waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Kitambulisho cha NIDA si kigezo cha uraia - Waziri

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. George Simbachawene, amesema kuwa mwananchi kuwa na kutambulisho cha NIDA haina maana kwamba hicho ndicho kinachoonesha uhalali wa uraia wake kwani vitambulisho hivyo hata wananchi wasiowazawa wa Tanzania wanavyo. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe...
  2. J

    Waziri Waitara awatumbua wafanyakazi wawili wa TPA kwa kushindwa kutoa taarifa ya ubovu wa meli ya MV Mbeya II tangu 2020

    Naibu waziri wa ujenzi Mwita Waitara amewasimamisha kazi Watumishi wawili wa mamlaka ya bandari kufuatia kitendo cha watendaji hao kuficha taarifa za ubovu wa meli mpya iliyopokelewa mwaka jana. Mwita amesema watumishi hao walikuwa wanaogopa nini kuieleza Serikali ubovu wa meli mpya hali...
  3. T

    Mwandosya tuliambiwa asiye na Wizara maalum, Mkuchika kazi maalum. Kazi zipi hizo?

    Ninakumbuka Jk alipounda baraza lake la kipindi cha pili cha uongozi wake, alimteua pro. Mark Mwandosya akatuambia kuwa amemteua kama waziri asiyekuwa na wizara maalum. Sasa hivi tena ameteuliwa waziri Mkuchika ambaye tunaambiwa kuwa ni waziri kazi maalumu. Kwa uelewa wangu mambo yote ya...
  4. Condester Sichalwe anafaa kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    Nimesoma CV ya huyu dada nimeona kuwa amewahi kuwa IT consultant wa UN Arusha na Wa AICC. Pia niliona akitoa mchango kuhusu Cryptocurrency na amewahi kuwa koch wa Cryptocurrency. Pia an akili ya kijasiriamali maana amewahi kuwa manger wa forever living products(japo siwakubali FLP). Huyu mtu...
  5. Museveni: We have clues to ‘the pigs’ who attacked Gen Katumba

    The assassination attempt was carried out in the same style as those that led to the death of over 28 people, including top government officials, in the past seven years. President Museveni has vowed to “defeat” armed assailants who attacked and injured former Works and Transport minister Gen...
  6. S

    Rais Mwinyi umetudhalilisha Wazanzibari. Waziri wa Michezo angetosha mazungumzo na Mamadou Sakho

    Nimeona aibu sana na niliondoka kimya kimya huku nikisononeka inakuwaje Rais wa Nchi anajidhalilisha kwa mcheza mpira? Au ndio ukisikia itifaki imezingatiwa ndio huku? Tena kwa red carpet kesho na kesho kutwa mchezaji anakunya mbovu inakuwaje hapo? Au kuna mtonyo wa 10% Kusema kweli ni aibu...
  7. Maoni: Dkt. Batilda Buriani ameshushwa mno kuteuliwa kuwa Katibu Tawala

    Dkt. Batilda Buriani alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa!! Ni kudhalilishwa mno, ni mawazo yangu. Angepewa hata ukuu wa Mkoa.
  8. Maafisa uhamiaji Walivyomtesa mtuhumiwa, Je, Sheria inawaruhusu?

    Nianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria. Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu ya hawa maofisa waliomkamata huyu Jamaa? Je, tunafahamu athari zake ikiwa vyombo hivi vitaachwa...
  9. Waziri Simbachawene, sio kila Mtanzania ana gobole kama la Mzee Machemba

    Miaka ya themanini baada ya vita vya Kagera mikoa ya kanda ya ziwa ilishuhudia wimbi kubwa la uvamizi wa kutumia siraha. Nilikuwa najitambua japokuwa nilikuwa mdogo kiumri. Mtaa na kijiji nilichoishi alikuwepo mzee mmoja alikuwa na uwezo kidogo na kila mtu alitambua kuwa alikuwa akimiliki...
  10. Katiba Itamke: Kiongozi yeyote wa kisiasa asimfukuze kazi mtumishi wa umma

    Taja yangu haijafuata protoko ila ninachomaanisha, katika utumishi wa umma kumekuwa na hawa mabosi ambao wengi wao sio wanataaluma katika nafasi walizonazo ila wana power kubwa sana kwa watu ambao ni wanataaluma. Unakuta DC anamwagiza DED amsimamishe kazi labda Mhasibu. Hapo unakuta DC hajawahi...
  11. Bilioni 1.6 imeibiwa ndani ya miezi miwili na Waziri wa Fedha Mwigulu yupo!

    Mhe Rais wangu, ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kazi iendelee! Najua Mhe Rais pengine utasema huu ni ushauri wa mitandaoni na huwezi kufanyia kazi maoni ya mitandaoni,lakini haya ndio majukwaa huru kwa 100% yanaweza kukupa ushauri mzuri kuliko wale wanaokutazazma ana...
  12. VUDEO: Ni uchunguzi gani ili mtu ajue kuwa huu ni wizi mtupu kwa jina la "malipo ya posho ya.....??"

