waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri Jafo aagiza Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime kusimamishwa kazi kwa kusafirisha mwili wa mtumishi juu ya carrier ya gari

    Waziri Jafo amsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime kwa kusafirisha mwili wa mtumishi juu ya carrier ya gari. Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Halmasharauri ya Wilaya ya Tarime, Jumanne Yassin ili kupisha uchunguzi Yassini...
  2. Waziri Ndumbaro azindua Jengo la Utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato, atoa maelekezo kwa Sekta ya Utalii nchini

    Waziri wa maliasili na utalii Dkt. Damas Ndumbaro leo January 12 akizindua jengo la utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato ameiagiza bodi ya utalii nchini kuhaakikisha kuwa inapeleka watalii wa kutosha kwenda kujionea maajabu ya msitu mnene wa Biharamulo-Chato hivyo kuongeza mapato ya...
  3. J

    Waziri Mwambe: Bei ya Mafuta ya Kula imepanda kutokana na ongezeko la bei kwenye Soko la Dunia iliyosababishwa na Corona

    Waziri wa biashara Mh. Mwambe amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutokana na ongezeko la bei ya bidhaa hiyo kwenye soko la dunia. Mwambe amesema bei kwenye soko la dunia imepanda kutokana na fakta mbalimbali kubwa ikiwa ni ugonjwa wa Corona. Mwambe amesema kwa sasa kuna meli mbili za...
  4. Waziri wa fedha ingilia kati sakata la uboreshaji wa mashine za EFD, kamishna wa TRA ataleta balaa kubwa

    Muda uliotolewa wa kuboresha Mashine za EFD wa mwezi mmoja (kuanzia desemba 7 hadi Januari 7) hautoshi, kwa sababu mawakala wanaofanya kazi hiyo wamezidiwa na kazi hiyo kutokana na wingi wa mashine hizo na tayari wameomba kuongezewa muda wa kufanya marekebisho hayo ya ghafla yaliyosababishwa na...
  5. K

    Waziri Bashungwa jiuzulu kuepuka laana inayomnyemelea Dkt. Hassan Abbas

    Tahadhima kwenu wanabodi Naomba kutumia sikukuu hii ya Mapinduzi kumpa ushauri usiolipiwa kwa kijana Waziri wa Habari, Vijana, Michezo na Utamaduni, Innocent Lugha Bashungwa kama anataka kuendelea kubaki kwenye ulingo wa siasa za Tanzania. Wizara uliyopewa ni nyeti na "ngumu kumeza". Ni wizara...
  6. Chato: Serikali kujenga Uwanja wa kisasa wa Michezo

    CHATO STADIUM KUJENGWA HIVI KARIBUNI‬ ‪Waziri Medard Kalemani amesema Serikali ipo mbioni kujenga Uwanja wa mpira wa Chato Stadium ambao amedai utatumika sana katika kuhamasisha Wawekezaji na hasa Watalii wanaotoka nje ya Tanzania --------- Serikali imetangaza kujenga uwanja mkubwa wa mpira...
  7. Waziri Jafo apiga marufuku Wakala wa Majengo Tanzania kupewa kazi Halmashauri ya Buchosha

    Wakala wa Majengo Tanzania ( TBA) wametakiwa kurejesha Shilingi million 300 walizolipwa kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya Serikali katika Halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza, huku Halmashauri hiyo ikipigwa marufuku kuwapa kazi TBA. Akizungumza wakati wa ziara yake wilayani humo juzi, Waziri wa...
  8. Kipi bora kuwa kiongozi wa kisiasa kama Waziri au Rais au kuwa mfanyabiashara mkubwa kama Mengi au Mo?

    Hivi hapa duniani kipi ni kitu cha fahari zaidi kati ya kuwa mwanasiasa na kufikia mafanikio ya kuwa waziri au rais kabisa, na kuwa mfanyabiashara bilionea kama alivyokuwa Mengi au Mohamed Dewji (Mo)? Kuwa kiongozi wa kiasa kuna raha yake, kusafishiwa njia na ving'ora kwa pembeni ukiwa...
  9. Tanzania na China zasaini mkataba wa uendelezaji wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR kutoka Mwanza - Isaka

    TANZANIA NA CHINA YASAINI MKATABA WA KUJENGA RELI YA KISASA (MWANZA-ISAKA) Serikali ya Tanzania na China vimeingia makubaliano ya kujenga reli ya kisasa ya Kilometa 341 kutoka Mwanza hadi Isaka Hicho ni kipande cha tano, ambapo kipande cha Kwanza ni kutoka Dar mpaka Morogoro, Cha pili ni...
  10. Hii ni aibu, tunatakiwa kubadilika. Msaada wa Waziri Wang Yi ni fedheha

    Jamani imefikia wakati kama Watanzania tunatakiwa tubadilike. Kupokea msaada wa milioni 380 ni aibu kwa taifa tajiri kama hili. Milioni 380 iliyotolewa na waziri wa Mambo ya nje wa China ni fedheha kwetu. Hii pesa ilipaswa kuchangwa na wafanyabiashara wa dhahabu Katoro na kuikabidhi kwa Veta...
  11. C

    Vyoo maeneo ya stendi na sehemu za wasafiri kulia chakula havikidhi vigezo. Mamlaka ziingilie kati

    Kwanza kabisa nianze kwa kumpongeza Mh. Rais kwa kuteua kuiongoza hii wizara, hakika Mh. hajakosea kukupa hii nafasi kutokana na uwezo wako mkubwa wa kiuongozi uliouonesha ndani ya hii wizara ndani ya muda mfupi. Wengi tulikuwa hatukufahamu hivyo Mh. Rais kukuibua wewe imeonesha ni jinsi...
  12. Naibu Waziri wa Afya Dkt. Mollel abaini wizi wa dawa za Tsh Milioni 9 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Rukwa

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amebaini wizi wa dawa unaofanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Rukwa ambapo katika ushahidi alionao amesema kuwa Idara ya Famisia imehusika katika upotevu wa dawa za thamani ya Tsh Milioni 9. Dkt...
  13. N

    Waziri Mpango tunaomba majibu matumizi ya Dola kwenye upimaji wa Covid-19

    Taasisi nyingi za Serikali zinatoa huduma kwa kudai dola ya Marekani kama malipo. CRB, ERB zote zinadai Dola za Kimarekani. Wizara ya afya inapima Corona na malipo ni ya Dola. Suala la aibu na fedhea kwa mlalahoi kupimwa kwa dola. Nashindwa kuelewa, hii matumizi ya dola inahalalishwa na...
  14. Waziri wa Elimu simamia ubora wa elimu na mbinu za ufundishaji

    Kuna tatizo la ufundishaji ktk vyuo vyetu. Najisikia vibaya kwamba tunalaumiwa kwa kutopenda kusoma vitabu lakini kuna uzembe kwa wafundishaji wetu ktk vyuo na hata sekondari kwa sasa. Kuna mtindo wa kutumia simu za mkononi kuandika notisi badala ya kuwashawishi wanafunzi kusoma vitabu, Mtindo...
  15. J

    Waziri Mkuu Majaliwa amezindua safari ya meli ya MV Mbeya II itakayotoa huduma katika Ziwa Nyasa nchini na nchi jirani za Msumbuji na Malawi

    Meli ya MV. Mbeya II ambayo imezinduliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Januari 5, 2021.i 20.1 ambazo zimetumika katika kujenga meli tatu ambazo kati yake mbili ni za mizigo MV Ruvuma na MV Njombe kwa thamani ya shilingi bilioni 11 na meli ya abiria na mizigo ya MV Mbeya ii kwa shilingi...
  16. J

    Kwa jinsi mbunge Tabasamu alivyomchongea DED Magesa kwa waziri Jafo ni wazi kuwa Wakurugenzi hawakupendelea CCM!

    Waziri wa Tamisemi mh Jaffo alikuwa ziarani wilayani Sengerema ndipo mbunge wa jimbo hilo mh Tabasamu akamchongea mkurugenzi Magesa kwa matumizi mabaya ya ardhi pamoja na fedha za wafadhili. Jafo amelikabidhi suala hilo Takukuru. chanzo: Clouds tv My take; Kama wabunge wa CCM walipendelewa na...
  17. Waziri Lukuvi awataka wamiliki wa ardhi kujenga kwa kufuata sheria

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka wamiliki wa ardhi wanaotaka kujenga kuhakikisha wanafuata sheria na taratibu zote wakati wa kufanya ujenzi. Waziri Lukuvi alisema hayo mwishoni mwa wiki hii katika ofisi yake ya ardhi ya mkoani Dar es Salaam na Pwani...
  18. Naibu Waziri avunja bodi ya Maji Mbeya na kuagiza meneja wa RUWASA kusimamishwa kazi kwa kushindwa kutatua kero za Wananchi na kutoa ripoti za uongo

    Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (MB) ametangaza kuivunja Bodi ya ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Mji Mdogo wa Rujewa katika Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya kwa kushindwa kuisimamia ipasavyo menejimenti ya mamlaka hiyo kutimiza majukumu yake kwa ufanisi...
  19. Maelekezo ya Naibu Waziri wa Afya kwa watendaji alipotembelea mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Wilaya ya Songwe

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka watendaji wanaosimamia ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia taratibu za mawasiliano zilizopo serikalini Amewataka watendaji hao kutoa taarifa za maendeleo ya ujenzi wa mradi huo katika mamlaka...
  20. J

    Huko duniani Treni ikipinduka kwa uzembe ni sawa na uhujumu uchumi Waziri na CEO wa shirika wanajiuzulu!

    Huko duniani ni kawaida kabisa Mtendaji Mkuu wa Shirika kama TRC kujiuzulu mara moja pale Treni inapopinduka kwa sababu ya uzembe unaoonekana kwa macho. Nakumbuka Tanzania kuna waziri alijiuzulu enzi ya Mkapa kwa sakata ama la treni au MV Victoria nimesahau kidogo. Usafiri wa treni siyo sawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…