Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Deogratius Ndejembi amewataka Menejimenti na watumishi wa Wizara ya Ardhi kuondoa urasimu na kutoa hati milki za ardhi kwa wakati.
“Tuondoe urasimu, kama mtu ana nyaraka zote zinazohitajika, tuwape hati zao na tukumbuke sisi ni watoa huduma kwa...
Waziri wa ardhi nimekusikia ukizungumza na wanachi wa Chamakweza. Umeahidi kuwa utatuma tume yako.Naona kama ni kupoteza pesa za walipa kodi kwani shida hiyo ni Tanzania nzima.
Migogoro ya wakulima na wafugaji ni tatizo ambalo limeanzishwa na serikali kuruhusu kuwa nchi ya wachungaji badala ya...
Kwako WAZIRI wa ARDHI, ndugu Jerry Slaa
Mwaka Jana 2023, miezi ya kukaribia mwisho wa mwaka yalitoka matangazo katika wilaya ya Kigamboni, kuhusu mradi wa viwanja maeneo ya Pemba mnazi.
Masikini mimi nilibahatika kupata fomu ya kiwanja kidogo, kulingana na kipato changu. Kwa bahati nzuri...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameingilia kati mgogoro wa ardhi wa muda mrefu kati ya Wananchi wapatao 246 na muwekezaji wa Kampuni ya Tanzania Road Haulage katika eneo la Kurasini wilayani Temeke jijini Dar Es Salaam ambapo wananchi hao wanadai kutolipwa malipo...
Baada ya Mdau kuelezea kuhusu mchakato wa kubomoa nyumba zaidi ya 100 zilizopo Mapinga Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani, Serikali imechukua hatua ya kusitisha mchakato huo, malalamiko ya awali soma hapa ~ Nyumba zaidi ya 400 za Mapinga (Bagamoyo) kuwekewa X ili zivunjwe kuna harufu yenye shaka...
Shikamoo Mheshimiwa
Shikamoo Kaka
Shikamoo Kiongozi
Shikamoo Kiongozi Mtenda Haki
DHUMUNI la kukuandikia waraka huu, kwasababu wewe ni mmoja ya viongozi ambae amekuwa anawatendea sana haki watu wanaodhurumiwa au kutaka kudhurumiwa mali zao(ardhi), maana dhuruma za ardhi nyingi zinatokana na...
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amepiga marufuku nchi zima mabango yaliyozagaa mitaani ya kuuza viwanja maarufu viwanja vinauzwa na ametoa siku 7 kwa maafisa ardhi nchi nzima kuhakikisha mabango hayo yanaondolewa na ameagizo pia makampuni yote yanayouza viwanja...
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameagiza kukamatwa kwa Watu kadha ambao wanatuhumiwa na Wananchi kwa kusababisha migogoro ya ardhi na kuuza maeneo kinyume na taratibu kwa wakazi wa Mbondole, Kata ya Msongola Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.
Waziri Silaa ametoa...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameifunga ofisi ya Idara ya Ardhi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma na kuamuru Watumishi wa Idara hiyo kuhamia kwenye Ofisi za Kamishna wa Ardhi Mkoa.
Hatua hiyo inafuatia kukithiri kwa migogoro ya ardhi katika jiji hilo linalotajwa...
Baraza la Ardhi na nyumba wilaya ya Mbulu liko eneo la Dongobesh. Huyu bwana ni mla rushwa, mbaguzi, katili asiye na utu.
Anashirikiana na wenye hela ktk eneo husika kuwadhulumu wanyonge. Ameshawanyanganya watu na kuvunja nyumba nyingi kwa ajili ya rushwa.
Anakula na ofisi ya msajili kanda...
Source: Youtube-wakiliTv, taarifa ya Wakili Dickson Matata
Nilisema kwamba haya mambo ya kujifanya mwendesha mashitaka na hakimu anayofanya Jerry Silaa yasipoangaliwa, ataitia nchi hasara kubwa sana.
Sasa watanzania wataingia hasara ya bilioni 20 ili kumlipa Johnson Mahululu baada ya Jerry...
Tunakupongeza sana kwa juhudi zako katika kutatua migogoro ya ardhi katika nchi hii lakini ninakushauri uende pole pole na usikilize pande zote mbili yaani mlalamikaji na mlalamikiwa.
Juzi ulikuwa hapa Mwanza na uliamuru nyumba ya Wakili msomi kuvunjwa.
Wakati nyumba inavunjwa Wakili...
Ni wananchi wanaopatikana ndani ya mkoa wa Pwani, Kibaha mji katika mtaa wa Viziwa ziwa. Hari si shwari hasirani, unyanyasaji huu na tamaa za viongozi huko chini inawahangamiza wananchi wa Tanzania na raia pasipo kuwepo na mhamiaji.
Ni kaeneo kadogo kakiitwa "VIMISA". Hapa ndo panapoongelewa...
Ngoja tuone maana umekuja na matamko mengi sana.
-
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa, amewataka waliovamia maeneo ya wazi kuanza kuondoka mara moja huku akiwaelekeza viongozi na watendaji wa wizara hiyo, wenye mamlaka ya kusimamia sheria kuhakikisha ndani ya siku...
Aliyewahi kuwa Waziri asiye na Wizara Maalum na pia Waziri wa Ardhi, Maliasili na Utalii, Pia Katibu Mkuu wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Masuala ya Wanawake Na Rais wa kwanza wa Bunge la Umoja wa Mataifa, Balozi Dkt Getrude ibengwe Mongela Ameshauri Rais kuwasikiliza wananchi na kuacha...
Siku chache tangu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. #AngelineMabula abaini Wamiliki 65 hawajajitokeza kuchukua Hati zao Wilayani #Makete, Njombe, Naibu Waziri wake #GeophreyPinda amekutana na hali hiyo mkoani Kilimanjaro.
Pinda amebaini hali hiyo baada ya kufanya ziara katika...
MBUNGE NOAH SAPUTU - WAZIRI WA ARDHI WANANCHI WANAKUTEGEMEA KUTOA HAKI
"Hii siyo sawa wageni kumiliki Ardhi, haki iliyochelewa ni sawa na haki iliyonyimwa" - Mhe. Noah Lemburis Saputi Mollel, Mbunge wa Arumeru Magharibi.
"Waziri toa tamko kwa makampuni ambayo yamepimia wananchi Ardhi...
Hivi karibu Waziri wa Ardhi Mhe.Angelina Mabula akiwa ziara arusha aligudua uwepo wa hati feki na kauli ya serikali aliitoa hapo tunapaswa kumpongeza sana lakini kwa jicho la kiuandishi wa habari mimi nahelea sana kwa kauli
Nimeongea na Kada wa CCM Mkoa wa Mwanza na Mwenyekiti wa Serikali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.