Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kauli na vitendo vya Mh. Simbachawene vinanipa matumaini kuwa huenda tatizo la police kuwa kero kwa wananchi likawa limepata ufumbuzi.
Katika kipindi hiki kifupi toka ameshika hatatamu, angalau tumesikia akikemea police kuendesha ukamataji usiozingatia...
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema uamuzi wa kuzima mtandao wa internet ni chaguo la mwisho kabisa pale ambapo hali ya kiusalama inakwa mbaya ambapo amesema hadi kufikia sasa hali ya Tanzania bado ipo shwari na hakuna tishio la kuwafanya TCRA wazime internet kesho December...
Waziri wa Mambo ya ndani, George Simbachawene amesema maandamano ambayo yamepangwa kufanyika kesho siyo maandamano bali ni Mapinduzi.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo kwenye ofisi za Wizara za mambo ya ndani,Simbachawene amesema maandamano hayo siyo halali na hayana kibali chochote...
Hawa si rafiki zetu, ni WAUAJI WETU.
Chawene unaongea kupalilia ulaji wako, lakini from the innermost chamber of your heart unajua kuwa hawa si rafiki. Untill the whole bloodfucken thing is dismantled, true statements of love can never be said to exist betwee civilians and police killers.
Au...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene amewakabidhi wananchi watatu Hatimiliki za Ardhi wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma.
Baada ya...
1. Mnawatangazia kuwa kama huna chati cha kuzaliwa original, leta affidaviti ku confirm your names.
2. Kama academic certificte imepotea na una copy certified leta hivyo na court affidavit
Watoto leo wameitwa Arusha wamerudishwa kwa masomo hayo mawili wengine wakati mliwatangazia wazi wazi kuwa...
Huku mtaani kuna kundi la watu wengi hawana ajira na wamekuwa wakipambana juu chini kutafuta ajira wakiwemo Vijana.
Wakati huohuo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene hivi karibuni alinukuliwa akisema kwa mujibu wa utafiti...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, ameonya vikali wakuu wa taasisi za umma dhidi ya upendeleo na mianya ya rushwa katika teuzi zao.
Akizungumza leo jijini Dodoma, Simbachawene alieleza kuwa baadhi ya viongozi wanawateua watu kwa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Boniface Simbachawene akizungumza na Wakuu wa Taasisi za UMMA kushughulikia vibali vya uhamisho ili kuokoa familia nyingi za Watumishi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene amemshukia aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Freeman Mbowe kuhusiana na hoja yake aliyoitoa ya kubeza juhudi ya Serikali ya kutaka kuondoa umaskini wa...
Waziri Simbachawene unapaswa uone aibu, unatangaza nafasi 14,000 tu za Walimu wakati waombaji wapo Walimu 200,000? Huoni haya, hawa 186,000 wataenda wapi? YAANI MNACHUKUA ASILIMIA 7 TU YA WALIOOMBA? Wengine wataenda wapi?
Hii kada mwajiri mkubwa ni Serikali, pamoja na wizara ya afya, hao...
Chanzo: mtandaoni
George Simbachawere ni dharau kwa spika au maamuzi yako?
Kuna vijana wamejitolea kwenye shule za serikali zaidi ya miaka 3 hadi 4. Spika aliomba kufanyike utafiti ili wawe kipaumbele lakini kwa kauli yako bungeni ulisema zoezi lina changamoto.
Kwangu hapana. Kwani kuna...
Leo, Jumanne, 1.10.2024, Mhe George Simbachawene, Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, ameweka Jiwe la Msingi wa ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Musoma DC) - Jimbo la Musoma Vijijini
Hospital hii imeishaanza kutoa Huduma za Afya...
Kuna clip nimekutana nayo kwenye social media ikimuonyesha Waziri Simbachawene akieleza "Mkakati" wa Serikali kuja na "USAWAZISHO" ili wafanyakazi waweze kuishi na wenza wao. Hoja zake ni chache ila ni nzito Sana kama ifuatavyo:
- Moja, kutenganisha familia kwa kigezo cha Ajira ni kinyume na...
Kwa ujumla huu mfumo ni mzuri sana. Maana umeondoa ukiritimba wa maafisa utumishi kwa watumishi.
Tatitizo kubwa ni kuwa sasa hivi watumishi wa umma wanatakiwa kutumia mfumo wa Ess kwa kufanya kila jambo linalowahusu. Kuanzia uhamisho, likizo, na hata appraisal.
Lakini mpaka sasa huduma nyingi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU kudhibiti mianya ya rushwa katika fedha za miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa na serikali nchini ili kuhakikisha thamani...
Ningependa ufahamu magumu wanayopitia watumishi walioko chini ya OR-Tamisemi hususani kada za
1. Elimu
2. Afya
3. Watendaji wa Serikali za mitaa
Hawa wanapitia mateso makubwa hususani wale wa chini kwa Wakuu wa idara wao kugeuka Miungu Watu hususani Waalimu stahiki yao nimegeuzwa mitaji ya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene amesisitiza matumizi ya Serikali Mtandao katika kudhibiti vitendo vya uvunjifu wa Maadili katika Utumishi wa Umma ambavyo vinaleta malalamiko Serikalini.
Mhe. Simbachawene amesema hayo leo...
Serikali imebaini baadhi ya watumishi wa umma wanatumia njia za udanganyifu na nyaraka za kughushi mtandaoni, ili kufanikisha uhamisho wa vituo vya kazi pasipo kuridhiwa na mamlaka husika.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.