waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Jumaa Aweso, kanisa lililojengwa bila kibali lajiunganishia maji na kuiba maji ya Tuwasa mchana kweupe

    Kama mtakumbuka mwezi mmoja au miwili iliyopita nilileta taarifa ya kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 mtaa Kariakoo kata ya Kitete. Baada ya viongozi wa mkoa, wilaya, afisa mipango miji manispaa, mtendaji kata, mwenyekiti wa mtaa, afisa mtendaji wa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Samia afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia Afrika

    Rais Samia leo amekuwa na mazungumzo na Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kiuchumi.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa malipo ya N-CARD Umeonesha kufeli vibaya katika Vivuko, Waziri Chunguza TEMESA kuna kero za makusudi

    Wakati UDART wameonesha waziwazi kufeli juu ya matumizi ya CARD kwa maksudi! TEMESA nao pasipo kujua ama kwa maslahi yao binafsi, Wameingia kichwa kichwa katika matumizi ya malipo ya N-CARD bila weledi! Abiria wote wameelekezwa kuhakikisha wanatumia N-CARD ili kuweza kulipia kivuko, Hivyo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Kwa sasa hakuna mazao ya Wakulima na Wafanyabiashara yanayozuiwa kwenye mpaka wetu na Kenya

    Waziri wa kilimo Prof Adolf Mkenda amesema hali ni shwari kabisa katika mpaka wetu na Kenya na kwa taarifa za leo hakuna mzigo wowote uliokwama mpakani. Mkenda amesema watanzania wasiwe na wasiwasi kwani sasa biashara kati yetu na Kenya imeimarika sana labda kuliko wakati mwingine wowote...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Waziri Mkuu tunaomba Serikali itupunguzie mzigo wa kodi kwenye shule na hospitali zetu, Tumeelemewa

    Askofu mkuu wa Kanisa la KKKT nchini Dr Shoo ameiomba serikali ya Rais Samia kuwapunguzia kodi katika shule na hospitali za taasisi za kidini kwani mxigo wa kodi ni mkubwa na umewaelemea. Askofu Shoo ametoa ombi hilo mbele ya waziri mkuu mh Majaliwa katika ibada ya kumuweka kitimi Askofu Mbali...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wizara gani unadhani Waziri wake Ni Mzigo?

    Tunalojukumu lakumsaidia Rais kuboresha utendaji. Lakini pia tunalo jukumu lakubainisha Mawazi na Manaibu Waziri wasio faa ili kuwafanya wakaze buti au kumfanya anayeteua kumtambua nakumweka kando. Kwa kuanza natamani Waziri wa Sheria Kabudi abadilike nakufanya kazi kitaalamu kuliko...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waziri hawezi kuahirisha mechi kwa sababu TFF iko chini ya FIFA na siyo wanasiasa, Bashungwa anaonewa bure!

    Ukweli ndio huo. Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa. Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA. Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa. Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Waziri gani alimdhulumu Rais mstaafu Mwinyi vifaa vyake vya ujenzi?

    Katika Kitabu cha kuelezea maisha yake Mstaafu Mwinyi anasema alipojiuzulu Uwaziri wa Mambo ya Ndani Waziri aliyechukua nafasi yake alimtaka ahamishe haraka mizigo yake ili yeye ahamie kwenye nyumba ya Serikali aliyokuwa anakaa Mzee Mwinyi. Mzee Mwinyi alishindwa kuhamisha vifaa vyake vya...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri anakwenda na wakati, makofi na vigelegele kwake

  10. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Umofia akiwa kwenye self driven motorcar.

  11. B

    JamiiForums Tanzania Kazi inapoendelea kila Rais anapohutubia Makamu na Waziri Mkuu nao wapo. Imekaaje hii?

    Mabibi na mabwana awamu hii ina maajabu yake. Imekuwa kila Mama Samia anapokuwa anahutubia hapa nchini, basi waheshimiwa: Mpango, Majaliwa na vigogo wa juu nao never miss. Haiyumkiniki vigogo hawa walipenda pia kuwapo Kampala na Nairobi. Hiiiiii bagosha! Wajameni, hizi gharama za...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri: TCU kutowatambua waliosoma Engineering Science kusoma shahada za Sayansi inawaumiza waliosoma Shule za Ufundi

    Ukweli utaratibu uliofanya TCU wasitambue watu waliosoma engineering science kwenda kuchukua degree hasa za science kiukweli utaratibu huu unaumiza sana watu waliosoma shule za ufundi kama Musoma, Bwiru Tech n.k. Namuomba sana Mama Ndalichako aitambue engineering science kuwa ni sawa na...
  13. JamiiForums Tanzania Je, uwezo ( umahiri ) wa Walinzi ( Bodyguards ) wa Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu huwa ni sawa au hutofautiana kulingana na Vyeo husika?

