Waziri wa ulinzi Yoav Gallant asema baada ya kuipiga Iran dunia itaelewa mchakato wa maandalizi na mafunzo namna ulivofanywa na IDF

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
3,416
7,789
Wadau hamjamboni nyote?

Mjisomee wenyewe hapo chini kwa kimombo:

Gallant at IAF base: After we strike in Iran, world will understand all our training

By Emanuel Fabian Follow
and Agencies

Today, 5:19 pm

Defense Minister Yoav Gallant on Wednesday told pilots and air crews at an airforce base that “after we strike in Iran, everyone will understand what you did in the preparation and training process.”

Visiting the Hatzerim base ahead of Israel’s promised response to Iran’s October 1 major ballistic missile attack, Gallant said, “Everyone who dreamed a year ago of beating us and attacking us paid a heavy price and are no longer in that dream.”

Israel has held several major drills simulating long-range strikes on Iran over the years in preparation for a possible confrontation with Tehran. On Tuesday, the FBI said that it was investigating the unauthorized release of US classified documents on Israel’s latest preparations for a potential retaliatory attack.

Some social media posts in recent days singled out a US Defense Department employee as supposedly being under investigation for the leak, but offered no evidence.

Speaking to reporters in Rome, US Defense Secretary Lloyd Austin said there were no indications any employees from the Office of the Secretary of Defense were being probed for the leak.
 
Wanamyweka Ayatollah kwenye tension akipandisha pressure kila siku akiwa hajui lini Israel itapiga muda sasa askari wa Iran hawajui usingizi hiyo tu.kisaikolojia wanachoka akili na mwili
Ingekuwa Syria au Gaza imeishambulia Israel mara mbili mfululizo bado wangekuwa na vikao kama vya send off kila siku?
Acha kushikiwa akili fungua ubongo wako kwamba Iran ni mkubwa mno kwa Israel ndio maana unaona kila siku Israel anakuja na mipasho bila vitendo.

Hivi dunia ya leo bado mtu unaamini katika propaganda? Yaani mtu atwangwe mara mbili kipigo kitakatifu halafu asirudishe majibu bado unaaminishwa propaganda dhidi ya ukweli?

Ama kweli maajabu kamwe hayawezi kwisha duniani. Israel na mabwana zake wanaujua moto wa Iran ndio maana wanajadiliana hawafikii mwafaka kwasababu inaweza kuwa zahma kubwa kwa Israel akijaribu kujibu.
 
Wanamuweka Ayatollah kwenye tension akipandisha pressure kila siku akiwa hajui lini Israel itapiga muda sasa askari wa Iran hawajui usingizi hiyo tu.kisaikolojia wanachoka akili na mwili
ayatollah hana wasiwasi kama huyo paka mwenye tezi jike
anavyo jiharishiaga na kukimbilia marekani
 
Wanamyweka Ayatollah kwenye tension akipandisha pressure kila siku akiwa hajui lini Israel itapiga muda sasa askari wa Iran hawajui usingizi hiyo tu.kisaikolojia wanachoka akili na mwili
Exactly Yes. Na baadaye neno hili litatimia:
"Lakini fahamuni jambo hili: Kama mwenye nyumba angalijua saa mwizi atakuja, asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa." Luka 12:39
Tena mahali pengine panasema "Lakini fahamuni neno hili; kama mwenye nyumba angaliijua ile zamu mwivi atakayokuja, angalikesha, wala asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa".(Mathayo 24:43)
 
Ingekuwa Syria au Gaza imeishambulia Israel mara mbili mfululizo bado wangekuwa na vikao kama vya send off kila siku?
Acha kushikiwa akili fungua ubongo wako kwamba Iran ni mkubwa mno kwa Israel ndio maana unaona kila siku Israel anakuja na mipasho bila vitendo.

Hivi dunia ya leo bado mtu unaamini katika propaganda? Yaani mtu atwangwe mara mbili kipigo kitakatifu halafu asirudishe majibu bado unaaminishwa propaganda dhidi ya ukweli?

Ama kweli maajabu kamwe hayawezi kwisha duniani. Israel na mabwana zake wanaujua moto wa Iran ndio maana wanajadiliana hawafikii mwafaka kwasababu inaweza kuwa zahma kubwa kwa Israel akijaribu kujibu.
Usiwe na haraka. Kila vita na strategy yake. Ukikurupuka na strategy mbovu unafeli kama walivyofeli Hamas na Hezbollah.

Iran yupo hatarini kuliko kipindi kingine chote.
 
Usiwe na haraka. Kila vita na strategy yake. Ukikurupuka na strategy mbovu unafeli kama walivyofeli Hamas na Hezbollah.

Iran yupo hatarini kuliko kipindi kingine chote.
Nanukuu: "Iran yupo hatarini kuliko kipindi kingine chote"
Aisee!? Kweli Iran anaumia sana ndani kwa ndani; Na kazi ya kumsubiri adui ambaye amekuahidi tena kwa kiapo kwamba lazima akudunde lakini hajasema ni saa ngapi, ni lini, mahali gani na kwa ukali wa kiwango gani; halafu tena huku unawasikia wanafanya vikao vya kukujadili namna bora zaidi ya kukutwanga ili maumivu yako yawe ni ya kiwango cha juu ....... Dah! ni mateso makali ya kutosha kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom