waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Waziri Mchengerwa kwa hili la Mpira miguu unazidi kumpoteza "Rais" katika ramani zake

    Tumekusikia jana ukitoa maelekezo ya kutosha Baraza la michezo jinsi Wizara yako mnavyotaka isimamie mpira wa miguu “as if” Baraza la Michezo kazi yake ni kusimamia mpira wa miguu tu na huku ukijisahau kuwa wewe sio Waziri wa mpira wa miguu peke yake. Okay tuliacahe hilo. Tumesikia maoni ya...
  2. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu atoa tahadhari jina lake kutumika kwenye kutapeli

    Tamko la Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu utapeli kwa kutumia jina lake.
  3. M

    Kwahiyo Waziri Mchengerewa ulikuwa unasubiria hadi Yanga SC yako icheze na Biashara United FC (ASFC) ndiyo uwatishie Waamuzi?

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohammed Mchengerewa nani kakuambia matatizo ya Waamuzi (Referees ) Tanzania yameanza sasa? Ina maana Wewe ni Mgeni sana katika Soka la Tanzania (Bongo) ambalo kwa 99.999% linaharibiwa na TFF kwa Interests zao lakini pia na hata Nguvu ya Ushawishi ya...
  4. M

    Waziri Mkuu kuna Ufisadi wa Kutisha AUWSA, tuma kamati

    Mheshimiwa Waziri Mkuu tunakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Waziri Mkuu kuna Ufisadi wa Kutisha katika Miradi ya Maji inayosimamiwa na Mamlaka ya Maji Arusha ( AUWSA), Hizi Taarifa zimefika PCCB Arusha, Bodi ya AUWSA chini ya DR Masika Kwa Waziri wa Maji Ndg Juma Aweso...
  5. M

    Waziri Mkuu Kassmu Majaliwa awanyooshea kidole TARURA, awataka kusimamia miradi kwa weledi na uaminifu

    MAJALIWA : TARURA SIMAMIENI MIRADI KWA WELEDI NA UAMINIFU === WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza wahandisi wa TARURA wasimamie miradi kwa weledi, uadilifu na uaminifu huku wakizingatia mikataba husika na pia wawe wabunifu kutumia teknolojia mpya, sahihi na rafiki kulingana na upatikanaji wa...
  6. B

    Waziri Bashe, wauzaji wengi wa pembejeo za kilimo hawana utaalamu wa kilimo na mifugo

    Mh Bashe , wewe ni miongoni mwa mawaziri mnaochapakazi na zinaonekana, hongera sana. Ombi langu kwako nalielekeza kwenye maduka ya pembejeo za kilimo na mifugo...kwakweli kumejaa makanjanja wengi sana. Wauzaji wao wengi hawana utaalamu wa kilimo au mifugo. Na wale walio na wataalamu basi ni...
  7. Waziri Masauni: Matukio ya mauaji nchini yananinyima usingizi

    Picha: Mhandisi Hamad Masauni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni, amesema tangu ateuliwe kuongoza Wizara hiyo yapo mambo mawili yanayomnyima usingizi ikiwemo mauaji yanayotekelezwa na baadhi ya watu kwenye jamii pamoja na baadhi ya askari kufanya vitendo kinyume na maadili...
  8. M

    Barua ya wazi kwa Waziri wa OR-Menejmenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

    kwako Mheshimiwa Waziri;Jenister Mhagama, Hongera kwa kuendelea kuaminiwa na kushika nyadhifa muhimu katika Kutenda maamuzi muhimu ndani ya serikali yetu ya JMT, dhumuni la Ushauri huu ni kuelezea mambo muhimu ili kuleta ufanisi kwenye utendaji na utoaji wa huduma kwa wananchi pasi na kuweka...
  9. Kuhusu Kusafiri Usiku; Waziri Mkuu awaagiza ama RC, DC

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kupitia kamati za ulinzi na usalama za mikoa na wilaya ziendelee kufanya tathimini juu ya utoaji wa vibali vya mabasi ya abiria kusafiri usiku. Majaliwa alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Sophia Mwakagenda katika kipindi cha...
  10. Profesa Adolf Mkenda mulika vyuo vikuu vyenye utitiri wa programmes ambazo ni irrelevant, unmarketable

    Mhe.waziri wa elimu ukiwa kama mwanazuoni, saidia kumulika vyuo vikuu vimekuwa hodari kubuni programs ambazo ni sawa na chuma ulete ... Yaan wanakwapua pesa za wananchi / wasaka elimu ya juu (degree level) programs wanazo anzisha unakuta hazina soko ktk soko la ajira kabisaa yaan ni aibu ata...
  11. M

