waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bwana Mwigulu, Mchumi wa Makaratasi, uliyetembelea 'Uwezo wa Mzee Mpango", Acha Siasa za 1900, Unabwabwaja, Watanzania wa Sasa sio wa kuambiwa Upuuzi

    Yaan unajiita Mchumi, mara msomi, alafu kwenye Mkutano Unasema TUKIO la Lissu lilitengenezwa?? Yaan wewe unaona Watanzania ni Mazwazwa ? Au TU umeamua kuwatia Watanzania Hasira wachukie zaidi?. Niku challenge? Kwakua Ni TUKIO la kutengenezwa kwa Lengo la kuchafua Serikali, Toka 2017 Hadi...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Miradi ya barabara ni ufunguo wa uchumi wa wananchi

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika miradi ya barabara nchini kwa kuwa ndiyo msingi wa kufungua uchumi, kurahisisha usafirishaji wa mazao na kuchochea maendeleo ya wananchi vijijini na mijini. “Hizi kilomita 17 zilizobaki kuelekea Dabaga ni eneo muhimu...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ahimiza Mlezi ya Kimaadili na Ushirikiano wa Kijamii

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema jamii inapaswa kurejea katika misingi ya malezi ya pamoja na uwajibikaji wa kijamii ili kujenga kizazi chenye maadili, kinachoheshimu viongozi, wazazi pamoja na taasisi za jamii. “Tunataka kujenga jamii inayoguswa na changamoto za wengine. Maadili mema...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi mnamsikia Waziri Mkuu huko Iringa? Ni wakati wa kumhoji awatajie aliyempiga Risasi Tundu Lissu

    Ni miaka na mikaka sasa bado mnatafuta chanzo cha kwanini WATU wanatekwa na kupoteza Lakini haitoshi bado mnatafuta nani alimpiga TUNDU LISSU risasi pale Dodoma had kumsababishia ulemavu wa kudumu Sasa katika hali ya kushtua mbele ya umma wa WATU wa IRINGA WAZIRI MKUU wa JAMHURI ya MUUNGANI WA...
  5. JamiiForums Tanzania Matatizo ya Ndoa ni ya kutatuliwa kwenye ziara za Waziri Mkuu?

    Haya ni matatizo ya level za Waziri Mkuu? Au ndio kusema matatizo ya kitaifa yameisha?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kitendo Cha mpina kuteuliwa kuwa majibu Waziri mkuu kivuli ni Ishara ya ACT kutambua serikali ambayo walisema haijacjaguliwa kihalali , tuwaeleweje ?

    Mijadala ya Act wengi walikiri uchaguzi haikuwa huru na haki Hadi Walifikia hatua ya kusema tume ilipodadilisha JINA ilipoteza uhalali kikatiba Sasa wanapoteua mawaziri vivuli Ili wasimamie serikali ipi Mpina amekuaje siku hizi
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Latvia Evika Silina atangaza kujiuzulu

    Waziri Mkuu wa Latvia, Evika Siliņa, ametangaza siku ya Alhamisi kuwa atajiuzulu, hatua inayosababisha kusambaratika kwa serikali ya muungano nchini humo kabla ya uchaguzi muhimu wa bunge unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba. Siliņa, ambaye ni kiongozi wa mrengo wa kati-kulia, alitangaza uamuzi...
  8. H

    JamiiForums Tanzania WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Ushirikiano kati ya Afrika

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Ushirikiano kati ya Afrika na Ufaransa (Africa Forward Summit: Africa-France Perternship for Innovation and Growth) unaofanyika jijini Nairobi Kenya, leo Mei 12...
  9. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu: Mwajiriwa akipoteza ajira atapata mafao yake ya jumla ndani ya Siku 90

    Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Dkt. Evaline Wilbard Munisi amezungumza Bungeni leo Mei 8, 2026 kuhusu stahiki za Watumishi ambao hawapo kwenye ajira na walikuwa wanachama wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Pia soma ~ Sera ya NSSF kuondoa Fao la Kujitoa INAUA NDOTO ZA...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ombi langu kwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) Dr. Mwigulu Nchemba. Kwa heshima na taadhima napenda kuchukua nafasi hii adhimu kukupa pole, katika kutekeleza majukumu yako ya kila siku, kulitumikia taifa letu la Tanzania, ili liweze kupiga hatua kubwa katika maendeleo yanayo...
  11. JamiiForums Tanzania Tukiwa Kwenye Uapisho. Waziri Mkuu wenu anataka kufanya kioja

    Nilimkosakosa kwa picha ila nikaipata hapa. Basi bana wakati mheshimiwa rais anamchapa mwenzake kuhusu cheo ambacho hata yeye alipewa na wananchi asilimia 97% basi bwana... Waziri mkuu kutaka kuonyesha kaipenda engo hiyo akapeleka mikono kupiga makofi. Gafla akajishtukia anapiga mwenyewe...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu aipongeza Simba kwa Ushindi wa mbinde dhidi ya Yanga

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza Bungeni leo Aprili 30, 2026, ameipongeza klabu ya Simba kwa ushindi wa bao 1 dhidi ya Yanga. Klabu ya Simba ilitwaa ubingwa wa Muungano mbele ya Yanga katika fainali iliyochezwa katika Uwanja wa New Amaan Complex...
  13. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe amshukuru Waziri Mkuu kuadhimisha Miaka 62 ya Muungano kwa kukagua miradi, kutatua kero za wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amemshukuru Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba kwa kuadhimisha miaka 62 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kukagua ujenzi wa miradi ya maendeleo ya daraja jipya la...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alikutana na Wanajeshi na Makamanda Wakristo

    Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alikutana na wanajeshi Wakristo na makamanda kutoka kwa vitengo mbal8mbali vya IDF. Maelezo muhimu kutoka kwa kauli yake: Hili ni kinyume kabisa na kile kinachoenezwa huko nje. Sio tu kwamba Israeli inapigania haki za Wakristo kote Mashariki ya Kati...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel ashtushwa sana na jaribio la kumuua Rais Trump, amshukuru Mungu kuwa Trump na mkewe wako salama

    Netanyahu ‘shocked by the attempted assassination’ of Trump Today, 9:56 am ) Prime Minister Benjamin Netanyahu says he is “shocked by the attempted assassination” of US President Donald Trump at a gala dinner in Washington DC. Netanyahu says he is relieved that Trump and the first lady are...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu afichua kwamba alikuwa ametibiwa saratani ya tezi dume!!

    Netanyahu afichua kwamba alikuwa ametibiwa saratani ya tezi dume; daktari anasema uvimbe ulipatikana 'miezi michache iliyopita,' Waziri Mkuu alipata tiba ya mionzi miezi 2.5 iliyopita, na ugonjwa huo umetoweka. Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu afichua kwamba alifanyiwa matibabu ya saratani ya...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Tuepuke migogoro na mizozo

    Asema kuna miradi inakwama utekelezaji sababu ya migawanyiko WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa waepuke migogoro na mizozo kwa sababu kuna miradi inakwama utekelezaji kutokana na migawanyiko. “Twendeni tukatimize wajibu wetu, tuache migawanyiko...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Huruma ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mwenyekiti wa ALAT anayemaliza muda wake.

    Huruma ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mwenyekiti wa ALAT anayemaliza muda wake.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la 9 la Aprili 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz.

    Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la 9 la Aprili 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz.
  20. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu atimiza ahadi ya kumpatia Kitimwendo Helena Joseph

    WAZIRI MKUU ATIMIZA AHADI YA KUMPATIA KITIMWENDO HELENA JOSEPH Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo (Aprili 20, 2026) amemkabidhi kitimwendo Helena Joseph Mwandu (mwenye mahitaji maalum), Ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. Waziri Mkuu aliahidi kumpatia Helena kiti hicho katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…