu...
  5. PostGE2025 Waziri Kombo: Tanzania hatutakufa kwa kukosa fedha za EU

    Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) limepitisha azimio linalopendekeza kusitishwa kwa ufadhili wa fedha za maendeleo kwa Tanzania, likieleza wasiwasi juu ya mazingira ya kisiasa na ukiukaji wa haki za binadamu ulioripotiwa baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Uhusiano wa Tanzania na Umoja wa Ulaya...
  6. R

    PostGE2025 Golugwa: Jambo TV wamefuta kipengele cha Maswali ya Salim Kikeke kwa Waziri Mkuu Mwigulu

    Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza leo Novemba 27, 2025 amerejelea Mkutano wa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba na wahariri wa vyombo vya habari uliofanyika Novemba 25, 2025, mkutano uliowapa fursa waandishi wa habari kuuliza maswali...
  7. PostGE2025 Tangu tupate uhuru hatujawahi kuwa na Waziri Mkuu roporopo kama huyu!

    Julius Nyerere Rashid Kawawa Edward Sokoinne (mara mbili) Cleopa Msuya (mara mbili) Salim Ahmed Salim Joseph Warioba John Malechela Frederick Sumaye Edward Lowassa Mizengo Pinda Kassim Majaliwa Halafu kuna: Mwigulu Nchemba Hatujawahi kuwa na waziri mkuu anayeropoka hovyo hovyo kama huyu wa...
  8. Kwahiyo Mwigulu leo ghafla pesa zimeacha kuwa za Samia na kuwa pesa wananchi? Gen-Z hakuna kulegeza kamba

    Wakuu Kila pesa ilikuwa ya Samia, samia kanunua hiki Samia kanunua kile, Samia kajengga SGR, Samia kajenga madaraja, Samia kajenga barabara, baada ya wananchi "kukiwasha" ndio mnajua kwamba hela ni za Watanzania? Leo ndio mnajua kwamba mwananchi ndio kila kitu baada ya kuona wananchi...
  9. M

    PostGE2025 Serikali kupitia Waziri Mkuu tumesikia idadi ya mali zilizoharibiwa kwenye maandamano, basi tunaomba na idadi ya vifo

    Vitu vilivyochomwa vilivyoainishwa na Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ni pamoja na 1. Ofisi za Serikali 756 2. Vituo vya mwendokasi 26 3. Vituo vya Polisi 159 4. Vituo vya mafuta 672 5. Magari Binafsi 1642 6. Pikipiki binafsi 2268 7. Magari ya Serikali 976 Lakini jambo la kushangaza, serikali mpaka...
  10. Gwajima usiingie mkenge jua target ni wewe

    Leo wazuri mkuu wa Mtandao Mwigulu Nchemba ametoa amri kwa waziri wa mambo ya ndani akayafungulie makanisa ya Ufufuo na uzima sambamba na kuziputia upya sheria za umiliki wa nyumba za ibada . Agizo hilo limetolewa kwa maelekezo kwamba kufunguliwa kwao siyo kunetokana na msamaha wa kudumu ,no...
  11. Waziri Aweso na Makalla kushirikiana kutatua changamoto za maji Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla, amekutana na Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso, leo Jumatatu Novemba 24, 2025, wakizungumza kuhusu utekelezaji wa miradi ya maji mkoani Arusha. Katika mazungumzo hayo, Makalla ameonyesha kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi inayoendelea...
  12. Waziri Wa Afya Mchengerwa kamilisha bima ya afya kwa wote tujitegemee

    Bima ya Afya kwa wote itabaki kuwa alama kuu ya mhe.Rais Samia katika Taifa letu. ameipambania hadi tumepata sheria . Chonde chonde waziri mpya wa Afya kamalizie jambo hili ukiweka akilini kipato cha watanzania wa hali ya chini... hii ni zawadi kwangu na watanzania wengi wanaoipigania...
  13. Waziri wa Ujenzi aagiza Wakandarasi Wachina wanaokwamisha ujenzi wa Barabara wawekwe ndani

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza kuwekwa ndani kwa wakandarasi wa kampuni kutoka China ambao wameshindwa kutimiza masharti ya mkataba wa ujenzi wa barabara ingawa serikali imetimiwa wajibu wake kwa kulipa sehemu ya malipo. Ulega amesema juhudi za kutaka vigogo wa kampuni hiyo kuja...
  14. PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akabidhiwa rasmi ofisi na waziri mkuu mstaafu Kassim Majaliwa

    DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025. Viongozi waliohudhuria hafla ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko, Makatibu...
  15. Uchambuzi: Kwanini Wanu Hafidh Ameir Hakupaswa kuwa Naibu Waziri wa Elimu

    Katika taifa ambalo linahitaji kufanya maamuzi magumu na sahihi kuhusu mustakabali wake, hakuna eneo nyeti kama elimu. Elimu ni injini, ni mapafu, ni moyo unaosukuma damu ya maendeleo. Taifa lisilo na mfumo madhubuti wa elimu ni sawa na kutembea gizani bila dira. Ndiyo maana uteuzi wa viongozi...
  16. R

    Rais Samia hajui Idadi ya Wabunge wa Serikali yake

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 18, 2025 akiwa katika hafla ya uapisho wa baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Dodoma ameshindwa kujua idadi ya wabunge ambao wapo katika Serikali yake
  17. R

    PostGE2025 Deus Kibamba: Tusimlaghai Rais. Huwezi kujichunguza mwenyewe. Hapa tulipofika tusijichunguze, tuchunguzwe

    Mchambuzi wa masuala ya Siasa Deus Kibamba amesema kwa mazingira ya sasa, ni ngumu kupata mchunguzi wa ndani atakayeaminika na pande zote, isipokuwa ni busara pande zote zikaridhia kupata mchunguzi huru kutoka nje ya nchi huku akirejelea hotuba ya Rais Samia siku chache zilizopita akieleza...
  18. PostGE2025 Balozi Mahmoud Thabit Kombo akila kiapo kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akila kiapo kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
  19. Mtaje Waziri au Naibu Waziri ambaye ni Mzanzibar kwenye uzi huu

    Tuwajue wapo wangapi, haya tuanze kuwataja. Mimi naanza na; 1. Makame Mbarawa
  20. R

    PostGE2025 Jumaa Aweso asalia kuwa waziri wa idara ya Maji, Naibu waziri Kundo Andrew Mathew

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na vyombo vya habari leo Novemba 17, 2025 ametaja Majina ya Baraza la Mawaziri ambapo katika Idara ya maji JWaziri ni Jumaa aAweso na Naibu waziri ni Kundo Andrew Mathew
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…