waziri simbachawene

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Waziri Simbachawene ashtuka, aagiza uchunguzi fedha za TASAF

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene (wapili kushoto) akielekea kukagua moja ya jengo kati ya majengo matatu ya upasuaji, afya ya uzazi na mahabara yanayojengwa na Tasaf katika Kituo cha Afya Budushi wilayani Kwimba. Picha na Saada...
  2. HIMARS

    Waziri Simbachawene: Tunapozungumzia kinga kwa Usalama wa Taifa, tunazungumzia kinga dhidi ya Ugaidi

    Waziri George Simbachawene akitoa ufafanuzi kuhusu kinga kwa maafisa wa Idara ya Usalama wa Taifa kama ilivyoelezwa kwenye Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa wa Mwaka 2023. Tayari Bunge limepitisha muswada huo na sasa utapelekwa kwa Rais kwa ajili ya...
  3. BARD AI

    Mtoto wa Waziri Simbachawene kuburuzwa mahakamani

    Siku moja baada ya kusambaa video inayomuonyesha mtoto wa Waziri wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene akitoa lugha chafu mbele ya askari wa usalama barabarani, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema sheria itafuata...
  4. beth

    Waziri Simbachawene: Matumizi ya dawa za kulevya yamekuwa 'fashion'

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera na Uratibu, George Simbachawene amesema kwa sasa, si ajabu kukuta pengine matumizi ya Dawa hizo yanafanywa hata na watu wenye nafasi kubwa, akieleza "Hali hii iliendelea tutakuwa na Taifa gani kesho?" Akiwa Bungeni, Simbachawene amesema ameamua...
  5. R

    Tuwasaidie Waziri Simbachawene na polisi kutafuta haki

    Kuna wengine zaidi ya Askofu na Zitto ambao wamefunguka na pengine wataendelea kufunguka kuhusu madhila yaliyowakumba. Kwa spirit ya uzalendo, nimeona nitoe mchango wangu kwa vyombo husika kutafuta haki wa ku compile sauti hizo kuwarahisishia kazi ngumu waliyonayo japo kidogo.
  6. Halaiser

    Kwako Waziri wa Mambo ya Ndani

    Nianze Kwa kusema au kuuliza kuwa hivi huyu Waziri husika yupo kweli na kama yuko kasusia awamu hii ya sita au?? Kwenye awamu ya tano alisikika Sana akikemea mwenendo mbovu wa Jeshi la Polisi hasa kitengo cha Usalama Barabarani. Sasa hivi kimya. Kero yangu kubwa ni hili suala la sticker baada...
  7. R

    Waziri Simbachawene jiuzulu, una-underperfom. Ajali zitamaliza Watanzania

    Habari za asubuhi wana JamiiForums Kwa maslahi ya taifa naona tujadili hili swala. Naona halizungumzwi mahali popote ukiachilia matatizo mengi tuliyonayo kama taifa kwa sasa. Kumezuka tatizo la ajali za kila mahala takribani ajali 4-5 kwa siku zinaripotiwa kwenye mitandao ya kijamii...
  8. mshale21

    Waziri Simbachawene; Tanzania Hakuna shida ya katiba

    Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amesema uimara wa Katiba ya Tanzania umeleta amani, kupendana, kushirikiana na kuwepo kwa maendeleo hivyo hakuna umuhimu wa kuwepo kwa mchakato wa katiba mpya kwa sasa na vyama vya upinzani wanaitaka kwa manufaa yao na si wananchi. "Shida ya katiba...
  9. Prof Koboko

    Waziri Simbachawene usiwe kigeugeu ndugu yangu

    Kinachonishangaza ni kuona ndugu yangu huyu ambaye naamini ni msomi wa sheria leo anaamua kugeuka makusudi mbele ya umma wa watanzania bila hata kuogopa na kuzingatia maadili ya kazi yake. Nataka niulize swali, hivi si ndio huyu huyu Simbachawene alikuwepo wakati wa kutunga katiba mpya awamu ya...
  10. pakaywatek

    Wiziri Simbachawene: Usajili sasa utahusu vyama vya kijamii pekee siyo taasisi za dini

    SIMBACHAWENE: MABADILIKO YA HADHI YA VYETI VYA USAJILI WA JUMUIYA KUHUSISHA JUMUIYA ZA KIJAMII PEKEE BADALA YA TAASISI ZA KIDINI _ Na Mwandishi Wetu, MOHA. _ WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema zoezi la...
  11. S

    Godbless Lema: Waziri Simbachawene, 'mortgage plan' kwa wafanyakazi wote wa Serikali ndiyo suluhu ya muda mrefu

    Ameandika hivi kupitia Twitter: Waziri Simbachawene, kuwapatia Polisi viwanja vya ujenzi wa nyumba, utekelezaji wake ni mgumu. Muhimu ni kuongeza masilahi bora kwa Polisi na Serikali ije na mortgage plan kwa wafanya kazi wote,ili mtu aamue anataka kuishi/kustaafu wapi. Mortgage plan ya muda...
Back
Top Bottom