Wanaukumbi.
Mambo yamekuwa magumu kwa Israel, sasa wanataka makubaliano hamna tena habari za malengo ya Netanyahu.
Nguvu sio kiini cha kila kitu
Kutambua wajibu wetu wa kimaadili na kimaadili kuwaleta mateka wetu nyumbani
itabidi kufanya makubaliano yenye uchungu
"Sio malengo yote
inaweza...
Wadau hamjamboni nyote?
Wakati mvutano unaendelea huko Mashariki ya Kati kufuatia mashambulizi ya kisasi ya Israel dhidi ya Iran, Marekani imeionya Tehran dhidi ya mipango yoyote wa kulipiza kisasi.
Pentagon imesema kuwa mashambulizi ya Israel ya Jumamosi yanakusudiwa kumaliza uhasama kati ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Mjisomee wenyewe hapo chini kwa kimombo:
Gallant at IAF base: After we strike in Iran, world will understand all our training
By Emanuel Fabian Follow
and Agencies
Today, 5:19 pm
Defense Minister Yoav Gallant on Wednesday told pilots and air crews at an airforce base...
Wadau hamjamboni nyote?
Hamas nyoosheni mikono mjisalimishe!
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
---
Gallant calls on Hamas fighters to surrender, release hostages following Sinwar killing
Defense Minister Yoav Gallant calls on Hamas fighters to release the hostages and surrender following...
Wadau hamjamboni nyote?
Waziri wa Ulinzi Yoav Gallant amesema mazungumzo yoyote ya kumaliza mapigano nchini Lebanon lazima yafanyike "chini ya moto" wakati wa tathmini ya hali ya eneo la kaskazini.
Akikutana na makamanda wa Kitengo cha 146 cha akiba, Gallant amesema kukamatwa kwa wapiganaji wa...
Wanakumbi.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken na Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin waliifahamisha Israel kwamba ikiwa misaada ya kibinadamu haitaingia Gaza ndani ya siku 30, utawala wa Marekani utalazimika kuamsha "Mkataba wa Usalama wa Taifa" na kuzuia uhamisho wa silaha kwa Israeli...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 09 Oktoba 2024 amefanya ziara na kutoa heshima zake katika Kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya 3 wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Benjamin Wiliam Mkapa, na kuwasamilia baadhi ya...
Raisi Paul Kagame leo mchana ameridhia kupandishwa vyeo vya ngazi ya brigedia jenerali na cheo cha kanali kwa maofisa kadhaa wa jeshi la Rwanda.
Hatua hii yafuatia hatua ya raisi Kagame kumteua waziri mpya wa ulinzi Juvenal Marizamunda, mkuu mpya wa jeshi la Rwanda Meja Jenerali Mubarak Muganga...
Nyuki wa Mama mpo?
Kama mnavyomuona kwenye picha Waziri wa Ulinzi akiwa beneti na Mama wakiangalia kwa makini hicho walichoambiwa ni cha kutazama katika ufunguzi wa zoezi la medani katika kuazimisha miaka 60 ya JWTZ, Msata-Pwani
Kwa utaalamu mkubwa alionao Bi Stergomena Tax akatumia kifaa...
Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya Kiislamu ya Iran imeamua kujipanga kisawasawa
Imefanya uteuzi wa kihistoria Jenerali Aziz amekabidhiwa rasmi kuongoza wizara ya ulinzi ya nchini humo.
Ni rubani mzoefu mwenye weledi mkubwa na aliongoza kikosi cha anga cha Jeshi la Iran Kwa miaka minne...
Wadau hamjamboni nyote?
Ni suala la muda tu kabla ya watajwa hapo juu kutumbuliwa
Waziri wa ulinzi yeye anasubiriwa arejee kutokea ziarani Marekani nchini Marekani. Ilikuwa atumbuliwe mapema lakini cha Ismael haniyeh kilichelewesha tangazo hilo
Taarifa kamili hapo chini:
Mungu ibariki Israel...
Ukimya wake tangu maandamano ya Gen Z yalivyoanza uliibua maswali na mashaka mengi juu ya uwezo wake, weledi wake yeye na wa jeshi la polisi kwa ujumla, na kwa yeye kuendelea kuhudumu kwenye nafasi alikua nayo jeshini.
Polisi kuwapiga risasi hadi kufa waandamanaji wa Gen Z, kulitia dosari na...
WAZIRI WA ULINZI NA JKT AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMUAGA BRIGEDIA JENERALI CHAKILA
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 26 Juni 2024 ameungana na kuongoza Waombolezaji Katika Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi Msalato, jijini Dodoma, kuaga...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) Juni 15, 2024 amefunga rasmi mafunzo ya mwaka mmoja ya Ukamanda na Unadhimu katika Mahafali ya 38 ya Chuo cha Ukamanda na Unadhimu Tanzania zilizofanyika katika Viwanja vya chuo hicho, Duluti Arusha.
Mahafali hayo ambayo...
WAZIRI WA ULINZI ZIARANI NCHINI ETHIOPIA
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 04 Juni, 2024 amefanya mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa Ethiopia Mheshimiwa Injinia Ayisa Mohamed Mussa katika Ofisi za Wizara ya Ulinzi nchini Ethiopia...
Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala...
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena L. Tax amesema Migogoro ya ardhi inayohusisha maeneo ya Jeshi inapaswa kutatuliwa kwa mashauriano kwa kufuata Sheria zilizopo na si Kisiasa
Akiwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2024/25 amesema, maeneo ya Jeshi ni maalum kwa...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt Stergomena Tax (Mb), atoa salamu za pole Kufuatia Vifo na Majeruhi ya Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania-JWTZ Walioko DRC.
Ripoti za kiuchunguzi za CIA zinaeleza kuwa Iran inaendelea kujiandaa na mashambulizi ya drones ndani ya Israel hasa kwenye maeneo yake ya viwanja vya ndege na kambi za jeshi...
Wakati haya yakijiri Huko Iran na Israel nao kupitia waziri wa ulinzi bwana GALLANT amesema kuwa "vikosi vyetu vipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.