    Kwa nchi nyingi tu ( siyo Tanzania ) huwa naona kuanzia Marais wao, Makamu wao wa Rais na Mawaziri Wakuu wao huwa wana 'lundo' la Walinzi ( Bodyguards ) wakiwalinda. Nikiamini kabisa kuwa hapa JamiiForums kuna Wajuvi ( Pundits ) wa 'Sekta' hii au hata 'Wahusika' wenyewe leo wataweza kunisaidia...
  14. JamiiForums Tanzania Kazi ya kuweka Vinasaba (Marking) kwenye mafuta, TBS hawajui, Wabunge na Waziri Kalemani hajui chochote kinachoendelea. Je, kodi stahiki italipwa?

    DISCLAIMER: Huu ni mtazamo wangu tu kuhusu hili suala kwa jinsi nilivyoliona na kulishuhudia. Sina maslahi yoyote na suala hili. ========= Ni maajabu juu ya maajabu. Nchi ina maajabu sana hii. Iko hivi: Hivi karibuni bungeni, Mb. Shabiby na Tabasamu waliibua hoja kwamba serikali imepigwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta ampa Waziri wake wa Biashara wiki mbili kuhakikisha mahindi ya Tanzania yanaingizwa Kenya, Rais Samia asema yeye ni Suluhisho

    Hii ni habari njema kwa wakulima wa mahindi kwamba mzigo wao uliozuiliwa mpakani utaingia nchini Kenya ndani ya wiki mbili zijazo na hapatakuwepo na usumbufu tena. Rais Uhuru amemtaka waziri wake kusimamia hilo. Rais Samia amesema Kenya wana bahati wanaye Uhuru atakeyewaletea Uhuru wa kufanya...
  16. JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri wa Utumishi inatia shaka. Madaraja naona yamebebwa na mafuriko

    Tuliwahi kuambiwa kuwa siku hizi mfumo wa utumishi wa umma uko kidijitali. Hata barua za promotions za madaraja zitawafikia watumishi baada ya kufanyika mabadiliko na si ile ya zamani kwamba uletewe barua kisha ukubali ndipo promotion ifuate. Sasa cha ajabu huyu Waziri ameanza kuwachimbia...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Utumushi, Mchengerwa: Maafisa utumishi wasiopandisha madaraja kutumbuliwa

    Hizi mbwembwe za awamu ya sita zipo kasi sana, anyway, yetu macho na masikio. === "Watumishi wote waliosimamishwa kazi na mashauri yao yamechukua muda mrefu waandike barua kwa Katibu Mkuu Utumishi na aniletee nakala kwa ajili ya kufuatilia"Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya kushikilia shilingi kwenye mshahara wa Waziri?

    Habari wanajukwaa. Naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye mada, Kuna baadhi ya Wabunge wakiwa wanachangia mijadala kadhaa pale bungeni (hasa katika bunge hili la bajeti) Mbunge anaweza kuwa ameuliza swali fulani na kutaka majibu toka serikalini na Waziri anaweza kujibu hilo swali ila Mbunge...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Barabara Mbezi - Makabe: Waziri wa Ujenzi njoo uone TANROADS walichokifanya

    Kuna matengenezo ya mitaro ya maji taka yalikuwa yanafanyika na yalianza kipindi cha mwishoni kabisa cha uhai wa JPM. Na Mara tu alivyofariki jamaa hawakurudi kumalizia kazi kana kwamba waliona hakuna wakuwawajibisha tena. Ni ngumu kuelezea kazi ilivyofanyika , lakini kwa macho tu HUWEZI...
  20. JamiiForums Tanzania Mtu kama Damas Ndumbaro anakuwaje Waziri?

    Damas Ndumbaro anakuwaje Waziri? Nimemsikia muda mrefu kwenye migogoro ya mpira mara aibukie TFF mara aibukie Simba hadi akafungiwa.. Ni aina ya wale 'watafuta fursa 'popote.. Kaanzia kwenye mpira ambako hakuna achievement yoyote inayoweza kumhusisha zaidi ya migogoro hadi kama kaenda jaribu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…