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza Wabunge wote waelezwe kinachoendelea Ngorongoro

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii iandae semina kwa wabunge wote ili kujenga uelewa wa pamoja kuhusu yanayoendelea katika hifadhi ya Ngorongoro. Mheshimiwa Majaliwa ametoa maagizo hayo leo (Jumatano, Februari 9, 2022) wakati alipochangia taarifa ya Kamati ya...
  12. Rais Samia acha kumbeba Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Hakuna cha maana kinachofanyika nchi hii

    Huyu Waziri, anajionesha sana kwenye vyombo vya habari na kila anapopewa mic., lazima ataje jina la Samia Suluhu Hassan kama kibwagizo cha shairi. Tunachotaka ni matokeo chanya na kukataa wizi kwenye miradi ya maji ktk nchi hii. Huu ni msimu wa mvua baada ya ukame mrefu. Kipindi cha ukame...
  13. Huduma mbovu yamponza Mganga Mfawidhi hospitali ya Wilaya Siha, Waziri amshusha cheo

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameonyesha kukasirishwa na huduma mbovu inayotolewa katika Hospitali ya Wilaya ya Siha baada ya wananchi kulalamikia huduma mbovu huku akikiri kujionea kwa macho yake baada ya kushuhudia mgonjwa akiachwa zaidi ya saa moja bila kuhudumiwa. "Ninaagiza...
  14. Waziri Dkt. Gwajima: Machinga wanasaidia mahitaji ya haraka

    Picha Dkt. Dorothy Gwajima Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum Dkt. Dorothy Gwajima, amesema, masuala ya changamoto za Machinga ikiwemo kuhamahama, watazungumza na Mamlaka za Mikoa ili kuona namna Bora ya kutatua tatizo hilo, na hii itakuwa ni kwa nchi nzima. Waziri...
  15. Waziri Gwajima awapongeza Ngariba, asisitiza kupaza sauti

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amewapongeza Ngariba walioacha kufanya ukeketaji na kugeuka kuwa wanaharakati wa kukemea vitendo vinavyo dhalilisha utu wa mtoto wa kike na kumuachia maumivu makali. “Tuwavushe mabinti zetu kutoka usichana...
  16. Rais Samia mchuguze Waziri wa Maliasili na Utalii pamoja na Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro. Tunapigwa pesa!

    Kwa heshima na taadhima, Mhe Rais kuna kila dalili za upigaji katika Mamlaka hii. Kuna tetesi za chini kwa chini kuwa NCAA imewalipa waandishi wa habari pesa nyingi wakiongozwa na Maulid Kitenge chini ya Uratibu wa mmiliki wa gazeti la Jambo la habari ndugu Mchange. Nguvu wanayotumia ni kubwa...
  17. F

    Waziri kaambiwa na Rais ajitafakari, yeye na IGP hawauelewi msamiati huu?

    Jana Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Mwanza, amemuambia Waziri wa Mambo ya Ndani, Yusuph Masauni ajitafakari kwa mauaji yanayoendelea nchini. Hadi Sasa waziri yupo kimya. Je yeye na IGP hawauelewi msamiati huu wa kiswahili?
  18. Malalamiko ya wanafunzi kozi za Afya; Barua ya wazi kwa Waziri Afya na Elimu

    BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ELIMU NA WAZIRI WA AFYA. NAKALA: OFISI YA WAZIRI MKUU...
  19. Wizi mpya wa Vodacom: Waziri wa Mawasiliano ingilia kati

    Unapata ujumbe huu kwamba tayari umeinganishwa na matandao wa Playinc., na unakatwa ths 200/= kwa siku. Ujumbe uko hivi: "VODACOMLIVE Hongera! Umeunganishwa na Playinc, Tembelea playinc.com/tz bure siku 3 kisha utatozwa Tsh200/siku. Kujiondoa tuma neno ONDOA Playinc1 kwenda 15599" Mtu huna...
  20. J

    Waziri Bashe akutana na wawekezaji wa kiwanda cha mbolea

    Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, amekutana na kufanya mazungumzo na wawekezaji wa kampuni ya Pioneers Chemical Factory Co. Kutoka Nchini Saudi Arabia, wenye lengo la kuwekeza Katika uzalishaji na usambazaji wa mbolea Nchini. Kikao hicho kimefanyika katika ofisi ya Wizara ya Kilimo jijini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…