    Hii kitu kama kweli imefanyika Wizara ya fedha - HQ, basi tuna tatizo kubwa sana na usalama wa fedha ya umma chini ya watu hawa... Waziri wa fedha kwa sasa ni Mwigulu Chemba. Kwa takwimu hizi za wizi huu wakati unafanyika zinazotolewa na PM, Mwigulu alikuwa hajawa Waziri bado... Wakati huo...
  13. J

    Sijaelewa: Ziara ya waziri mkuu Majaliwa pale Hazina inahusiana na ile report CAG aliyoagizwa na Rais Samia?

    Naomba ufafanuzi kwa wataalamu wa chunguzi. Hii ndio ile report ya January hadi March aliyoagiza Rais Samia au PM Majaliwa ameenda kivyake? Nasubiri ufafanuzi.
  14. Charles Kimei: Serikali itakuwa tayari kurejesha Kodi iliyokusanywa kwa shinikizo? Mwigulu amjibu

    Leo Bungeni, Mbunge wa Vunjo ameuliza swali lililoanzia kwenye misamaha ya kodi kwenye taasisi za dini ambapo Waziri Mwigulu alisema Taasisi za dini zinazofanya shughuli za kiuchumi kwa lengo la kujipatia faida zinatakiwa kusajiliwa na TRA kama wafanyabiashara wengine na kulipa kodi ya mapato...
  15. Wimbi la Ujambazi: Waziri Mkuu asema ni jukumu la kila Mtanzania kushiriki kwenye ulinzi

    Mbunge wa Makete, Festo Sanga amesema siku za hivi karibuni kumekuwa na changamoto ya wimbi la ujambazi hususan Mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Mbeya, Mwanza na Arusha. Akiwa Bungeni, amesema matukio hayo yamekuwa yakihatarisha usalama wa Wafanyabiashara, wananchi kwa ujumla pamoja na mali...
  16. M

    Waziri wa Utumishi iangalie vizuri Wizara yako, Upandishaji Madaraja umeshindikana sababu ya Mfumo

    Mhe Waziri pole na Majukumu yako ya kila siku, hivi karibuni Ofisi yako ilitoa waraka wa kuwapandisha madaraja Watumishi wenye vigezo, ukiachilia mbali changamoto ya watumishi wakongwe na juniors kulundikwa kwenye daraja moja (mfano mtu aliyeajiriwa 2013-2014 kuwekwa sawa na mtu wa 2016). Mfumo...
  17. Waziri Ummy punguza kujieleza, unajifunga sana katika maelezo yako

    Dada Ummy sina shaka na utendaji kazi wako lakini nakushauri upunguze kujieleza kwa sababu maelezo unayotoa yanakufunga. Mtangulizi wako pamoja na kuwa na maneno mengi lilipokuwa linakuja suala nyeti la kitaifa alikuwa makini sana kuchunga kauli zake ili kuepusha maswali na mijadala isiyo ya...
  18. Waziri Simbachawene: Mabadiliko ya kisera, chanzo cha makazi mapya ya Polisi kutotumika tangu 2018

    SERIKALI imetaja sababu za kutokutumika kwa miradi ya nyumba za makazi ya maofisa na askari polisi licha ya kukamilika kwa miaka mitatu iliyopita. Nyumba hizo ni zile za ghorofa zilizoko Mikocheni na Kunduchi mkoani Dar es Salaam, ambazo ujenzi ulianza mwaka 2014 na kukamilika mwaka 2018 chini...
  19. K

    Waziri wa Tamisemi toeni vibali vya kuajiri kwa waliojitolea kwenye ajira za mikataba ndani ya Halmashauri

    Mh. Waziri wetu,tunaomba muliangalie hili kwa jicho la kipekee,Vijana wamekubali kulitumikia Taifa Lao kwa uzalendo wa hali ya juu.Vijana kila mwaka wanapata ajira za mikataba,hii inaonyesha Kuna uhaba wa wafanyakazi ndani ya Halmashauri zetu. Hivyo Kuna vijana wengi wanapewa ajira za mikataba...
  20. C

    Tuchukulie umepata nafasi ya kuwa Rais kwenye nchi hii, Waziri, Katibu Mkuu wa Wizara, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, n.k. Je, ungewafanya nini?

    Hebu kulalamika na kulaumu tu pause kidogo. Chukulia umepata nafasi ya kuwa Rais wa JMT, Waziri Mkuu, Waziri, Katibu Mkuu kwenye wizara, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mbunge, Diwani, na kadhalika na kadhalika. Ki ujumla we ni mtu uliyepo kwenye system na kuwa sehemu ya maamuzi kwa ajili ya nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…